UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

kijana Alphonce Lusako kapigwa chini

Kijana harakati za udsm zimemponza sana
 
Chadema ya kweli ilikuwa ile ya Dr Slaa hii ya Mbowe imefeli pakubwa tu mosi aliwakaribisha Lowassa na Membe bila ya kuwafanyia vetting na sasa asubiri Nyalandu kutimka !
 
Hongera sana kwake, nimependa pia mtawanyo hoja madaraka uwakilishi kikanda, japo si muhimu kutegemea uwezo mhusika.
 
Vijana Bavicha mko.vizuri kuliko.li chadema lenyewe.Bavicha mna sura ya kitaifa.Mwenyekiti katoka Tanzania Bara na makamu katoka Zanzibar.

Lichama lenyewe linazidwa akili na vitoto vya Bavicha sababu chadema wagombea uenyekiti wanatoka Tanzania Bara na Makamu mwenyekiti Ni Tundu Lisu toka Tanzania Bara hopeless kabisa.

Lichama pumbafu linazidwa akili na vitoto vya Bavicha

Hongereni na pongezi kwenu viongozi wote wa Bavicha mlioshinda
Mkuu kwani huwezi kutoa hoja kwa kutumia lugha ya kiungwana badala ya kejeli na matusi?
 
Namtakia kila la heri kijana Pambalu. Nafahamu Ni mpambanaji, ninachoomba sana kwake na kwa wote watakaoaminiwa kupata nafasi za uongozi ndani ya Chadema wajiapize mioyoni mwao kutotumia nafasi zao kujinufaisha kwa njia za kisaliti kama akina Katambi.
Wafahamu kuwa kuinufaisha CCM ili itimize azma yake ya kuangamiza Chadema na upinzani kwa ujumla ni dhambi kubwa dhidi ya Watanzania na wapenda demokrasia duniani kote. Usaliti na wasaliti kwa majina yao huwa hawafi!!!!
Na maridhiano yakitokea wasaliti wote watapata aibu
 
Vijana Bavicha mko.vizuri kuliko.li chadema lenyewe.Bavicha mna sura ya kitaifa.Mwenyekiti katoka Tanzania Bara na makamu katoka Zanzibar.

Lichama lenyewe linazidwa akili na vitoto vya Bavicha sababu chadema wagombea uenyekiti wanatoka Tanzania Bara na Makamu mwenyekiti Ni Tundu Lisu toka Tanzania Bara hopeless kabisa.

Lichama pumbafu linazidwa akili na vitoto vya Bavicha

Hongereni na pongezi kwenu viongozi wote wa Bavicha mlioshinda
Hivi chato na iringa ni bara na visiwani..?

Tuache ubaguzi.
 
Mwanza kasoma pamba sekondary advance kasoma ihungo sec bukoba
Binafsi namfahamu tangu akiwa mtoto ni kijana mcha Mungu anayeipenda siasa tangu akiwa mtoto
Wanaotoka Mwanza ni wazuri sana kwa kuunga mkono juhudi za Ngosha mwenzao. Ngoja tuone huyu ataahidiwa cheo gani kati ya ukuu wa mkoa au wilaya. Yaani alipotangazwa kushinda tu, jamaa wa Lumumba wameshamwandalia cheo
 
mhasibu anapigiwa kura au ni anafanyiwa interview?
 
Tunakukumbusha tu kwamba U-CCM, U-CHADEMA, U-CUF, U-ACT ukiisha kunabaki mambo mawili! WATAWALA na WATAWALIWA- Chagua upande wako mapema! Wakati mgumu ni wakati ambao kijani unasema ni kaki!!
Hii ndio pale watu wanapokuwa wamevaa jezi za chama chao alafu wanawananga wenzao kama vile sio sehemu ya mafanikio ya nchi alafu tunapokuja kwenye maisha ya kawaida unakuta hatuulizwi kadi za vyama bali vitu vingine kabisa kulingana na vigezo na masharti vya maeneo husika (hapa ndipo watu huanza kupotea)
 
Mwanza kasoma pamba sekondary advance kasoma ihungo sec bukoba
Binafsi namfahamu tangu akiwa mtoto ni kijana mcha Mungu anayeipenda siasa tangu akiwa mtoto
Hivi kasoma Butimba day au Pamba?
 
Huyu ni kiongozi mwenye mvuto hasa , ni Jabali la kisiasa la uhakika !
 
Namfahamu huyo dogo kupitia Star TV, Ni mkakamavu, mjenga hoja n
Mzuri japo ana jazba za haraka na ni mrahisi kutoka kwenye njia akipandwa na jazba. Kitu ambacho sina shaka naye ni mapenzi yake mazito kwa cdm. Nadhani ni ngumu kuhongwa kwenda kuunga juhudi, maana sasa hivi hiyo ndio fashion.
Brother Tindo hawa watu siku hizi sio wa kuwapa dhamana kihivyo.Mie kamoyo kanadundadunda,Ngosha atakubali sehemu anayoitegemea kwa Kula itoe Mwenyekiti wa Bavicha? Huyu jamaa Ana mtihani mkubwa wa vishawishi
 
Back
Top Bottom