Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Mie nilisharudi zamani sana.nishaachana na mambo ya kibonde,natafakari mada sahizi.:focus:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nilisharudi zamani sana.nishaachana na mambo ya kibonde,natafakari mada sahizi.:focus:
.....mwaveja sana DOCEBIT VOS OMNIA (D.V.O)......!
....D.V.O hili ni swali la msingi sana sana.....linahitaji sredi yake mkuu! binafsi naona kabisa kama hakuna provisions kny katiba on this, mgombea urais aliye rais anakuwa na added advantage kubwa sana.....kuna kuwa hakuna same playing field....na to me kwa hilo tu linatosha kuufanya uchaguzi mzima kutokuwa HURU na HAKI!
...
Thanks is another indication kwamba tunahitaji katiba mpya siyo hii ya kuungaunga....
Na kibonde naye atulie aache kubwabwaja sana watu wanamjua sana wasije wakaharibia tu
hahahahaha!Name calling aside.
TEAMO=KIBONDE=TEAMO.
AKIBISHA NA OPEN ZE FILE YAKE HAPA.
Namjua sana huyu XXXXX.
hahahahaha!
nakuruhusu hapa FUNGUA FAILI......
...eeheee then?Name calling aside.
waooooooo!TEAMO=KIBONDE=TEAMO.
. ameshabisha.......du zee nidifu pleeeeeeeaaaaseeee!AKIBISHA NA OPEN ZE FILE YAKE HAPA
sema haki ya Mungu......?Namjua sana huyu XXXXX.
sisi kwetu ni wanaume tu....!
wewe nipe namba za dadaako nimfanye kuwa mke wa tatu
tuingie vitani bwana mdogo!.....Sasa wewe mpayukaji unatafuta vita hapa usione watu wako kimya ukafikiri wamelala
hehehe!...eeheee then?
waooooooo!
. ameshabisha.......du zee nidifu pleeeeeeeaaaaseeee!
sema haki ya Mungu......?
homuboi unamwona GREAT SINKER?
ndiii hooouchuuuneeeeeeeeeeeeee!
hii hapa hommie:
The Following User Says Thank You to Next Level For This Useful Post:
Teamo (Today)
Huyu dogo ni utoto tu unamsumbua akikua ataacha tu. Kwenye kipindi chake cha Jahazi anatetea kila kitu anachofanya JK na CCM yake hata kama ni kosa huku akiwaponda wapinzani. Tafadhalini wana JF achaneni naye.
Hili ni zito - ina maana jamaa ana chanzo cha kufulia umeme wa msongo mkubwa?
sasa huu ndio udhaifu mkubwa kwa jf member kama wewe!Jamaa nasikia ana ngoma long time
sasa huu ndio udhaifu mkubwa kwa jf member kama wewe!
kuwa na ''ngoma'' kunahusiana vipi na hoja tajwa hapo juu?
yaani mfukunyuzi unadhihirisha wazi PERSONAL JEALOUS NA PERSONAL HATE KWA HUYO KIBONDE!ngoma?what is ngoma so far?ukiwa na ngoma then what?halafu vere siriaz unasema NASIKIA ANA NGOMA....
too low my broda/sista
kwa hiyo hiyo ndo reference yako mkuu ''mwanahabari''?Wewe nawe memba wake nini kuwa na ngoma sio tatizo ila tatizo ni kusambaza ngoma kwa makusudi, rejea wimbo wa Sugu Antivirus
Kibonde anaweza U MC wa kwenye maharusi na vicheni party sio siasa..Kwa kifupi ni MPUMBAVU na sio mjinga narudia ni MPUMBAVU na anapenda sana kujikombakomba kwa viongozi...