- Thread starter
- #41
Usiniwekee maneno mdomoni ndugu. Wapi nimekusemea wewe au awaye yote? Wapi nimesema namsemea mtu nisiyemsemea?We jamaa kumbe uwezo wako ndo huu??aisee nitaacha kubishana na wewe...
Wewe ukiongea unawakilisha wananchi?Sisi tukiongea kitu hupendi hakitoki Kwa wananchi?Sisi sio wananchi? mwenye haki ya kuwasemea wananchi ni wewe?na sio wengine??...
Hizo mentality hazitawasaidia hata ikija hiyo katiba mpyaa...
Kwamba any different opinions sio ya wananchi??wewe ulitembea Tanzania nzima ukakutana na wananchi wakakupa mandate ya kuwasemea na wakasilikiza maoni yetu wengine wakakwambia sio ya kwao??aisee
Umeniuliza maswali nimejibu yote. Nimekuuliza uliyoniuliza unaruka kimanga? Ustaarabu mbona ni kujibu maswali?
Kwa hiyo sasa umelenga tuanze kutupiana maneno domo kwa domo kuitana majina na unilateral assessment of thinking capacity of one another? Kwa kipimio kipi?
Jikite kwenye hoja kama una lengo la kujadili jambo mjomba.
Bure kabisa!