Uchaguzi 2020 Marekani yatishia vikwazo kwa watakaoshiriki kuharibu uchaguzi Afrika

Uchaguzi 2020 Marekani yatishia vikwazo kwa watakaoshiriki kuharibu uchaguzi Afrika

Hawa watu si wa kuwabeza. Kaangalie Zimbabwe wanavyoangaika sasa hivi. Cha kutia huruma ni sisi wananchi tutapata shida. Viogozi wao wataendelea kula nchi kama tukiwekewa vikwazo.
 
Kwa hiyo mko hiari kudhulumu haki kisa hamna mpango wa kwenda Marekani lakini kuna options nyingi hiyo ni mojawapo tu.

Hawa jamaa wakikukamiya huna ujanja utanyooka tu akina Mugabe na Maduro wanawafahamu vizuri, Magufuli ni cha mtoto.
 
Back
Top Bottom