unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Pambalu ajue ana jukumu zitto la kukisimamia chama katika wakati mgumu na mzuri.Asije akasaliti maana dhambi hiyo itamhizunisha milele.
Hakuna dhambi. Hapo. Acha kuchanganyA Dini na. Mambo y kijinga. Unadai Demokrasia lakini mtu akitumia uhuru na utashi wake we unaita kusaliti. Mlinde kwanza mama watoto mkuu. Huko ndo kuna kusalitiana.