Uchaguzi 2025, CHADEMA warudishwa uwanjani na serikali ya CCM, Je, CHADEMA watakubali au watagoma? 5 questions to answer!

Mbona umeweka maswali sita badala ya Matano
 
Haki umeandika nini hiki usiku wa manane
 
Kweli inafikirisha sana, ngoja tuone mwisho wake
 
Tuwaombe chadema waridhie kuingia kwenye uchaguzi hivyo kwa sheria zilizopo hata kama hawatashinda ukweli utajulikana, wizi wa kura utakuwa wazi na udanganyifu mwingine utaonekana
 
Tukiachilia mbali blind optimism, na kama tunaamini katika mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu, CHADEMA watakuwa wameitendea mema nchi yetu, kama watabadili msimamo wao na kukubali kushiriki uchaguzi. Wakusanye maoni ya wanachama wao, waitishe kamati kuu na mkutano mkuu wao na kukubaliana ni marekebisho gani yanayowezekana kwa muda uliobaki yafanyike ili washiriki uchaguzi. This may be the best compromise necessary for peace, stability and national unit
 
Huo ni mtego mkubwa wamewekewa CHADEMA!
CHADEMA wakomae na "No Reform No Election"!
Sasa hivi NRNE inapata support kubwa ndani (tena hata ndani ya Chama tawala);na nje ya Tanzania.
Nadhani not longer time to come,DDP anaweza kuachia Nolle!
Mimi sinta comments chochote labda baada ya tar 27 June.
 
Una haraka gani, si ungesubiri ushuke kwenye bodaboda ndio upost?
 
Tayari wameshaanza kuingia kwenye mfumo.. Wanakaribia kutema bungo lote! CHADEMA NO RETREAT NO SURRENDER washikilie hapo hapo
Ile nusu mkate ya Mh Mbowe inaweza ikajitokeza tena huko tuendako.
 
Madai ya cdm ni ya halali, na hawapaswi kulegeza msimamo wao kwani ni madai ya muda mrefu. Hakuna cdm kuitisha kikao chochote, maana hakuna kikao hawajakaa kuonyesha madai yao. Umoja wa kitaifa unaletwa na utendaji wa haki na sio kutawaliwa kwa shuruti na ccm.
 
Maswali yako yanajibiwa na swali hili.Je reforms zime fanyika? Kama bado chadema hawashiriki uchaguzi hata waitwe na nani.
 
Maswali yako yanajibiwa na swali hili.Je reforms zime fanyika? Kama bado chadema hawashiriki uchaguzi hata waitwe na nani.
Ni kweli hoja ya msingi ni kama reforms zimefanyika au la, lakini pia ni muhimu kujadili namna ya kushinikiza mabadiliko hayo. Kukataa kushiriki uchaguzi bila kushiriki kabisa kwenye mchakato wa kudai reforms kunaweza kuacha nafasi kwa mfumo uleule kuendelea. Mkakati wa pamoja wa kisiasa, kushiriki majadiliano na kushinikiza kwa hoja ni njia bora ya kufanikisha mageuzi ya kweli.
 
#1 . Office ya Msajili inahusikaje na Kanuni za Uchaguzi?
 
Kinachotakiwa na CDM ni nini haswa? Ni reforms, au ni kugomea uchaguzi? Kama ni reforms, kuna shida gani waka kaa mezani na kukubaliana reforms za muhimu kuwawezesha wao kushiriki uchaguzi? Migogoro yote duniani huisha kwa kuzungumza, kama hamtaki mazungumzo tunakuwa na wasiwasi mnachotaka ni nini?
 
Ati CCM wameirudisha CHADEMA kwenye uchaguzi😀😀nini kimewatekenya mpaka wameanza kucheka au ndo wamejitekenya wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…