Uchaguzi: 1995 Mkapa vs Mrema, 2005 Kikwete vs Mbowe, 2015 Magufuli vs Lowassa na 2025 Dkt. Samia vs Tundu Lissu

Uchaguzi: 1995 Mkapa vs Mrema, 2005 Kikwete vs Mbowe, 2015 Magufuli vs Lowassa na 2025 Dkt. Samia vs Tundu Lissu

johnthebaptist najaribu kufuatilia kampeni na uchaguzi wa US... Aisee wenzentu wapo mbali sana... Yaani mtu anapiga kura anaitumbukiza kwenye kisanduku cha posta. Akiwa na imani kabisa kuwa kura yake itafika na itahesabiwa.
Hivi Bongo wizi, utapeli na ubabaishaji ni sehemu ya maisha?
Hujasikia zikilalamikiwa hizo kura za posts?!..bush aliiba kura chaguzi zote mbili
 
Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu

2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema atatoka Kanda ya Kati akiwa na Makazi yake Ubelgiji na nafasi ya CUF ikiwa imechukuliwa na ACT Wazalendo ambao wanaunga mkono kusimamisha Mgombea Urais mmoja Tundu Antipas Lisu

Tutegemee uchaguzi wenye tashwishwi na bashasha

Mlale unono 😄
We mnafiqw ukaskazini mbona umeuangalia kwa namna hiyo,wh!?, 😂
 
..Cdm wakiwa na fedha za kutosha kufanya kampeni, sawa na Ccm, Mama Abduli atasalimu amri asubuhi na mapema.
Unadai yasiyo wezekana; ikiwa ni kama maandalizi ya mapema kabisa kutafuta visingizio na sababu za CHADEMA kubwagwa chini!

Kama ni kushindana kwa pesa, hakuna atakaye weza kumshinda "Mama Abdul"
Mimi nawashauri CDM watafute njia nyingine ya kushindana, badala ya kuweka nguvu zao nyingi kwenye swala wasilo kuwa na uwezo nalo.
 
2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba,
Katiba gani unayo izungumzia wewe; kama siyo kujizima akili tu kama ilivyo kawaida.

Sikuwa na nia ya kufungua mada yako; ila kichwa cha mada kimenilazimisha, hasa hiyo "Dr" ya mchongo. Tutakapo anza kutambua maana na umuhimu wa hizi 'titles', hapo ndipo tutakapo kuwa tayari kufanya mambo yetu muhimu kwa weledi. Sasa hivi nchi yote ni kama Komedi tu!
Mfano mzuri ni hivi 'vi-mada' vyako mshenzi unavyo tuletea hapa kila siku.
 
2025 ni uchaguzi rahisi Mno, SAMIA anashinda asubuhi na mapema
 
Back
Top Bottom