Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
 
Unajadilije uchaguzi na bunge halijavunjwa rejea katiba ibara 38:2A
 
Kwani huo uchaguzi CCM wanashindana na chama gani?
Mbona wanashindana peke yao ,hizo fujo labda utaleta wewe.
 
Back
Top Bottom