Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

Mama Samia yeye vipi? Jiwe anaweza "kumpandikiza" kule
 
Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Dr.Shein Rais wa sasa mbona katoka huko visiwa vya Pemba
 
Siasa za Zanzibar ni za kipekee...subirini muone suprise...Mbarawa si rahisi kuwa rais zanzibar coz ni Mpemba so ni ngumu kuwafuatanisha wapemba mfululizo (Shein n Mbarawa), Samia hawezi kupewa coz ni mwanamke (atapingwa na hata masheikh wakubwa visiwani) labda wafosi, Hussein Mwinyi pia ni Ngumu kwa sababu kuna fununu kuwa hakuzaliwa Zanzibar (alizaliwa Misri) na kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari wa kuzaliwa.
 

Mbona Al Haji Ally Hassan Mwinyi ni mzaliwa wa Kisarawe
 
Politics is game of chance bro! Hata kikwete hakutakiwa kuwa rais baada ya mkapa ,raid alitakiwa atoke zanzibar
 

1) Nyerere
2) Mwinyi
3) Mkapa
4) Kikwete
5) Jiwe

Labda ni nani mwanamke hapo? Tusisingizie Zanzibar tu kuwa hawakubali Raisi mwanamke hata Tanganyika inatafsirika kuwa hawakubali Raisi Mwanamke.
 
Kwa hao wawili nampa nafasi Dr Hussein Mwinyi ,ingawa ktk siasa lolote linaweza kutokea
 
Mwinyi ndie Raisi wa Zanzibar kwa miaka mitano ijayo kisha atarejeshwa kuwa Raisi wa Tanzania kwa miaka 10 ,nimeongea sauti ya chini kabisa
 
Mwinyi anabusara Sana hata utendaji kazi wake wa sasa kwenye wizara umejaa busara
 
Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Dr Shein mbona ni Mpemba ?
 
TAIFA TAWALIWA MWINYI KZALIWA IKULU BADO TU MNATAKA KUMPA URAIS WAKATI WEEW UMEZALIWA HUKO NAMANYERE HUJUI HATA CHOO CHA KUKAA, pumbaf sana CCM,
 
Mbona Al Haji Ally Hassan Mwinyi ni mzaliwa wa Kisarawe
Mzee Mwinyi alikula shavu enzi hizo wakati Wanasiasa wa CCM Zanzibar Bado hawajaamka kisiasa...Lakini sasa hivi kuna wazanzibari wengi ambao ni wanasiasa wazuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…