UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

Pambalu ajue ana jukumu zitto la kukisimamia chama katika wakati mgumu na mzuri.Asije akasaliti maana dhambi hiyo itamhizunisha milele.

Hakuna dhambi. Hapo. Acha kuchanganyA Dini na. Mambo y kijinga. Unadai Demokrasia lakini mtu akitumia uhuru na utashi wake we unaita kusaliti. Mlinde kwanza mama watoto mkuu. Huko ndo kuna kusalitiana.
 
Mods,niwashukuru sana kwa kuniwekea maneno "News alert" hapo juu.Naomba sasa mnisaidie pia ku edit kichwa cha post, kisomeke "UCHAGUZI MKUU BAVICHA MWAKA 2019:John Pambalu aibuka kidedea".

Natanguliza shukrani za dhati!.
 
Nusrat Shabani Hanje Amechaguliwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Baraza La Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA Taifa).

IMG_20191211_080538.jpg
 
Lazima kutakuwa na connection mahali.....in one way or another....
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Back
Top Bottom