Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

Usiniwekee maneno mdomoni ndugu. Wapi nimekusemea wewe au awaye yote? Wapi nimesema namsemea mtu nisiyemsemea?

Umeniuliza maswali nimejibu yote. Nimekuuliza uliyoniuliza unaruka kimanga? Ustaarabu mbona ni kujibu maswali?

Kwa hiyo sasa umelenga tuanze kutupiana maneno domo kwa domo kuitana majina na unilateral assessment of thinking capacity of one another? Kwa kipimio kipi?

Jikite kwenye hoja kama una lengo la kujadili jambo mjomba.

Bure kabisa!
 
Kwa wewe kushangilia matusi sanasana nitakuweka kapu moja na huyo ....ukianzisha mada jibu hoja na usitukane watu based on assumptions

I challenge you:

"Onyesha tusi moja nililotukana au kulishangilia popote pale."

Ustaarabu ni kujibu maswali na hasa yako yanapojibiwa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 


Inaonekana mmekuwa bize kunishambulia badala ya kujadili mada ambayo ni katiba mpya na uchaguzi WA 2025...
Kama maoni yangu hukubaliani nayo mngeweza Ku agree to disagree....
Lakini kusema napinga katiba mpya kitu ambacho sio kweli au namuunga mkono Fulani akitoka nitapinga hizo zote assumptions....kibaya zaidi ninayo haki ya kutoa maoni tofauti na kumuunga mkono yeyote ...wala mjadala hapa sio Mimi kuunga mkono Nani ..mjadala ulioleta wewe hapa ni katiba mpya kabla ya uchaguzi na wengine maoni yetu sio lazima katiba mpyaa kabla ya uchaguzi ujao.... weather sababu zetu utaziona sawa au si sawa si ni maoni yetu .??au ulipoanzisha hii thread tulitakiwa tukuunge mkono bila kupinga chochote??..

Aliekuja kunishambulia binafsi bila kuchangia mada ukaungana nae kunishambulia?...
 
Huyo mjinga ana agenda ya siri, nimemsoma nikajikuta nacheka peke yangu, anadai Katiba Mpya ichelewe ili ipatikane nzuri zaidi, kwa "akili" zake ameshapima na kuona kwa huu muda uliobaki, hatuwezi kuipata Katiba Mpya nzuri!, sijui anatumia kipimo cha kisayansi au ni mganga wa kienyeji..

Sasa anaona tunahitaji mpaka 2030!.
 

Rejea nyuma kujiridhisha. Tunakushangaa mkuu. Umetoka kwenye mada kuleta yasiyokuwapo.

1. Umejaribu kuniwekea maneno mdomoni.
2. Ume integrity za watu from nowhere!
3. Umeuliza maswali yote nimejibu. Yako wapi majibu ya maswali unayoulizwa?

Ustaarabu ni kitu cha bure ndugu humu hatujuani!
 
Hivi unajua maana ya kushambuliwa binafsi wewe mzee?

Hayo maswali mawili nimekuuliza pale juu umeweza kuyajibu?

Mimi kukuita wewe mjinga nina sababu, na sababu zenyewe umeziona, kusema hunijibu huo ni uamuzi wako sikulazimishi unijibu, lakini ujue kila ukiandika pumba zako sitakuacha salama..
 

Inasikitisha sana mtu mzima akifikia huku. Nilimwelewa kama mchangiaji serious kwa post #4.

Sasa ghafla duuh! Tunaanza kuitana majina tena? Na assessment za bongo za usiowajua?

Kweli? Siyo kwa majukwaa haya? Labda yale mengine huko!
 

Wakati jamaa yako analeta post yenye matusi ukaenda ukasema unakazia ...unakazia nini??
Kwamba napinga katiba Kwa sababu kuna kiongozi namuunga mkono akitoka nitajiunga kudai katiba?
Wewe huoni umeunga mkono mashambulizi binafsi based on assumptions?

Wewe huoni umetoka kwenye ustaarabu Kwa kuacha mada yako hewani na kwenda kwenye personal attack??
 

Pata maji unywe ikiwezekana pata mawazo ya mtu mwingine. Pana tatizo gani hapa:

Ninakazia:

"najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana."

Na huu ndiyo ulio ukweli.
 
Pata maji unywe ikiwezekana pata mawazo ya mtu mwingine. Pana tatizo gani hapa:

Ninakazia:

"najua siku akibadilika, na msimamo wako utabadilika pia, wewe ni kiumbe wa hovyo sana."

Na huu ndiyo ulio ukweli.
Tuseme wewe na best yako ndo viumbe wa ovyo sana..

My last post kwenye thread yenu..
 
Tuseme wewe na best yako ndo viumbe wa ovyo sana..

My last post kwenye thread yenu..

Ukishindwa hoja unakaa Kwa tulia mjomba. Makasiriko, povu au kuanza kuwaita watu usiowajua majina, kejeli na dharau mbona ni kujidhalilisha mwenyewe tu?

Zingatia yote unayomshutumu nayo mtu akikuelekezea wewe utasema je? 🤣🤣

Pole lakini wacha sisi turejee kwenye vyama vyetu tungali na ya kufanya. Bila katiba mpya uchaguzi big no:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Makwetu kukubali kutokukubaliana ni sehemu ya maisha ndugu.

Haya mambo siyo personal na hayatakuja kuwa.
 
Katiba iliyopo inamlinda Rais tu. Tulishaona mawaziri wameshtakiwa mahakamani na kuhukumiwa.
Ukiacha top 5, ni officer gani ndani ya serikali ni mkubwa kuliko waziri?
Na katiba ijayo bado itamlinda Rais. Rais ataendelea kuwa
1. Mkuu wa Nchi
2. Mkuu wa Serikali
3. Amiri Jeshi Mkuu
Sasa anahitaji nini zaidi kuwa unatouchable hata akitoka madarakani?
Katiba itaboreshwa lakini madaraka na mamlaka ya Rais yataendelea kuwepo kwa 99% ya hali ya sasa.
 
Inasikitisha sana mtu mzima akifukia huku. Nilimwelewa kama mchangiaji serious kwa post #4.

Sasa ghafla duuh! Tunaanza kuitana majina tena? Na assessment za bongo usiowajua?

Kweli? Siyo kwa majukwaa haya labda Yale mengine huko!
Huyo ni mjinga, nimemuuliza maswali nilipo-quote kutoka kwenye kile alichoandika, nikitegemea anijibu kutokea kwenye kile alichoandika, ameshindwa kuyajibu maswali badala yake ameenda kuniletea story za historia ya uzi, sijui nani alimwambia nahitaji hiyo historia, halafu kwa huo ujinga wake, ndio anajiona genious!.
 

Mkuu hebu angalia hapa umesema au hukusema nini:

"Katiba iliyopo inamlinda Rais tu.

Ukiacha top 5, ni officer gani ndani ya serikali ni mkubwa kuliko waziri?"

Pitia post #12 kuna orodha ya mambo yasiyokuwa na idadi, yenye kuonyesha kwa nini katiba iliyopo ni ya hovyo na isiyofaa.
 
Haya ndiyo nayaita madhanio.
1. Hakuna kigogo anayelindwa na katiba asiwajibike au asiwajibishwe zaidi ya Rais(Amiri Jeshi Mkuu).
2. Namba 2 haina ukweli wowote kikatiba kwa sababu katiba imeweka mechanism za kuwajibishwa kwa serikali kupitia bunge, kuwajibishwa kwa jaji mkuu kupitia tume/kamati itakayoundwa na Rais na composition yake imewekwa wazi ikiwepo majaji wa Jumuiya ya Madola(nje ya Tanzania). Imempa Rais nguvu ya kuvunja bunge na bunge nguvu ya kupiga kura ya kutokuwa na imani.
(Sijui kama unanielewa, yaani kuna vitu vizuri kwenye katiba ya sasa lakini tumeshindwa kutumia mara kibao, halafu tunadhani hiyo mpya ikija itakuwa mwarobaini).
#3, 4, 5 zote hazina tofauti na #2.
#6. Katiba haijaunda utitiri wa nafasi za uongozi. Nafasi za uongozi zinazoundwa na katiba ni Rais, Makamu wa Rais, WM, Speaker, NS, DPP, CAG na Mwanasheria Mkuu.
Zingine ni demand driven. Hazijaainishwa kwenye katiba.
 
Imekuwa busy na gonjwa la hatari Kagera. Gonjwa hili lisipokuwa kipaumbele tuna maana gani kama binadamu?

Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Kumbe kuna habari zingine mpya duniani:

TEC yataka Kinga kwa viongozi wote ifutwe

"Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshauri kuondolewa kinga ya kushtakiwa kwa viongozi wa Serikali ili kutoa haki sawa kwa Watanzania wote chini ya Katiba na matakwa ya Mwenyezi Mungu ili waweze kushtakiwa wanapokosea."

"Baraza hilo limesema Ibara ya 12 (1) ya Katiba inasema binadamu wote huzaliwa huru na wote ni sawa, huku kifungu cha 13(1) kinafafanua kuwa watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria.
Hata hivyo, Ibara ya 46 (2) kinasema haitaruhusiwa kufungua shauri dhidi ya Rais na kutoa masharti kadhaa."


Mdogo mdogo maisha yaendelee.

Ninakazia hili ni moja tu, katiba tuliyo nayo haifai.
 
Tukubali kutokukubaliana. Tungali hatujachelewa. Kuteleza si kuanguka.

Aluta continua, victoria acerta!

Ninakazia:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Mshachukua Ruzuku,mmekula mmeambiwa njia sahihi ya kupata katiba ni kuntuna JPM,leo hii unarudi unatwambia tulikosea ila "kuteleza si kuanguka".
Kubali mshafeli hatuna chama cha kupambania katiba mmetusaliti.
 
Mshachukua Ruzuku,mmekula mmeambiwa njia sahihi ya kupata katiba ni kuntuna JPM,leo hii unarudi unatwambia tulikosea ila "kuteleza si kuanguka".
Kubali mshafeli hatuna chama cha kupambania katiba mmetusaliti.

Pole ndugu. Kuchukua ruzuku hakuna mahusiano na kupigania katiba mpya. Hata Hivyo katiba mpya tunayoipigania matunda yake na wewe hadi wajukuu zenu mtayala labda hata zaidi yetu tena kwa kuyagombania.

Vijana wa hovyo nyie laleni majumbani msuburi matunda. Kwani ubora wenu hatujui uko kwenye nini?

Bure kabisa.
 
Katiba ianzie huko kwenye chama chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…