UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

Porojo za Lumumba wakati wa kusubiri muamala wa bk7
Chadema ya kweli ilikuwa ile ya Dr Slaa hii ya Mbowe imefeli pakubwa tu mosi aliwakaribisha Lowassa na Membe bila ya kuwafanyia vetting na sasa asubiri Nyalandu kutimka !
 
Hongereni sana na kila la heri Viongozi wote wateule wa BAVICHA
 
Wivu utakuua.

Umeshindwa kusema kuwa CHADEMA kuna demokrasia ya kweli kuliko huko kijani ambako viongozi wengi wanatoka mifukoni mwa watawala.

Wengine wanapatikana kwa hongo ya ngono.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza kasoma pamba sekondary advance kasoma ihungo sec bukoba
Binafsi namfahamu tangu akiwa mtoto ni kijana mcha Mungu anayeipenda siasa tangu akiwa mtoto
Advance ndio kozi gani mkuu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…