YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mume hah ha ha .jina la huyo mume wa Halima Mdee Anaitwa Nani? UwiiiiiSina hakika kama ana mtoto au hana, lakini mume anaye.
Au aliye karibu na Halima Mdee amuulize munewe Anaitwa Nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mume hah ha ha .jina la huyo mume wa Halima Mdee Anaitwa Nani? UwiiiiiSina hakika kama ana mtoto au hana, lakini mume anaye.
Wasukuma wameingia kuwanyoosha wachaga huko huko kwenye kisaccos chao.
Hongera ngosha Pambalu nenda katetee maslahi ya rais Magufuli
Ukijua itakusaidia nini?Anatoka mko gani?
The sad story ni kuwa hawa wanatafuta political mileage and bargaining power tu ili baadae wahamie chama dollar ...Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa.
Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa kupata kura 150.
Pambalu amefuatiwa na Diwani mwenzake wa kata ya Ari wilayani Babati mkoani Manyara, Bwana Mathayo Gekul aliyepata kura 74.
Katibu wa Chadema jimbo la Kawe jijini DSM, Bi Dorcas Francis amemaliza wa tatu kwa kupata kura 58.
Kwa Makamu Mwenyekiti Tanganyika, Mwanaharakati Bi Moza Ally kashinda kwa kura 136 dhidi ya 72 za Diwani wa Nyansurura huko Serengeti Mkoani Mara, Bwana Francis Garatwa.
Kwa upande wa Zanzibar, Makamu Mwenyekiti ni Omary Nassor.
Baadae ni uchaguzi wa Katibu Mkuu na Manaibu wake, Katibu Mwenezi na Mhasibu.
Hongereni sana Bavicha.
#IamTheFutureIwant#.NoHateNoFear.UchaguziChadema2019.
Yowe la nini sasa! Halima hawezi kuolewa?!Mume hah ha ha .jina la huyo mume wa Halima Mdee Anaitwa Nani? Uwiiiii
Au aliye karibu na Halima Mdee amuulize munewe Anaitwa Nani?
Ukitaka kujua na kabila lake ni msukumaAnatoka mko gani?
Ngoja aje mwenyewe ajieleze Kama aweza olewa na mwanaume au la?Yowe la nini sasa! Halima hawezi kuolewa?!
Yuko humu?!Ngoja aje mwenyewe ajieleze Kama aweza olewa na mwanaume au la?
Chadema kimepata Jabali.Ndivyo tunavyowezs kusema baada ya John Pambalu Diwani wa Kata ya Butimba Mwanza kuzoa kura na kuwa Mwenyekiti mpya Bavicha akirithi mikoba ya Pateick Ole Sosopi.
Pambalu Msukuma kutoka Kanda ya ziwa mkoani Mwanza ni mpiganaji aliyekulia vyema kwenye mikono ya Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama hicho Taifa.
View attachment 1287918
Sijui Hana hata msemaji wake?Yuko humu?!
Hahahaaaa....... Hahahaaaa........ Hata Patrobas Katambi alikuwa ni msukuma kutoka kanda ya ziwa bwashee Molemo!Chadema kimepata Jabali.Ndivyo tunavyowezs kusema baada ya John Pambalu Diwani wa Kata ya Butimba Mwanza kuzoa kura na kuwa Mwenyekiti mpya Bavicha akirithi mikoba ya Pateick Ole Sosopi.
Pambalu Msukuma kutoka Kanda ya ziwa mkoani Mwanza ni mpiganaji aliyekulia vyema kwenye mikono ya Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama hicho Taifa.
View attachment 1287918
Anatoka Mwanzawachana na mambo ya chadema, hayakuhusu
Chadema wana vituko sana!Baada ya muda mtakuja tena hapa Jamiiforums mkimzodoa na kumtukana baada ya kuunga ''juhudi'' au kuwa ''inactive''!
Ninajua kwa nini mmechagua wa kutoka kanda ya Ziwa!
Baada ya muda mtakuja tena hapa mkimzodoa na kumtukana baada ya kuunga ''juhudi'' au kuwa ''inactive''!
Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa.
Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa kupata kura 150.
Pambalu amefuatiwa na Diwani mwenzake wa kata ya Ari wilayani Babati mkoani Manyara, Bwana Mathayo Gekul aliyepata kura 74.
Katibu wa Chadema jimbo la Kawe jijini DSM, Bi Dorcas Francis amemaliza wa tatu kwa kupata kura 58.
Kwa Makamu Mwenyekiti Tanganyika, Mwanaharakati Bi Moza Ally kashinda kwa kura 136 dhidi ya 72 za Diwani wa Nyansurura huko Serengeti Mkoani Mara, Bwana Francis Garatwa.
Kwa upande wa Zanzibar, Makamu Mwenyekiti ni Omary Nassor.
Baadae ni uchaguzi wa Katibu Mkuu na Manaibu wake, Katibu Mwenezi na Mhasibu.
Hongereni sana Bavicha.
#IamTheFutureIwant#.NoHateNoFear.UchaguziChadema2019.
Si rahisi kuwa na msemaji kwenye jukwaa kama JF.Sijui Hana hata msemaji wake?
kwahiyo amechaguliwa kisa amekulia kwenye mikono ya Mbowe?Chadema kimepata Jabali.Ndivyo tunavyowezs kusema baada ya John Pambalu Diwani wa Kata ya Butimba Mwanza kuzoa kura na kuwa Mwenyekiti mpya Bavicha akirithi mikoba ya Pateick Ole Sosopi.
Pambalu Msukuma kutoka Kanda ya ziwa mkoani Mwanza ni mpiganaji aliyekulia vyema kwenye mikono ya Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama hicho Taifa.
View attachment 1287918