johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu.
2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema atatoka Kanda ya Kati akiwa na Makazi yake Ubelgiji na nafasi ya CUF ikiwa imechukuliwa na ACT Wazalendo ambao wanaunga mkono kusimamisha Mgombea Urais mmoja Tundu Antipas Lissu.
Tutegemee uchaguzi wenye tashwishwi na bashasha
Mlale unono 😄