Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Molel hatoboi kule Siha.🙂🙂, uchaguzi 2025 , kwa upande wa wabunge unaweza kuwa mgumu sana,
Shida sugu: Tatizo letu sisi wananchi mda mwingine kama tulilogwa vile yani akipewa kanga/kitenge na kofia 😥, mgombea amesha maliza kazi..
. Kati ya viongozi hoihae Molel yumo na ma t-shirt yake ya Love sa100 🙂,Molel hatoboi kule Siha.
Kimei ndio takataka hakuna mmarangu anataka kumsikia, walimchagua kwa kuahidiwa atakuwa waziri wa fedha.
Priscus ni class mate wa Rizi 1 na hamna kitu, hajui siasa na yupo yupo, nakwambia Kilimanjaro itaongoza kwa upinzani.
Wananchi na Wajumbe wakaingia kingi 🤔, Kimei Aludi tu CRDB kama kutakuwa bado kuna nafasi..walimchagua kwa kuahidiwa atakuwa waziri wa fedha
Tulia Ackson anagalagazwa Asubuhi na Mapema sana.
timing mbobu, samia habadili badili, Kimei aendeleze kampuni zake.. Kati ya viongozi hoihae Molel yumo na ma t-shirt yake ya Love sa100 🙂,
Wananchi na Wajumbe wakaingia kingi 🤔, Kimei Aludi tu CRDB kama kutakuwa bado kuna nafasi..
... Msimu ule wabunge walipita na power ya mwendazake...
• Yule mzee alikuwa na nyota kali sana, najiuliza kwa nini Watoto wote, hakuna hata mmoja aliye rithi siasa za mzee 🤔.Kikwete alipoona Lowassa ndiye chaguo la wanaccm akaamua kuingia na majina yake akiliondoa la Lowassa Kila nikikumbuka huu ushenzi.......