johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu
2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema atatoka Kanda ya Kati akiwa na Makazi yake Ubelgiji na nafasi ya CUF ikiwa imechukuliwa na ACT Wazalendo ambao wanaunga mkono kusimamisha Mgombea Urais mmoja Tundu Antipas Lisu
Tutegemee uchaguzi wenye tashwishwi na bashasha
Mlale unono 😄
Fedha ni kitendea kazi tu jombaa...CCM bila usanii dhidi ya CHADEMA hawashindi asilani..Tena URAISI ndiyo kabisaaaaaa....!!!!!..Cdm wakiwa na fedha za kutosha kufanya kampeni, sawa na Ccm, Mama Abduli atasalimu amri asubuhi na mapema.
kama daftari la srikal mtaa tu zengwe kubwa , hizo level za huko hatufikijohnthebaptist najaribu kufuatilia kampeni na uchaguzi wa US... Aisee wenzentu wapo mbali sana... Yaani mtu anapiga kura anaitumbukiza kwenye kisanduku cha posta. Akiwa na imani kabisa kuwa kura yake itafika na itahesabiwa.
Hivi Bongo wizi, utapeli na ubabaishaji ni sehemu ya maisha?
Ki Afrika sio heshima wanaume kushindana na wanawake, ni aibu!Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!2025 Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema atatoka Kanda ya Kati akiwa na Makazi yake Ubelgiji na nafasi ya CUF ikiwa imechukuliwa na ACT Wazalendo ambao wanaunga mkono kusimamisha Mgombea Urais mmoja Tundu Antipas Lisu
Fedha ni kitendea kazi tu jombaa...CCM bila usanii dhidi ya CHADEMA hawashindi asilani..Tena URAISI ndiyo kabisaaaaaa....!!!!!
Waziri mwenye dhamana ya Uchaguzi anaongelea majina ya wagombea wa vyama tena wa CHADEMA..tu...?!!!Mkurugenzi anajadili CHADEMA..tu.badala ya uchaguzi...!!Upupu.kama daftari la srikal mtaa tu zengwe kubwa , hizo level za huko hatufiki
Ki Afrika sio heshima wanaume kushindana na wanawake, ni aibu!Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
p
Unaota!. ..?ZINDUKA....!?CCM wanapigika mapema mno dhidi ya CHADEMA.Tatizo ni mshindi kutangazwa kibabe wakiwepo POLI-CCM..kwa miaka mingi wagombea Uraisi wa Ccm amekuwa akifanya mikutano mingi, mikubwa, na kufika maeneo mengi, kuliko wagombea wa upinzani.
..nadhani hali hiyo inatokana na vyama vya upinzani kutokuwa na fedha za kutosha ukilinganisha na Ccm.
..jambo lingine ni kampeni za wagombea wa upinzani kutokuwa na hamasa kulinganisha na kampeni za Ccm. Hilo nalo inachangiwa na ukosefu wa fedha, na rasilimali nyingine.
Ni wewe au????!!!!(Chini ya kiwango mno)Ki Afrika sio heshima wanaume kushindana na wanawake, ni aibu!Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Hivyo Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!
p
na msemo wao maarufu ' maagizo toka juu'Waziri mwenye dhamana ya Uchaguzi anaongelea majina ya wagombea wa vyama tena wa CHADEMA.....?!!!Mkurugenzi anajadili CHADEMA..badala ya uchaguzi...!!Upupu.
Amini usiamini,Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu
2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema atatoka Kanda ya Kati akiwa na Makazi yake Ubelgiji na nafasi ya CUF ikiwa imechukuliwa na ACT Wazalendo ambao wanaunga mkono kusimamisha Mgombea Urais mmoja Tundu Antipas Lisu
Tutegemee uchaguzi wenye tashwishwi na bashasha
Mlale unono 😄
first come, first sarved!,wa kwanza kusema 2025 twende mwanamke ni mwanamke, mwanaume kushindana na mwanamke aibu ni kwa mwanaume, na sio mwanamke!。..Mwanamke asiye na heshima na maadili ndiye anaweza kushindana na kujibizana na wanaume. Mwanamke mwenye tabia hizo anapaswa kulaaniwa na jamii.
first come, first sarved!,wa kwanza kusema 2025 twende mwanamke ni mwanamke, mwanaume kushindana na mwanamke aibu ni kwa mwanaume, na sio mwanamke!。
p
Nafasi hiyo ya juu ni Muscline by nature.Ki Afrika sio heshima wanaume kushindana na wanawake, ni aibu!Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Hivyo Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!
p
Hizo ni Fikra,,,Mtazamo na Mawazo yako uko sawa kwa Upande wako...Ni kukosa heshima na maadili kwa mwanamke.
Kuwafuata watu Magu na uwalete Kirumba-kwa Maroli?CCM mkoje??Muulize Dialo wa Star TV yuko wapi? alitumia mpaka Chopa jombaa..Ilemela_Ubunge kupitia CCM..kwa miaka mingi wagombea Uraisi wa Ccm amekuwa akifanya mikutano mingi, mikubwa, na kufika maeneo mengi, kuliko wagombea wa upinzani.
..nadhani hali hiyo inatokana na vyama vya upinzani kutokuwa na fedha za kutosha ukilinganisha na Ccm.
..jambo lingine ni kampeni za wagombea wa upinzani kutokuwa na hamasa kulinganisha na kampeni za Ccm. Hilo nalo inachangiwa na ukosefu wa fedha, na rasilimali nyingine.