Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

Si unawasikia?! - kwani nyie nani na mnaowasikia nao nani? Ni hii timu yenye ID bandia?

Wao umuhimu wa katiba tu?! -- wanani hao?

Wananchi wasiojali siasa wamekutuma kuwasemea hayo?

Wekeni japo utambulisho wenu tuwajue?

Mbona kujimililikisha nchi ki aina aina ndugu?

Hii nchi si yenu peke yenu.

Wewe wamekutuma kusema kama hakuna katiba mpya hakuna haja ya uchaguzi??

Wewe unayo ongea hapa umetumwa na wananchi gani??..
 
Raila anataka uwaziri mkuu yule, Ruto ana roho ngumu sana, hampi hata udiwani wa kuteuliwa..
Tatizo lenu mnaongea kama malaika.

Mwenye nchi mwananchi. Ngoja tuone.
 
CCM pamoja na mapungufu yake angalau ni chama cha kitaifa...

Kuamini kuwa wapinzani ni wasafi na wapewe Tu nafasi ni hatari sana...
Wakati wanafanya ufisadi na ruzuku na wanagawa viti maalum Kwa vimada wao....

Kikimbilia zoezi la katiba mpya mradi kuwaingiza madarakani wapinzani hawa ambao Wengi ni mafisadi na Wana vyama kama ofisi zao binafsi ni hatari sana...Bora mchakato uende taratibu na kipaumbele kiwe mwananchi ajue haki zake na azitumie
Mahakama ya mafisadi ipo, kwanini unashindwa na wenzako kupeleka ushahidi wenu wa ufisadi wa hao viongozi wa upinzani?

Hii propaganda ya karne iliyopita ni ya kijinga sana, kwanza inaonesha udhaifu wa hao unaotaka waendelee kututawala [kwasababu aliyepo ikulu ni mwenzako], najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana.

Unadumaza maendeleo ya taifa kwa sababu ya interest zako binafsi, halafu baada ya huyo unayemlinda kuondoka madarakani, mjinga wewe utarudi hapa uanze kupigia kelele umuhimu wa Katiba Mpya!.
 
Hawasomi alama za nyakati,, mwakani uchaguzi wa serikali za mitaa, mwaka unaofuata uchaguzi mkuu,,

Loophole pekee ni mwaka huu, leo mwaka umebaki miezi 8,,
Dalili zote zinaonyesha sidhani kama katiba mpya itapatikana kabla ya 2025,.
Na katiba itahitaji bunge likae kuweka sheria za kuendana na katiba mpya,, hiyo nayo ni process ndefu tu, ukichukulia bunge hili mojority ni ccm, na huwezi kuwaforce wapitishe sheria anazotaka labda mbowe, au henche,,
Hujui mwenzio hataki kabisa uwepo wa Katiba Mpya, amedandia hoja yako akijua kwamba nawe huitaki kama yeye, badala yake umemuacha njia panda ulipodai muda uliobaki ni miezi nane pekee, mwenzio hata hiyo nane haitaki!, anataka mama yake aachwe mpaka akiondoka ikulu.
 
Mahakama ya mafisadi ipo, kwanini unashindwa na wenzako kupeleka ushahidi wenu wa ufisadi wa hao viongozi wa upinzani?

Hii propaganda ya karne iliyopita ni ya kijinga sana, kwanza inaonesha udhaifu wa hao unaotaka waendelee kututawala [kwasababu aliyepo ikulu ni mwenzako], najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana.

Unadumaza maendeleo ya taifa kwa sababu ya interest zako binafsi, halafu baada ya huyo unayemlinda kuondoka madarakani, mjinga wewe utarudi hapa uanze kupigia kelele umuhimu wa Katiba Mpya!.

Ninakazia:

"najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana."

Na huu ndiyo ulio ukweli.
 
Safi sana, sasa kinachofuata ni mwananchi yupi ako na watu, i mean majority,,
Demokrasia imeshaelekeza, majority watapitisha ajenda

Majority hiyo ni kwa mujibu wa tume huru siyo tume ya mchongo.
 
Mahakama ya mafisadi ipo, kwanini unashindwa na wenzako kupeleka ushahidi wenu wa ufisadi wa hao viongozi wa upinzani?

Hii propaganda ya karne iliyopita ni ya kijinga sana, kwanza inaonesha udhaifu wa hao unaotaka waendelee kututawala [kwasababu aliyepo ikulu ni mwenzako], najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana.

Unadumaza maendeleo ya taifa kwa sababu ya interest zako binafsi, halafu baada ya huyo unayemlinda kuondoka madarakani, mjinga wewe utarudi hapa uanze kupigia kelele umuhimu wa Katiba Mpya!.

Mara nyingi siku jibu sababu Una uwezo mdogo Sana wa kuelewa na kujibu hoja bila kuweka assumptions

Tena unajibu Kwa ghadhabu hoja ambazo sijazungumza based na assumptions...tena hata unatoka nje ya mada....inaonesha akili ndogo ulivyo nayo ndo maana unajibu Kwa ghadhabu na hasira kitu hata hujaelewa....

Wapi nimesema napinga katiba mpya?unaweza weka hapa ushahidi nikisema napinga katiba mpya??

Umeelewa hata mada ?
Mada inasema katiba mpya na uchaguzi ujao WA mwaka 2025..
Mimi points zangu zote ni kutolazimisha katiba Kwa haraka sababu ya uchaguzi wa 2025..

Nikueleweshe wewe mwenye akili ndogo...mtu akisema katiba mpya isiharakishwe kuwahi uchaguzi WA mwaka 2025 Haina maana anapungua katiba mpya .. inawezekana anataka mchakato mzuri zaidi WA mda mrefu WA kutosha ipatikane katiba nzuri Kwa wote...bila kujali itapatikana kabla ya 2025 au kabla ya 2030....

Jifunze kuelewa kabla ya kushambulia watu Kwa matusi ulifikiri ndo unaongea la maana......

Maana halisi ya demokrasia ni watu kutofautiana mawazo....sasa nyinyi ambao mnafikiri Umuhimu WA katiba ni uchaguzi WA 2025 mkiona mtu ana maoni tofauti ghafla mnamshbulia Kwa matusi only mna reveal uwezo mdogo WA kuelewa hoja na jinsi mlivyo limited kwenye maono....

I hope nimekujibu na kukuonesha ustaarabu wa kujibu hoja bila matusi
 
Majority hiyo ni kwa mujibu wa tume huru siyo time ya mchongo.
Sasa braza unstegemea nani akuwekee tume unayoitaka wewe kama huna watu kule wanakowekega hiyo tume?.
I mean , at least ungekuwa na wabunge 49%,kisha upambane ajenda yako ipite kwamba kuanzia sasa tume huru itateuliwa na wabunge kwa kura,,
Sasa wewe wabunge huna, nani sasa atapitisha sheria kwamba sasa Tume ya uchaguzi iteuliwe na wazee wa kishumundu?.
 
Ninakazia:

"najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana."

Na huu ndiyo ulio ukweli.

Kwa wewe kushangilia matusi sanasana nitakuweka kapu moja na huyo ....ukianzisha mada jibu hoja na usitukane watu based on assumptions
 
Wewe wamekutuma kusema kama hakuna katiba mpya hakuna haja ya uchaguzi??

Wewe unayo ongea hapa umetumwa na wananchi gani??..

Mimi nimewaandikia makamanda ambao pia ni wananchi. Yangu ni maoni ndiyo maana ninaitisha kukubali kutokukubaliana. Kiroho safi.

Mimi ninaye ongea hapa ni mwananchi. Ninao wenzangu si wachache.

Kwa hakika tupo wengi sana wenye mawazo kama yangu.

Nimejibu maswali yako yote. Muda wa kuyajibu yangu Sasa:

1. Wewe ni malaika?
2. Wewe ni nani kuwasemea wananchi kuwa fulani anafaa au hafai?

Karibu ndugu mjumbe.
 
We jamaa kumbe uwezo wako ndo huu??aisee nitaacha kubishana na wewe...

Wewe ukiongea unawakilisha wananchi?Sisi tukiongea kitu hupendi hakitoki Kwa wananchi?Sisi sio wananchi? mwenye haki ya kuwasemea wananchi ni wewe?na sio wengine??...

Hizo mentality hazitawasaidia hata ikija hiyo katiba mpyaa...

Kwamba any different opinions sio ya wananchi??wewe ulitembea Tanzania nzima ukakutana na wananchi wakakupa mandate ya kuwasemea na wakasilikiza maoni yetu wengine wakakwambia sio ya kwao??aisee
 
Mara nyingi siku jibu sababu Una uwezo mdogo Sana wa kuelewa na kujibu hoja bila kuweka assumptions

Tena unajibu Kwa ghadhabu hoja ambazo sijazungumza based na assumptions...tena hata unatoka nje ya mada....inaonesha akili ndogo ulivyo nayo ndo maana unajibu Kwa ghadhabu na hasira kitu hata hujaelewa....

Wapi nimesema napinga katiba mpya?unaweza weka hapa ushahidi nikisema napinga katiba mpya??

Umeelewa hata mada ?
Mada inasema katiba mpya na uchaguzi ujao WA mwaka 2025..
Mimi points zangu zote ni kutolazimisha katiba Kwa haraka sababu ya uchaguzi wa 2025..

Nikueleweshe wewe mwenye akili ndogo...mtu akisema katiba mpya isiharakishwe kuwahi uchaguzi WA mwaka 2025 Haina maana anapungua katiba mpya .. inawezekana anataka mchakato mzuri zaidi WA mda mrefu WA kutosha ipatikane katiba nzuri Kwa wote...bila kujali itapatikana kabla ya 2025 au kabla ya 2030....

Jifunze kuelewa kabla ya kushambulia watu Kwa matusi ulifikiri ndo unaongea la maana......

Maana halisi ya demokrasia ni watu kutofautiana mawazo....sasa nyinyi ambao mnafikiri Umuhimu WA katiba ni uchaguzi WA 2025 mkiona mtu ana maoni tofauti ghafla mnamshbulia Kwa matusi only mna reveal uwezo mdogo WA kuelewa hoja na jinsi mlivyo limited kwenye maono....

I hope nimekujibu na kukuonesha ustaarabu wa kujibu hoja bila matusi
Wewe ni mjinga, huna uwezo wa kunifundisha chochote, kusema nakutukana ni kutokana na uwezo wako mdogo wa kutafakari uliojificha kwenye kivuli cha hicho unachoita "assumptions" wakati huku JF hakuna asiyekujua na mahaba yako kwa "watu" wako.

Wewe ni mjinga kwa sababu;

- Unasema wapinzani wasiaminiwe kupewa nchi kwasababu ni mafisadi, huo ushahidi wa ufisadi wao unaukalia kwa nini? mahakama iko pale Mawasiliano, ndani ilipo Law School.

- Unadai wapinzani wanakula ruzuku, wamegeuza ofisi mali zao, kwa ushahidi upi ulionao ikiwa hata CAG anatoa taarifa safi ya matumizi yao ya ruzuku?

Huoni vyote ulivyoandika hapo juu ni ujinga mtupu? sasa wewe una kipi cha kunifundisha?

Sawa demokrasia ni kutofautiana mawazo, hilo hakuna asiyejua, lakini sio kuwa na ndimi mbili kama wewe, unabadilisha ala kulingana na mtawala aliyepo ikulu, narudia tena; WEWE NI MNAFIKI.

Nijibu au usinijibu utajua mwenyewe, but sikufichi kwa unafiki wako, na wala sibembelezi majibu toka kwako.
 
We jamaa kumbe uwezo wako ndo huu??aisee nitaacha kubishana na wewe...

Wewe ukiongea unawakilisha wananchi?Sisi tukiongea kitu hupendi hakitoki Kwa wananchi?Sisi sio wananchi? mwenye haki ya kuwasemea wananchi ni wewe?na sio wengine??...

Hizo mentality hazitawasaidia hata ikija hiyo katiba mpyaa...

Kwamba any different opinions sio ya wananchi??wewe ulitembea Tanzania nzima ukakutana na wananchi wakakupa mandate ya kuwasemea na wakasilikiza maoni yetu wengine wakakwambia sio ya kwao??aisee
Usiniwekee maneno mdomoni ndugu. Wapi nimekusemea wewe au awaye yote? Wapi nimesema namsemea mtu nisiyemsemea?

Umeniuliza maswali nimejibu yote. Nimekuuliza uliyoniuliza unaruka kimanga? Ustaarabu mbona ni kujibu maswali?

Kwa hiyo sasa umelenga tuanze kutupiana maneno domo kwa domo kuitana majina na unilateral assessment of thinking capacity of one another? Kwa kipimio au scale ipi?

"Jikite kwenye hoja kama una lengo la kujadili jambo mjomba."

Bure kabisa!
 
Mara nyingi siku jibu sababu Una uwezo mdogo Sana wa kuelewa na kujibu hoja bila kuweka assumptions

Tena unajibu Kwa ghadhabu hoja ambazo sijazungumza based na assumptions...tena hata unatoka nje ya mada....inaonesha akili ndogo ulivyo nayo ndo maana unajibu Kwa ghadhabu na hasira kitu hata hujaelewa....

Wapi nimesema napinga katiba mpya?unaweza weka hapa ushahidi nikisema napinga katiba mpya??

Umeelewa hata mada ?
Mada inasema katiba mpya na uchaguzi ujao WA mwaka 2025..
Mimi points zangu zote ni kutolazimisha katiba Kwa haraka sababu ya uchaguzi wa 2025..

Nikueleweshe wewe mwenye akili ndogo...mtu akisema katiba mpya isiharakishwe kuwahi uchaguzi WA mwaka 2025 Haina maana anapungua katiba mpya .. inawezekana anataka mchakato mzuri zaidi WA mda mrefu WA kutosha ipatikane katiba nzuri Kwa wote...bila kujali itapatikana kabla ya 2025 au kabla ya 2030....

Jifunze kuelewa kabla ya kushambulia watu Kwa matusi ulifikiri ndo unaongea la maana......

Maana halisi ya demokrasia ni watu kutofautiana mawazo....sasa nyinyi ambao mnafikiri Umuhimu WA katiba ni uchaguzi WA 2025 mkiona mtu ana maoni tofauti ghafla mnamshbulia Kwa matusi only mna reveal uwezo mdogo WA kuelewa hoja na jinsi mlivyo limited kwenye maono....

I hope nimekujibu na kukuonesha ustaarabu wa kujibu hoja bila matusi

Very sad. Kama hamna stamina ya mijadala si mnakaa kwenye majukwaa yanayowafaa?

Akili ndogo za mjumbe unazipima na kifaa gani au scale ipi?

Kwanini mwenye akili ndogo usiwe wewe?

Kama inawezekana anaye chelewesha anaweza kuwa na sababu nzuri anaweza kuwa na sababu ovu pia. Kwanini tusiangalie hata uwezekano wa kuahirisha uchaguzi?

Wapi aliposhambuliwa yeyote kwa matusi?

Hiyo sababu yake nzuri nani anaye i qualify kuwa ni nzuri au ovu? Au ni wewe?
 
Back
Top Bottom