Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Hakuna kitu huyu nae ni pumba tu. Hii ndio kwa mara kwanza kaijibu kama ilivyo. Hapo ujue roho inamuuma kujibu kama alivyo muelelezea huyo dadaAliyebakia CCM mwenye akili ni wewe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu huyu nae ni pumba tu. Hii ndio kwa mara kwanza kaijibu kama ilivyo. Hapo ujue roho inamuuma kujibu kama alivyo muelelezea huyo dadaAliyebakia CCM mwenye akili ni wewe tu
Umenikumbusha JJ Mnyika wakati tunampokea pale Chadema alikuwa kimbaumbau kabisa!Hamna mtu mwembamba duniani.View attachment 1288407
Hebu tuwekee picha tumuone kabla na baada.Umenikumbusha JJ Mnyika wakati tunampokea pale Chadema alikuwa kimbaumbau kabisa!
CCM inamtamani huyo......... Hahahaaaa!Hakuna kitu huyu nae ni pumba tu. Hii ndio kwa mara kwanza kaijibu kama ilivyo. Hapo ujue roho inamuuma kujibu kama alivyo muelelezea huyo dada
Wakudadavuwa leta picha ya Mnyika mkiwa Bavicha Tafadhali!Hebu tuwekee picha tumuone kabla na baada.
Huyu na akina kingwangwala,January makamba,ridhiwani,nani mkubwa?. Maana hao wote wako uvccm
Kuna kutumia kutumia uhuru kwa utashi na kuna kuamua bila kupenda.Hayo yote ni sehemu ya maisha.mi nimetoa tu tahadhali.kama hujui tu siasa ni imani.Ukisaliti imani yako huwezi kupata amani.Mzee baba unakwama wapi?Hakuna dhambi. Hapo. Acha kuchanganyA Dini na. Mambo y kijinga. Unadai Demokrasia lakini mtu akitumia uhuru na utashi wake we unaita kusaliti. Mlinde kwanza mama watoto mkuu. Huko ndo kuna kusalitiana.
Hamna mtu mwembamba duniani.View attachment 1288407
tupia na maoni yako kidogo ili utupe mwanga hasa sisi tuliopo hapa mchambawimaNusrat Shabani Hanje Amechaguliwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Baraza La Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA Taifa).
View attachment 1288257
tupia na maoni yako kidogo ili utupe mwanga hasa sisi tuliopo hapa mchambawimaNusrat Shabani Hanje Amechaguliwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Baraza La Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA Taifa).
View attachment 1288257
Ila wakati mwingine unafiki anauacha nyumbaniHakuna kitu huyu nae ni pumba tu. Hii ndio kwa mara kwanza kaijibu kama ilivyo. Hapo ujue roho inamuuma kujibu kama alivyo muelelezea huyo dada
Binafsi sina chama chochote ila napenda haki na usawaHahahaaaa.......hahahaaaa....... Chadema bhana!
Bila picha hainogiUmenikumbusha JJ Mnyika wakati tunampokea pale Chadema alikuwa kimbaumbau kabisa!
Hawa vijana wa namna hii huwa wana msimamo sanaCcm watafisadi kila kitu ili mradi wamnunue huyu
Namfahamu huyo dogo kupitia Star TV, Ni mkakamavu, mjenga hoja n
Mzuri japo ana jazba za haraka na ni mrahisi kutoka kwenye njia akipandwa na jazba. Kitu ambacho sina shaka naye ni mapenzi yake mazito kwa cdm. Nadhani ni ngumu kuhongwa kwenda kuunga juhudi, maana sasa hivi hiyo ndio fashion.