Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Hakuna reforms zitafanyika hata kidogo na uchaguzi fake utafanyikaMkuu hapana. Chadema iendelee kukaza kamba mpk ccm wakubali reforms zifanyike. Karibia kunakucha.

Chadema bila Reforms hawawezi kushiriki Lissu labda umemjua leoKwa maslahi mapana ya taifa...CHADEMA naomba washiriki tu.
Tupate support ya wahisani maana
🤣🤣Kusoma na kuelewa hapa unahitaji miwani yenye lens kali sana.
Haki umeandika nini hiki usiku wa mananeHujafanya homework yako, nadhani watu hawajaelewaaana ya Tume Huru. CHADEMA walishafutwa na Mwenyekiti alisema kama hawaridhiki waende Mahakamani. Ni nani kasema CHADEMA eamerudishwa? Kuhusu Wakatoliki, mlrngwa ni Katibu Mkuu wao, kada wa CHADEMA, Padre Kitima aliyejeruhiwa majuzijuzi kisiasa. Usisahau Kuna watu Wana makanisa "yao" kwa mfano Askofu Bagonza na Askofu Gwajima. Ukieazuia eatanaki na nini? Nyerere naMkapa naMagufuli wote ni Wakatoliki Wala hawashabikia sana Dini yao. Mara nyingi Viongozi la Dr Mpango au hata Rais Samia HUKARIBISHWA huwa hawajipeleki. Mlrngwa ni Kitima.
Kweli inafikirisha sana, ngoja tuone mwisho wakeNina maswali matano juu ya sakata hili? Wala Sina maelezo mengi. Kwa ufupi, Serikali imetoa tangazo rasmi kwamba CHADEMA wanaweza kusaini kanuni za Uchaguzi hata sasa na kuingia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Soma, Pia: Wakili Ado November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili
Nina maswali 5 ambayo sijapata jibu!!
1. Kwa nini Serikali imebadilisha msimamo wake sasa? Why now? Taarifa iliyotoka mwanzoni kutoka ofisi ya Msajili ni kwamba CHADEMA hawataruhusiwa kushiriki uchaguzi wo wote hata wa marudio hadi 2030. Nini kimetokea na kubadilisha msimamo huu wa awali? Nikapata swali lingine!
2. Je, Chadema watashiriki au hawatashiriki? Je, CHADEMA Wakigoma kushiriki Uchaguzi 2025, Serikali na CCM wataendelea kulegeza kamba na kufanya Reforms kidogo au watagoma na kuendelea na uchaguzi? Duuh! Nikapata swali lingine la 3 tena!
3. Je, CCM Wakiendelea bila Chadema nini kitatokea ukizingatia kwamba
Wanaotukopesha madola mengi sana ndo hao hao wanataka tuwe na Demokrasia kwa maana kwamba CHADEMA washiriki? Je, vyama hivi vidogo vitaufanya uchaguzi kuwa halali mbele ya macho ya kimataifa? Kumbe maswali hayaishi. Nikajiuliza swali la Nne!
4. Je, Uchaguzi ukifanyika na tukaamua kujitegemea kama Taifa huru (Sovereign state) bila kujali kama ulaya na Marekani wanataka au hawataki, Je, tunaweza kukaa bila wao au bila kukopa cho chote kutoka kwao kwa miaka mitano ijayo? Tunaweza kukabiliano na vikwazo vyao? Kumbuka marejesho yetu kwa mwezi ni Zaidi ya nusu ya makusanya ya Mwezi. Je, tunaweza kukaa bila kukopa kutoka kwao kwa miaka 5 ijayo? Swali la tano likaja, Kama Hilo haiwezekani!
5. Je, Tukiamua kujitegemea kwa Mbinde na kuamua kuitengeneza marafiki wapya (new alliance) na Waarabu, China na Urusi, Je, Hawa jamaa wanaweza wakatufikisha? Wanauwezo huo!? Nilipofika hapa sasa Kichwa kimeuma kwa sababu Kuna swali la Ziada! Nikakumbuka na waraka wa katoliki wa Juzi!
6 Je, Kwa nini wakatholiki wamekataa Viongozi wa vyama vya siasa, Chama tawala na Serikali kusimamia madhabahuni? Kwa nini sasa!? Kwa nini Leo?! What is in Between the line?
Je, nao wanashinikiza Reform za Lissu, Lema na Heche kwa njia hiyo!?
Je, Kuna madhehebu mengine ya Kikristo na kiislamu yenye msimamo huo hata kama hawajatoa waraka wao? Hata Mimi sijui!! Nini kifanyike?
Narudi kwako, Wewe unayetaka kucoment ndo ungekuwa Rais ungeamua kupatana na Chadema au ungefanyaje katika mazingira kama haya??
Unamwita Lissu na kukaa naye meza Moja au unakomaa mazingira kama haya?
Kwa heshima na unyenyekevu na uzalendo kwa Taifa langu nawasilisha kwa AJILI ya mjadala.
Tukiachilia mbali blind optimism, na kama tunaamini katika mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu, CHADEMA watakuwa wameitendea mema nchi yetu, kama watabadili msimamo wao na kukubali kushiriki uchaguzi. Wakusanye maoni ya wanachama wao, waitishe kamati kuu na mkutano mkuu wao na kukubaliana ni marekebisho gani yanayowezekana kwa muda uliobaki yafanyike ili washiriki uchaguzi. This may be the best compromise necessary for peace, stability and national unitNina maswali matano juu ya sakata hili? Wala Sina maelezo mengi. Kwa ufupi, Serikali imetoa tangazo rasmi kwamba CHADEMA wanaweza kusaini kanuni za Uchaguzi hata sasa na kuingia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Soma, Pia: Wakili Ado November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili
Nina maswali 5 ambayo sijapata jibu!!
1. Kwa nini Serikali imebadilisha msimamo wake sasa? Why now? Taarifa iliyotoka mwanzoni kutoka ofisi ya Msajili ni kwamba CHADEMA hawataruhusiwa kushiriki uchaguzi wo wote hata wa marudio hadi 2030. Nini kimetokea na kubadilisha msimamo huu wa awali? Nikapata swali lingine!
2. Je, Chadema watashiriki au hawatashiriki? Je, CHADEMA Wakigoma kushiriki Uchaguzi 2025, Serikali na CCM wataendelea kulegeza kamba na kufanya Reforms kidogo au watagoma na kuendelea na uchaguzi? Duuh! Nikapata swali lingine la 3 tena!
3. Je, CCM Wakiendelea bila Chadema nini kitatokea ukizingatia kwamba
Wanaotukopesha madola mengi sana ndo hao hao wanataka tuwe na Demokrasia kwa maana kwamba CHADEMA washiriki? Je, vyama hivi vidogo vitaufanya uchaguzi kuwa halali mbele ya macho ya kimataifa? Kumbe maswali hayaishi. Nikajiuliza swali la Nne!
4. Je, Uchaguzi ukifanyika na tukaamua kujitegemea kama Taifa huru (Sovereign state) bila kujali kama ulaya na Marekani wanataka au hawataki, Je, tunaweza kukaa bila wao au bila kukopa cho chote kutoka kwao kwa miaka mitano ijayo? Tunaweza kukabiliano na vikwazo vyao? Kumbuka marejesho yetu kwa mwezi ni Zaidi ya nusu ya makusanya ya Mwezi. Je, tunaweza kukaa bila kukopa kutoka kwao kwa miaka 5 ijayo? Swali la tano likaja, Kama Hilo haiwezekani!
5. Je, Tukiamua kujitegemea kwa Mbinde na kuamua kuitengeneza marafiki wapya (new alliance) na Waarabu, China na Urusi, Je, Hawa jamaa wanaweza wakatufikisha? Wanauwezo huo!? Nilipofika hapa sasa Kichwa kimeuma kwa sababu Kuna swali la Ziada! Nikakumbuka na waraka wa katoliki wa Juzi!
6 Je, Kwa nini wakatholiki wamekataa Viongozi wa vyama vya siasa, Chama tawala na Serikali kusimamia madhabahuni? Kwa nini sasa!? Kwa nini Leo?! What is in Between the line?
Je, nao wanashinikiza Reform za Lissu, Lema na Heche kwa njia hiyo!?
Je, Kuna madhehebu mengine ya Kikristo na kiislamu yenye msimamo huo hata kama hawajatoa waraka wao? Hata Mimi sijui!! Nini kifanyike?
Narudi kwako, Wewe unayetaka kucoment ndo ungekuwa Rais ungeamua kupatana na Chadema au ungefanyaje katika mazingira kama haya??
Unamwita Lissu na kukaa naye meza Moja au unakomaa mazingira kama haya?
Kwa heshima na unyenyekevu na uzalendo kwa Taifa langu nawasilisha kwa AJILI ya mjadala.
Mimi sinta comments chochote labda baada ya tar 27 June.Huo ni mtego mkubwa wamewekewa CHADEMA!
CHADEMA wakomae na "No Reform No Election"!
Sasa hivi NRNE inapata support kubwa ndani (tena hata ndani ya Chama tawala);na nje ya Tanzania.
Nadhani not longer time to come,DDP anaweza kuachia Nolle!
Una haraka gani, si ungesubiri ushuke kwenye bodaboda ndio upost?Hujafanya homework yako, nadhani watu hawajaelewaaana ya Tume Huru. CHADEMA walishafutwa na Mwenyekiti alisema kama hawaridhiki waende Mahakamani. Ni nani kasema CHADEMA eamerudishwa? Kuhusu Wakatoliki, mlrngwa ni Katibu Mkuu wao, kada wa CHADEMA, Padre Kitima aliyejeruhiwa majuzijuzi kisiasa. Usisahau Kuna watu Wana makanisa "yao" kwa mfano Askofu Bagonza na Askofu Gwajima. Ukieazuia eatanaki na nini? Nyerere naMkapa naMagufuli wote ni Wakatoliki Wala hawashabikia sana Dini yao. Mara nyingi Viongozi la Dr Mpango au hata Rais Samia HUKARIBISHWA huwa hawajipeleki. Mlrngwa ni Kitima.
Ile nusu mkate ya Mh Mbowe inaweza ikajitokeza tena huko tuendako.Tayari wameshaanza kuingia kwenye mfumo.. Wanakaribia kutema bungo lote! CHADEMA NO RETREAT NO SURRENDER washikilie hapo hapo
Madai ya cdm ni ya halali, na hawapaswi kulegeza msimamo wao kwani ni madai ya muda mrefu. Hakuna cdm kuitisha kikao chochote, maana hakuna kikao hawajakaa kuonyesha madai yao. Umoja wa kitaifa unaletwa na utendaji wa haki na sio kutawaliwa kwa shuruti na ccm.Tukiachilia mbali blind optimism, na kama tunaamini katika mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu, CHADEMA watakuwa wameitendea mema nchi yetu, kama watabadili msimamo wao na kukubali kushiriki uchaguzi. Wakusanye maoni ya wanachama wao, waitishe kamati kuu na mkutano mkuu wao na kukubaliana ni marekebisho gani yanayowezekana kwa muda uliobaki yafanyike ili washiriki uchaguzi. This may be the best compromise necessary for peace, stability and national unit
Usikate tamaa mapema hiiHakuna reforms zitafanyika hata kidogo na uchaguzi fake utafanyika
Maswali yako yanajibiwa na swali hili.Je reforms zime fanyika? Kama bado chadema hawashiriki uchaguzi hata waitwe na nani.Nina maswali matano juu ya sakata hili? Wala Sina maelezo mengi. Kwa ufupi, Serikali imetoa tangazo rasmi kwamba CHADEMA wanaweza kusaini kanuni za Uchaguzi hata sasa na kuingia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Soma, Pia: Wakili Ado November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili
Nina maswali 5 ambayo sijapata jibu!!
1. Kwa nini Serikali imebadilisha msimamo wake sasa? Why now? Taarifa iliyotoka mwanzoni kutoka ofisi ya Msajili ni kwamba CHADEMA hawataruhusiwa kushiriki uchaguzi wo wote hata wa marudio hadi 2030. Nini kimetokea na kubadilisha msimamo huu wa awali? Nikapata swali lingine!
2. Je, Chadema watashiriki au hawatashiriki? Je, CHADEMA Wakigoma kushiriki Uchaguzi 2025, Serikali na CCM wataendelea kulegeza kamba na kufanya Reforms kidogo au watagoma na kuendelea na uchaguzi? Duuh! Nikapata swali lingine la 3 tena!
3. Je, CCM Wakiendelea bila Chadema nini kitatokea ukizingatia kwamba
Wanaotukopesha madola mengi sana ndo hao hao wanataka tuwe na Demokrasia kwa maana kwamba CHADEMA washiriki? Je, vyama hivi vidogo vitaufanya uchaguzi kuwa halali mbele ya macho ya kimataifa? Kumbe maswali hayaishi. Nikajiuliza swali la Nne!
4. Je, Uchaguzi ukifanyika na tukaamua kujitegemea kama Taifa huru (Sovereign state) bila kujali kama ulaya na Marekani wanataka au hawataki, Je, tunaweza kukaa bila wao au bila kukopa cho chote kutoka kwao kwa miaka mitano ijayo? Tunaweza kukabiliano na vikwazo vyao? Kumbuka marejesho yetu kwa mwezi ni Zaidi ya nusu ya makusanya ya Mwezi. Je, tunaweza kukaa bila kukopa kutoka kwao kwa miaka 5 ijayo? Swali la tano likaja, Kama Hilo haiwezekani!
5. Je, Tukiamua kujitegemea kwa Mbinde na kuamua kuitengeneza marafiki wapya (new alliance) na Waarabu, China na Urusi, Je, Hawa jamaa wanaweza wakatufikisha? Wanauwezo huo!? Nilipofika hapa sasa Kichwa kimeuma kwa sababu Kuna swali la Ziada! Nikakumbuka na waraka wa katoliki wa Juzi!
6 Je, Kwa nini wakatholiki wamekataa Viongozi wa vyama vya siasa, Chama tawala na Serikali kusimamia madhabahuni? Kwa nini sasa!? Kwa nini Leo?! What is in Between the line?
Je, nao wanashinikiza Reform za Lissu, Lema na Heche kwa njia hiyo!?
Je, Kuna madhehebu mengine ya Kikristo na kiislamu yenye msimamo huo hata kama hawajatoa waraka wao? Hata Mimi sijui!! Nini kifanyike?
Narudi kwako, Wewe unayetaka kucoment ndo ungekuwa Rais ungeamua kupatana na Chadema au ungefanyaje katika mazingira kama haya??
Unamwita Lissu na kukaa naye meza Moja au unakomaa mazingira kama haya?
Kwa heshima na unyenyekevu na uzalendo kwa Taifa langu nawasilisha kwa AJILI ya mjadala.
Ni kweli hoja ya msingi ni kama reforms zimefanyika au la, lakini pia ni muhimu kujadili namna ya kushinikiza mabadiliko hayo. Kukataa kushiriki uchaguzi bila kushiriki kabisa kwenye mchakato wa kudai reforms kunaweza kuacha nafasi kwa mfumo uleule kuendelea. Mkakati wa pamoja wa kisiasa, kushiriki majadiliano na kushinikiza kwa hoja ni njia bora ya kufanikisha mageuzi ya kweli.Maswali yako yanajibiwa na swali hili.Je reforms zime fanyika? Kama bado chadema hawashiriki uchaguzi hata waitwe na nani.
#1 . Office ya Msajili inahusikaje na Kanuni za Uchaguzi?Nina maswali matano juu ya sakata hili? Wala Sina maelezo mengi. Kwa ufupi, Serikali imetoa tangazo rasmi kwamba CHADEMA wanaweza kusaini kanuni za Uchaguzi hata sasa na kuingia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Soma, Pia: Wakili Ado November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili
Nina maswali 5 ambayo sijapata jibu!!
1. Kwa nini Serikali imebadilisha msimamo wake sasa? Why now? Taarifa iliyotoka mwanzoni kutoka ofisi ya Msajili ni kwamba CHADEMA hawataruhusiwa kushiriki uchaguzi wo wote hata wa marudio hadi 2030. Nini kimetokea na kubadilisha msimamo huu wa awali? Nikapata swali lingine!
2. Je, Chadema watashiriki au hawatashiriki? Je, CHADEMA Wakigoma kushiriki Uchaguzi 2025, Serikali na CCM wataendelea kulegeza kamba na kufanya Reforms kidogo au watagoma na kuendelea na uchaguzi? Duuh! Nikapata swali lingine la 3 tena!
3. Je, CCM Wakiendelea bila Chadema nini kitatokea ukizingatia kwamba
Wanaotukopesha madola mengi sana ndo hao hao wanataka tuwe na Demokrasia kwa maana kwamba CHADEMA washiriki? Je, vyama hivi vidogo vitaufanya uchaguzi kuwa halali mbele ya macho ya kimataifa? Kumbe maswali hayaishi. Nikajiuliza swali la Nne!
4. Je, Uchaguzi ukifanyika na tukaamua kujitegemea kama Taifa huru (Sovereign state) bila kujali kama ulaya na Marekani wanataka au hawataki, Je, tunaweza kukaa bila wao au bila kukopa cho chote kutoka kwao kwa miaka mitano ijayo? Tunaweza kukabiliano na vikwazo vyao? Kumbuka marejesho yetu kwa mwezi ni Zaidi ya nusu ya makusanya ya Mwezi. Je, tunaweza kukaa bila kukopa kutoka kwao kwa miaka 5 ijayo? Swali la tano likaja, Kama Hilo haiwezekani!
5. Je, Tukiamua kujitegemea kwa Mbinde na kuamua kuitengeneza marafiki wapya (new alliance) na Waarabu, China na Urusi, Je, Hawa jamaa wanaweza wakatufikisha? Wanauwezo huo!? Nilipofika hapa sasa Kichwa kimeuma kwa sababu Kuna swali la Ziada! Nikakumbuka na waraka wa katoliki wa Juzi!
6 Je, Kwa nini wakatholiki wamekataa Viongozi wa vyama vya siasa, Chama tawala na Serikali kusimamia madhabahuni? Kwa nini sasa!? Kwa nini Leo?! What is in Between the line?
Je, nao wanashinikiza Reform za Lissu, Lema na Heche kwa njia hiyo!?
Je, Kuna madhehebu mengine ya Kikristo na kiislamu yenye msimamo huo hata kama hawajatoa waraka wao? Hata Mimi sijui!! Nini kifanyike?
Narudi kwako, Wewe unayetaka kucoment ndo ungekuwa Rais ungeamua kupatana na Chadema au ungefanyaje katika mazingira kama haya??
Unamwita Lissu na kukaa naye meza Moja au unakomaa mazingira kama haya?
Kwa heshima na unyenyekevu na uzalendo kwa Taifa langu nawasilisha kwa AJILI ya mjadala.
Hapana ni ngumu sanaIle nusu mkate ya Mh Mbowe inaweza ikajitokeza tena huko tuendako.
Time will tell.Hapana ni ngumu sana
Kinachotakiwa na CDM ni nini haswa? Ni reforms, au ni kugomea uchaguzi? Kama ni reforms, kuna shida gani waka kaa mezani na kukubaliana reforms za muhimu kuwawezesha wao kushiriki uchaguzi? Migogoro yote duniani huisha kwa kuzungumza, kama hamtaki mazungumzo tunakuwa na wasiwasi mnachotaka ni nini?Madai ya cdm ni ya halali, na hawapaswi kulegeza msimamo wao kwani ni madai ya muda mrefu. Hakuna cdm kuitisha kikao chochote, maana hakuna kikao hawajakaa kuonyesha madai yao. Umoja wa kitaifa unaletwa na utendaji wa haki na sio kutawaliwa kwa shuruti na ccm.