Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 Jul 23, 2025 #1 Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,577 Reaction score 23,171 Jul 23, 2025 #2 Unajadilije uchaguzi na bunge halijavunjwa rejea katiba ibara 38:2A
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,029 Reaction score 10,025 Jul 23, 2025 #3 Kwani huo uchaguzi CCM wanashindana na chama gani? Mbona wanashindana peke yao ,hizo fujo labda utaleta wewe.
Kwani huo uchaguzi CCM wanashindana na chama gani? Mbona wanashindana peke yao ,hizo fujo labda utaleta wewe.