gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Hujasikia zikilalamikiwa hizo kura za posts?!..bush aliiba kura chaguzi zote mbilijohnthebaptist najaribu kufuatilia kampeni na uchaguzi wa US... Aisee wenzentu wapo mbali sana... Yaani mtu anapiga kura anaitumbukiza kwenye kisanduku cha posta. Akiwa na imani kabisa kuwa kura yake itafika na itahesabiwa.
Hivi Bongo wizi, utapeli na ubabaishaji ni sehemu ya maisha?
We mnafiqw ukaskazini mbona umeuangalia kwa namna hiyo,wh!?, 😂Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu
2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema atatoka Kanda ya Kati akiwa na Makazi yake Ubelgiji na nafasi ya CUF ikiwa imechukuliwa na ACT Wazalendo ambao wanaunga mkono kusimamisha Mgombea Urais mmoja Tundu Antipas Lisu
Tutegemee uchaguzi wenye tashwishwi na bashasha
Mlale unono 😄
Akili matope hiziNafasi hiyo ya juu ni Muscline by nature.
Unadai yasiyo wezekana; ikiwa ni kama maandalizi ya mapema kabisa kutafuta visingizio na sababu za CHADEMA kubwagwa chini!..Cdm wakiwa na fedha za kutosha kufanya kampeni, sawa na Ccm, Mama Abduli atasalimu amri asubuhi na mapema.
Katiba gani unayo izungumzia wewe; kama siyo kujizima akili tu kama ilivyo kawaida.2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba,
Lakini wanaibiana na kudhuru wapinzani kama huko Bongo?Hujasikia zikilalamikiwa hizo kura za posts?!..bush aliiba kura chaguzi zote mbili
Samia hata hasipogombea atashinda tu2025 ni uchaguzi rahisi Mno, SAMIA anashinda asubuhi na mapema
Sasa watazipata wapi wafanane na chama dola?..Cdm wakiwa na fedha za kutosha kufanya kampeni, sawa na Ccm, Mama Abduli atasalimu amri asubuhi na mapema.