chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Hofu yake nahisi,anapoona,chadema imepoteza mwelekeo.Chadema haijawahi kuhusika na uzushi , hebu rekebisha hilo kwanza , halafu kama chadema ilikufa baada ya Dr Slaa kuondoka , hofu yako inatoka wapi ?
Wanamlia timing Mbowe hapo, hujashtuka tu mkuu! Naona akili zimeaanza kuwarudia taratibu taratibu.Vyeo:
KAIMU Mwenyekiti na KAIMU MAKAMU Mwenyekiti. Then Katibu Mkuu na NAIBU Katibu Mkuu
Na hii ni kwa mujibu wa Katiba ya Chama[emoji846]
Tupeni Hawa:
Kwani chama chenyewe kipo , si mlisema kimekufa ?Hiki chama kina vituko, Sasa nafasi ya kaimu toka lini ikafanyiwa uchaguzi?
UmesikikaTUPENI HAWA:
1. KAIMU MWENYEKITI-SUSAN KIWANGA
2. KAIMU MAKAMU MWENYEKITI-SIWAJUI WOTE WALIOOMBA
3. KATIBU MKUU-CATHERINE RUGE
4. NAIBU KATIBU MKUU-SIWAJUI WOTE WALIOOMBA
5. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR-SIMJUI VIZURI JAPO YUPO MMOJA
6. MWENEZI BAWACHA-HUSNA AMRI SAID (HILI SI NDIO JEMBE LILILOVURUGA CHATO? AU SIYO? KAMA NI YEYE NI KIFAA KWELI)
Ndio.Hujajibu swali bwashee.
Nafasi ya Kaimu Mwenyekiti inagombewa?
Mkuu kubali tu kuwa huna majibu ila nafasi ya kukaimu huwa mtu anakuwa appointed kwa muda flani hatutegemei mtu agombee kukaimu nafasi kwani huwa mtu anapokaimu inakua ni kusubiria mtu aje kuishika hiyo nafasi kwa kulingana na taratibu husika.swali la kijinga sana !
Ulitakiwa kujiuliza kwanza kwa nini ni nafasi mbili tu ambazo watu wanagombea kukaimu? Na nani ana mamlaka ya kujaza nafasi hizi. Kwa maneno mengine, uchaguzi wa nafasi hizi unafanyika katika ngazi ipi?Mkuu kubali tu kuwa huna majibu ila nafasi ya kukaimu huwa mtu anakuwa appointed kwa muda flani hatutegemei mtu agombee kukaimu nafasi kwani huwa mtu anapokaimu inakua ni kusubiria mtu aje kuishika hiyo nafasi kwa kulingana na taratibu husika
Mbowe asipokuwepo kwa muda mfupi ana haki ya kumkaimisha yeyote katika manaibu wake nafasi ya uenyekiti. Ila kama atatoka kwenye nafasi hiyo kabisa ( kujiuzuru, kufukuzwa kwenye chama n.k.) basi bila shaka patakuwa na utaratibu tofauti.Yaani kama Mbowe yuko Dubai kwa sasa Salumu Mwalimu ndio kaimu mwenyekiti wa Chadema haiitajiki uchaguzi katika hilo!
RAIS wetu Yuko wapi?Kwa sakata hili la kumpakazia kifo Rais wa Jamhuri ya Tanzania aaah!! kwa kweli sidhani kama kuna mtanazania hata mmoja atawasilikiza na kuwaamini tena, mmejiaribia sana tena sanaa..Nilikipenda sana Chadema lakini kwa sasa nakichukia mnooo.Mmekuwa sio Chama cha siasa bali wahaini sasa na watu wa kuchekelea na kufurahia matatizo anayopitia Rais wa Nchi yenu pendwa,lakini kwa uroho wenu wa Madaraka mpo tayari kuivuruga na kuwapa Wananchi taharuki za ajabu ajabu, uzushi wa ajabu ajabu..Hamna la maana lolote mnalojua zaidi ya mafumbo mafumbo tuu ya uzushi.Na hapa ndio naamini kweli wananchi waliwakataa kwenye sanduku la kura kihalali kabisaaaaaaaaaaaa, na wataendelea kuwakataa mpaka hapo mtakapojua kwamba kelele zenu na uzushi wenu mnaomzushia Rais unawalenga watu tofauti pia sio huyo Rais tuu hata kama mna chuki nae,..Mmebakia kuwa genge la wahuni wa mitandao tuu ,CHADEMA ilishakufa pale Dr Slaa walivyoondoka.. kilichobakia uhuni uhuni tuu mitandaoni.
Tatizo la chadema ndo Hilo, kupinga pinga kila kitu. Wanaulizwa swali. Badala ya kujibu wao wanapinga Hilo swali. Nyumbu hovyo kabisa.Hujajibu swali bwashee.
Nafasi ya Kaimu Mwenyekiti inagombewa?
Kwa Sasa kila nafasi hao wote Wana kaimu.?Atakua kamili baada ya uchaguzi kuisha
HAKUNA chama hapo hata wao hawaelewi wanafanya Nini ndo maana wanakuwa wakali wakiulizwa kuhusu huko kukaimu Maana hawana majibu.Mkuu kubali tu kuwa huna majibu ila nafasi ya kukaimu huwa mtu anakuwa appointed kwa muda flani hatutegemei mtu agombee kukaimu nafasi kwani huwa mtu anapokaimu inakua ni kusubiria mtu aje kuishika hiyo nafasi kwa kulingana na taratibu husika.
Naisubiri!najaribu kuleta hapa katiba ya chadema ujisomee mwenyewe utaelewa
Hahahaaaa........ Halima James Mdee anatisha.Vyeo:
KAIMU Mwenyekiti na KAIMU MAKAMU Mwenyekiti. Then Katibu Mkuu na NAIBU Katibu Mkuu
Na hii ni kwa mujibu wa Katiba ya Chama🙂
Unachosema ni kwamba Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti huwa wanateuliwa na kuthibitishwa na Mkutano Mkuu? If yes, hao “wateuliwa” wanaweza kuwa watu tofauti na hawa makaimu waliochaguliwa? Kama ni watu tofauti, hawa makaimu hatma yao huwa inakuwaje?Ninavyo elewa ni kuwa kuna nafasi ambazo Bawacha wana mamlaka ya kujaza wenyewe ( Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi n.k.) na zile ambazo zinajazwa kupitia Mkutano Mkuu wa Chadema ( Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti).
Huo mkutano mkuu wa Chadema wanaume wanahudhuria?Ninavyo elewa ni kuwa kuna nafasi ambazo Bawacha wana mamlaka ya kujaza wenyewe ( Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi n.k.) na zile ambazo zinajazwa kupitia Mkutano Mkuu wa Chadema ( Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti). Ingekuwa kuna Naibu Mwenyekiti mmoja, huyo angeweza kukaimishwa uenyekiti hadi pale wa kudumu atakapopatikana. Hii ni ngumu kwa mfumo ambao kuna wawili wenye status sawa maana akikaimishwa mmoja itaonekana yeye ni senior kwa mwingine. Aidha, kama naibu Mwenyekiti aliyekuwepo hana mpango na Uenyekiti wa Taifa inakuwa ngumu kumkaimisha nafasi hiyo halafu nafasi anayoipenda akakaimishwa mwingine.
Mpango huu wa Bawacha ni mzuri kwa sababu watapata viongozi ambao wanaridhaa ya wanawake wenzao. Na wanachama wenzao wataweza kuwapima kabla ya Mkutano Mkuu wa Chadema.
Amandla...
Wewe NI hewa kabisaaa..,Sasa kuuliza alipo ndio kumpakazia kifo?hicho kichwa kimejaa gesi takaKwa sakata hili la kumpakazia kifo Rais wa Jamhuri ya Tanzania aaah!! kwa kweli sidhani kama kuna mtanazania hata mmoja atawasilikiza na kuwaamini tena, mmejiaribia sana tena sanaa..Nilikipenda sana Chadema lakini kwa sasa nakichukia mnooo.Mmekuwa sio Chama cha siasa bali wahaini sasa na watu wa kuchekelea na kufurahia matatizo anayopitia Rais wa Nchi yenu pendwa,lakini kwa uroho wenu wa Madaraka mpo tayari kuivuruga na kuwapa Wananchi taharuki za ajabu ajabu, uzushi wa ajabu ajabu..Hamna la maana lolote mnalojua zaidi ya mafumbo mafumbo tuu ya uzushi.Na hapa ndio naamini kweli wananchi waliwakataa kwenye sanduku la kura kihalali kabisaaaaaaaaaaaa, na wataendelea kuwakataa mpaka hapo mtakapojua kwamba kelele zenu na uzushi wenu mnaomzushia Rais unawalenga watu tofauti pia sio huyo Rais tuu hata kama mna chuki nae,..Mmebakia kuwa genge la wahuni wa mitandao tuu ,CHADEMA ilishakufa pale Dr Slaa walivyoondoka.. kilichobakia uhuni uhuni tuu mitandaoni.
Anapokuwa hawezi kufanya shughuli zake za kawaida kwa muda huo. Mifano ni lukuki kama likizo, kuumwa, masomoni n.k. Hiyo ni ile ya kuwa baadae anarejea. Na pia kuna hiyo ya kutoka/kutolewa kabla ya kupatikana mshika nafasi, mfano kifo, kufungwa jela, kufukuzwa n.k.sasa huyo mtu huwa wapi wakati nafasi yake inakaimiwa ?