UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

Huyu na akina kingwangwala,January makamba,ridhiwani,nani mkubwa?. Maana hao wote wako uvccm
Ongezea na lemutuz hapo.

Na mm nakutwanga swali...ni umri gani mtu anapaswa ili awe kwenye jumuiya ya wazazi ccm...maana nikipima umri wa bulembo na lemutuz[emoji848]
 
Ongezea na lemutuz hapo.

Na mm nakutwanga swali...ni umri gani mtu anapaswa ili awe kwenye jumuiya ya wazazi ccm...maana nikipima umri wa bulembo na lemutuz[emoji848]
Inasemekana Le Mutuz alifanya kazi kwenye Jumuiya ya Africa Mashariki .
 
Kipindi hicho hata makonda alikuwa huko sana.
Hamna mtu mwembamba duniani.
tapatalk_1575104947542.jpeg
 
Ongezea na lemutuz hapo.

Na mm nakutwanga swali...ni umri gani mtu anapaswa ili awe kwenye jumuiya ya wazazi ccm...maana nikipima umri wa bulembo na lemutuz[emoji848]
Umeonaeeh...? Akina lemutuz?. Na swali lako Nakujibu hivi kwenye makaratasi nafikiri wameweka miaka 35 ndio umri wa ujana. Lakini wengi utakuta wana miaka 42 wako smart kiujana kabisa. Ndio akina January. Mfano ukibahatika kukutana na mimi nikikuambia nina miaka 43 huwezi kuamini. Niko smart kiujana kabisa kuliko walionifuatia wenye miaka 35/36. Sababu kubwa ni namna mtu unavyojitunza. Unakuleje vile vile. Mimi hakuna siku inanipita bila mazoezi ya saa nzima. Lakini kwa kumalizia huyo sister kwa muonekano tu hazidi miaka 34.
 
Back
Top Bottom