Raila anataka uwaziri mkuu yule, Ruto ana roho ngumu sana, hampi hata udiwani wa kuteuliwa..Hata Ruto, Gachagua na genge lao la Kenya Kwanza waliamini wakenya watamsusa Raila:
Raila aridhia: Maandamano sasa mara 2 kwa wiki
Kwa taarifa yenu kaeni hivyo hivyo, tena kwa kutulia tuli!
Hiyo ni hatua njema wenye nchi wananchi. Wao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho.Hakuna haja ya kubishana sana,, mda utaamua nani yuko right.. 🤷
Si unawasikia?! - kwani nyie nani na mnaowasikia nao nani? Ni hii timu yenye ID bandia?
Wao umuhimu wa katiba tu?! -- wanani hao?
Wananchi wasiojali siasa wamekutuma kuwasemea hayo?
Wekeni japo utambulisho wenu tuwajue?
Mbona kujimililikisha nchi ki aina aina ndugu?
Hii nchi si yenu peke yenu.
Na mimi hapa ndo mwananchi mwenyewe,, 🤷Hiyo ni hatua njema wenye nchi wananchi. Wao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho.
Tatizo lenu mnaongea kama malaika.Raila anataka uwaziri mkuu yule, Ruto ana roho ngumu sana, hampi hata udiwani wa kuteuliwa..
Mahakama ya mafisadi ipo, kwanini unashindwa na wenzako kupeleka ushahidi wenu wa ufisadi wa hao viongozi wa upinzani?CCM pamoja na mapungufu yake angalau ni chama cha kitaifa...
Kuamini kuwa wapinzani ni wasafi na wapewe Tu nafasi ni hatari sana...
Wakati wanafanya ufisadi na ruzuku na wanagawa viti maalum Kwa vimada wao....
Kikimbilia zoezi la katiba mpya mradi kuwaingiza madarakani wapinzani hawa ambao Wengi ni mafisadi na Wana vyama kama ofisi zao binafsi ni hatari sana...Bora mchakato uende taratibu na kipaumbele kiwe mwananchi ajue haki zake na azitumie
Na mimi hapa ndo mwananchi mwenyewe,, 🤷
Hujui mwenzio hataki kabisa uwepo wa Katiba Mpya, amedandia hoja yako akijua kwamba nawe huitaki kama yeye, badala yake umemuacha njia panda ulipodai muda uliobaki ni miezi nane pekee, mwenzio hata hiyo nane haitaki!, anataka mama yake aachwe mpaka akiondoka ikulu.Hawasomi alama za nyakati,, mwakani uchaguzi wa serikali za mitaa, mwaka unaofuata uchaguzi mkuu,,
Loophole pekee ni mwaka huu, leo mwaka umebaki miezi 8,,
Dalili zote zinaonyesha sidhani kama katiba mpya itapatikana kabla ya 2025,.
Na katiba itahitaji bunge likae kuweka sheria za kuendana na katiba mpya,, hiyo nayo ni process ndefu tu, ukichukulia bunge hili mojority ni ccm, na huwezi kuwaforce wapitishe sheria anazotaka labda mbowe, au henche,,
Mahakama ya mafisadi ipo, kwanini unashindwa na wenzako kupeleka ushahidi wenu wa ufisadi wa hao viongozi wa upinzani?
Hii propaganda ya karne iliyopita ni ya kijinga sana, kwanza inaonesha udhaifu wa hao unaotaka waendelee kututawala [kwasababu aliyepo ikulu ni mwenzako], najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana.
Unadumaza maendeleo ya taifa kwa sababu ya interest zako binafsi, halafu baada ya huyo unayemlinda kuondoka madarakani, mjinga wewe utarudi hapa uanze kupigia kelele umuhimu wa Katiba Mpya!.
Sioni sababu ya kumficha mnafiki.Ninakazia:
"najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana."
Na huu ndiyo ulio ukweli.
Safi sana, sasa kinachofuata ni mwananchi yupi ako na watu, i mean majority,,Hata mimi hapa ndo mwananchi mwenyewe.
Safi sana, sasa kinachofuata ni mwananchi yupi ako na watu, i mean majority,,
Demokrasia imeshaelekeza, majority watapitisha ajenda
Mahakama ya mafisadi ipo, kwanini unashindwa na wenzako kupeleka ushahidi wenu wa ufisadi wa hao viongozi wa upinzani?
Hii propaganda ya karne iliyopita ni ya kijinga sana, kwanza inaonesha udhaifu wa hao unaotaka waendelee kututawala [kwasababu aliyepo ikulu ni mwenzako], najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana.
Unadumaza maendeleo ya taifa kwa sababu ya interest zako binafsi, halafu baada ya huyo unayemlinda kuondoka madarakani, mjinga wewe utarudi hapa uanze kupigia kelele umuhimu wa Katiba Mpya!.
Sasa braza unstegemea nani akuwekee tume unayoitaka wewe kama huna watu kule wanakowekega hiyo tume?.Majority hiyo ni kwa mujibu wa tume huru siyo time ya mchongo.
Ninakazia:
"najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana."
Na huu ndiyo ulio ukweli.
Wewe wamekutuma kusema kama hakuna katiba mpya hakuna haja ya uchaguzi??
Wewe unayo ongea hapa umetumwa na wananchi gani??..
Mimi nimewaandikia makamanda ambao pia ni wananchi. Yangu ni maoni ndiyo maana ninaitisha kukubali kutokukubaliana. Kiroho safi.
Mimi ninaye ongea hapa ni mwananchi. Ninao wenzangu si wachache.
Kwa hakika tupo wengi sana wenye mawazo kama yangu.
Nimejibu maswali yako yote. Muda wa kuyajibu yangu Sasa:
1. Wewe ni malaika?
2. Wewe ni nani kuwasemea wananchi kuwa fulani anafaa au hafai?
Karibu ndugu mjumbe.
Wewe ni mjinga, huna uwezo wa kunifundisha chochote, kusema nakutukana ni kutokana na uwezo wako mdogo wa kutafakari uliojificha kwenye kivuli cha hicho unachoita "assumptions" wakati huku JF hakuna asiyekujua na mahaba yako kwa "watu" wako.Mara nyingi siku jibu sababu Una uwezo mdogo Sana wa kuelewa na kujibu hoja bila kuweka assumptions
Tena unajibu Kwa ghadhabu hoja ambazo sijazungumza based na assumptions...tena hata unatoka nje ya mada....inaonesha akili ndogo ulivyo nayo ndo maana unajibu Kwa ghadhabu na hasira kitu hata hujaelewa....
Wapi nimesema napinga katiba mpya?unaweza weka hapa ushahidi nikisema napinga katiba mpya??
Umeelewa hata mada ?
Mada inasema katiba mpya na uchaguzi ujao WA mwaka 2025..
Mimi points zangu zote ni kutolazimisha katiba Kwa haraka sababu ya uchaguzi wa 2025..
Nikueleweshe wewe mwenye akili ndogo...mtu akisema katiba mpya isiharakishwe kuwahi uchaguzi WA mwaka 2025 Haina maana anapungua katiba mpya .. inawezekana anataka mchakato mzuri zaidi WA mda mrefu WA kutosha ipatikane katiba nzuri Kwa wote...bila kujali itapatikana kabla ya 2025 au kabla ya 2030....
Jifunze kuelewa kabla ya kushambulia watu Kwa matusi ulifikiri ndo unaongea la maana......
Maana halisi ya demokrasia ni watu kutofautiana mawazo....sasa nyinyi ambao mnafikiri Umuhimu WA katiba ni uchaguzi WA 2025 mkiona mtu ana maoni tofauti ghafla mnamshbulia Kwa matusi only mna reveal uwezo mdogo WA kuelewa hoja na jinsi mlivyo limited kwenye maono....
I hope nimekujibu na kukuonesha ustaarabu wa kujibu hoja bila matusi
Usiniwekee maneno mdomoni ndugu. Wapi nimekusemea wewe au awaye yote? Wapi nimesema namsemea mtu nisiyemsemea?We jamaa kumbe uwezo wako ndo huu??aisee nitaacha kubishana na wewe...
Wewe ukiongea unawakilisha wananchi?Sisi tukiongea kitu hupendi hakitoki Kwa wananchi?Sisi sio wananchi? mwenye haki ya kuwasemea wananchi ni wewe?na sio wengine??...
Hizo mentality hazitawasaidia hata ikija hiyo katiba mpyaa...
Kwamba any different opinions sio ya wananchi??wewe ulitembea Tanzania nzima ukakutana na wananchi wakakupa mandate ya kuwasemea na wakasilikiza maoni yetu wengine wakakwambia sio ya kwao??aisee
Mara nyingi siku jibu sababu Una uwezo mdogo Sana wa kuelewa na kujibu hoja bila kuweka assumptions