Kwa sakata hili la kumpakazia kifo Rais wa Jamhuri ya Tanzania aaah!! kwa kweli sidhani kama kuna mtanazania hata mmoja atawasilikiza na kuwaamini tena, mmejiaribia sana tena sanaa..Nilikipenda sana Chadema lakini kwa sasa nakichukia mnooo.Mmekuwa sio Chama cha siasa bali wahaini sasa na watu wa kuchekelea na kufurahia matatizo anayopitia Rais wa Nchi yenu pendwa,lakini kwa uroho wenu wa Madaraka mpo tayari kuivuruga na kuwapa Wananchi taharuki za ajabu ajabu, uzushi wa ajabu ajabu..Hamna la maana lolote mnalojua zaidi ya mafumbo mafumbo tuu ya uzushi.Na hapa ndio naamini kweli wananchi waliwakataa kwenye sanduku la kura kihalali kabisaaaaaaaaaaaa, na wataendelea kuwakataa mpaka hapo mtakapojua kwamba kelele zenu na uzushi wenu mnaomzushia Rais unawalenga watu tofauti pia sio huyo Rais tuu hata kama mna chuki nae,..Mmebakia kuwa genge la wahuni wa mitandao tuu ,CHADEMA ilishakufa pale Dr Slaa walivyoondoka.. kilichobakia uhuni uhuni tuu mitandaoni.