Uchaguzi 2025, CHADEMA warudishwa uwanjani na serikali ya CCM, Je, CHADEMA watakubali au watagoma? 5 questions to answer!

Leo unanishangaza, kuliko nilivyo tegemea kwa mtu kama wewe kunishangaza!
Kwa kweli ni lazima niseme tu, dunia imejaa vituko!
Mkuu kwa hii katiba mbovu hata wakipiga kura watu wawi wanatosha kumchagua Rais na akatangazwa, Zanzibar walisusia nini kilitokea?
 
Asante kwa taarifa ili amani itawale lazima kuwepo na reforms .
 
Nilikuwa najibu tu Bandiko lake, ccm hata Mimi siitaki…
 
Tuwaombe chadema waridhie kuingia kwenye uchaguzi hivyo kwa sheria zilizopo hata kama hawatashinda ukweli utajulikana, wizi wa kura utakuwa wazi na udanganyifu mwingine utaonekana
Serikali ya CCM fanyeni marekebisho madogo ya katiba na kuiboresha Tume ili Taifa lipate nuru na watu washiriki uchaguzi ulio huru na haki vinginevyo ....
 
Tukisema CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani hawataki.... ila CHADEMA wakisema no, wanaanza kutafuta namna ya kuwarudisha mchezoni....

Walipokataa kuingia bungeni 2020, walitengeneza wabunge wao 19, ili mradi CHADEMA wawepo bungeni.
CHAUMA IMEBUMA. MKAKATI ULIOSHINDIKANA
 
Huo uchafu wako umeokoteza wapi, nyie kwl ni wapumbavu
 
Chadema wanahitaji mabadiliko ya sheria ndio waingie kwenye uchaguzi sio kusaini kanuni za maadili. Nadhani hawana shida na kanuni bali na mabaliko ya sheria 'No reforms no election'
 
Karibuni tu Chadema wataingia kwenye mfumo wa Wahuni CCM
 
Hata sikuelewi kabisa unacho andika leo. Itoshe tu kusema, pengine Abdul kakugongea hodi hapo ulipo!
Mkuu utanielewa baadae sn, hii katiba ni mbovu haswa hata akipiga kura mtu mmoja anatosha kumchagua Rais na akashinda + tume fake , Lisu yupo magereza tumefanya nini? CHADEMA imefungiwa kufanya kazi kimya, watu wanatekwa na kuuliwa na huu mfumo ovu tupo kimya, bora uingie uwanjani kama alivyofanya Rais wa Zambia pamoja na kuwa na mfumo mbovu lakini alishinda, Lisu akigombea unawezakano wa kushinda ni mkubwa sn sababu ndani ya CCM watu hawamtaki maza hata kidogo, ukija kitaa raia wa chini ndiyo hawataki hata kumsikia kabisa hafai kuwa kiongozi wa nchi.
 
Nimempenda neno vyama shikizi vya Chama cha Mapinduzi, ahahaaa, umeongea uhalisia na Jaji Mtungi analijua na kuliishi hilo kwa zaidi ya 200 %
 
Yaani ni hivi - bila CDM kushiriki uchaguzi CCM waelewe atakayeshinda atatambulika hadi pale Lumumba tu.
Bila Reforms hakuna kitu kinaitwa uchaguzi wa October 25.
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…