Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

.....mwaveja sana DOCEBIT VOS OMNIA (D.V.O)......!

....D.V.O hili ni swali la msingi sana sana.....linahitaji sredi yake mkuu! binafsi naona kabisa kama hakuna provisions kny katiba on this, mgombea urais aliye rais anakuwa na added advantage kubwa sana.....kuna kuwa hakuna same playing field....na to me kwa hilo tu linatosha kuufanya uchaguzi mzima kutokuwa HURU na HAKI!

...

Thanks is another indication kwamba tunahitaji katiba mpya siyo hii ya kuungaunga....

Na kibonde naye atulie aache kubwabwaja sana watu wanamjua sana wasije wakaharibia tu
 
Huyu dogo ni utoto tu unamsumbua akikua ataacha tu. Kwenye kipindi chake cha Jahazi anatetea kila kitu anachofanya JK na CCM yake hata kama ni kosa huku akiwaponda wapinzani. Tafadhalini wana JF achaneni naye.
 
Mimi huwa watu wanaopanda gari yangu tunagombana, nilishaacha miaka mingi kumsikiliza toka alipowaponda vijana wa elimu ya juu mwaka 2007 kwa kugoma, eti argument yake "wajisomeshe wenyewe, hakuna serikali inayosomesha watu dunia hii"

May his intelligence rest in peace (if he had one) coz it won't come back any time soon
 
Guys, just ignore tuning to Jahazi broadcasting as well as CLOUDS, silikiza BBC news ikiisha fungulia music, sports na BBA etc, hapa utakuwa umemkwepa what so called Kibondee's. Most of these local TV channels na Redio stations zina influence
na baadhi ya big guys (fisadi's). agalia magaezeti kama Rai, Mtanzania utaona ndani kuna tatizo - Msifike mbali.
 
Jamaa nasikia ana ngoma long time
sasa huu ndio udhaifu mkubwa kwa jf member kama wewe!
kuwa na ''ngoma'' kunahusiana vipi na hoja tajwa hapo juu?
yaani mfukunyuzi unadhihirisha wazi PERSONAL JEALOUS NA PERSONAL HATE KWA HUYO KIBONDE!ngoma?what is ngoma so far?ukiwa na ngoma then what?halafu vere siriaz unasema NASIKIA ANA NGOMA....

too low my broda/sista
 
Wewe nawe memba wake nini kuwa na ngoma sio tatizo ila tatizo ni kusambaza ngoma kwa makusudi, rejea wimbo wa Sugu Antivirus
 
Tujamaa km kibonde amabato kazi yake ni kupotosha umma ni kututwanga shaba tu ili tusiendelee kusambaza sumu nchini
 
Wewe nawe memba wake nini kuwa na ngoma sio tatizo ila tatizo ni kusambaza ngoma kwa makusudi, rejea wimbo wa Sugu Antivirus
kwa hiyo hiyo ndo reference yako mkuu ''mwanahabari''?
yani yani vere siriaz hiyo ndio reference yako????
 
Mi huwa sisikilizi hawa wapuuzi...pole nyie mnaopoteza mda wenu for such nonsense radio
 
Kibonde anaweza U MC wa kwenye maharusi na vicheni party sio siasa..Kwa kifupi ni MPUMBAVU na sio mjinga narudia ni MPUMBAVU na anapenda sana kujikombakomba kwa viongozi...

Ni kweli. The guy is a good MC at kitchen parties na harusi lakini ni mbumbumbu na hajui lolote katika kufanya analysis ya current affairs esp. politics na economy. Kichwani ni umande tuuuuu na kukurupuka na kuongea kauli mvuke. On top of that ni kujipendekeza kwa CCM tuuuu kila kukicha hoping wazee watamwona baada ya uchaguzi. Haya basi njoo mtaani tukupe ujembe wa nyumba ishirini!!:confused2:
 
Nyie hamjamfahamu, hapo Mawingu ameegesha tu, shughulu yake kubwa ni mshereheshaji, kwa kujikomba kwa CCM anataraji sherehe zote za Oysterbay na Masaki ataitwa yeye kulipwa fadhila.
 
Back
Top Bottom