K Kingdom Finder JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 1,119 Reaction score 1,391 Oct 9, 2020 #21 Hawa watu si wa kuwabeza. Kaangalie Zimbabwe wanavyoangaika sasa hivi. Cha kutia huruma ni sisi wananchi tutapata shida. Viogozi wao wataendelea kula nchi kama tukiwekewa vikwazo.
Hawa watu si wa kuwabeza. Kaangalie Zimbabwe wanavyoangaika sasa hivi. Cha kutia huruma ni sisi wananchi tutapata shida. Viogozi wao wataendelea kula nchi kama tukiwekewa vikwazo.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Oct 9, 2020 #22 Kwa hiyo mko hiari kudhulumu haki kisa hamna mpango wa kwenda Marekani lakini kuna options nyingi hiyo ni mojawapo tu. Hawa jamaa wakikukamiya huna ujanja utanyooka tu akina Mugabe na Maduro wanawafahamu vizuri, Magufuli ni cha mtoto.
Kwa hiyo mko hiari kudhulumu haki kisa hamna mpango wa kwenda Marekani lakini kuna options nyingi hiyo ni mojawapo tu. Hawa jamaa wakikukamiya huna ujanja utanyooka tu akina Mugabe na Maduro wanawafahamu vizuri, Magufuli ni cha mtoto.
K kinsakina JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 1,107 Reaction score 1,080 Oct 10, 2020 #23 mwaka huu vikwazo lazima tuwekewe