denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Unavyompenda.Husna Saidi wa Chato vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyompenda.Husna Saidi wa Chato vipi?
Anapambania kuteuliwa kuwa mweneze wao taifaHusna Saidi wa Chato vipi?
Mbowe ana hulka fulani ya kuendesha chama kijasiriamali jasiriamali, yaani kifursa fursa.Mheshimiwa Susan Kiwanga na wenzake Monica Nsaro na Aisha Luja wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Kwa msingi huo, Sharifa ambaye ni kama makamu mwnyekiti wa Bawacha-Zanzibar, ndiye amechukua nafasi ya mheshimiwa Halima Mdee ya mwenyekiti wa Bawacha taifa kwa sasa.
View attachment 1789582
Pia, kamati tendaji ya BAWACHA, itajaza nafasi za katibu mkuu, naibu katibu mkuu wa Bara na Zanzibar, Katibu mwenezi taifa na makamu mwenyekiti wa bawacha Bara na zilizobakia kwa mujibu katiba,kanuni na sheria zinazoongoza Bawacha kwa ujumla.
View attachment 1789576
Fuatilia habari zaidi>>> kutoka Mwanza ni Matokeo ya Uchaguzi wa Bawacha taifa Mei-2021
Wamempa Mzanzibar ili apambane na Samia Mzanzibar.Aki li ndogo inakuja kutawala akili kubwa!
kweli BAWACHA walipania kuvunja genge la MBOWE na MNYIKA.
Tanzania bara ndio yenye wapiga kura wengi ndani ya BAWACHA ajabu wamempa mzanzibari SHARIFFA ambaye kule Zanzibar CHADEMA ni kama haipo wakawapiga chini wagombea wazito wa bara!
Kwani huwajui waliomchagua Mashinji?Huu ujinga wa wapi kwenye wapiga kura wengi na sio uwezo, ndio cdm waliingizwa cha kike kwa kumchagua katibu Mkuu domo zege ambaye amerudi ccm. Watu walidanganywa kuwa yule katibu Mkuu mzigo kuwa ni msukuma hivyo atachukua kura za kanda ya ziwa. Walaaniwe waliomchagua Mashinji kuwa katibu Mkuu wa cdm.
Weka hapa tuone..Nawashauri mrudi kwenye KATIBA ya Chadema.
..Katiba yao haielekezi ufanyike uchaguzi mpya kutokana na hiki kilichotokea.
..Mtatoana macho bure kwa jambo ambalo haliko kikatiba.
Sasa huyo mzanzibar anaenda kupambania kitu gani toka kwa mama?Wamempa Mzanzibar ili apambane na Samia Mzanzibar.
Ni kama walivyowahi kuwapa wasukuma Pambalu na Mashinji ili wapambane na msukuma Magu.
Hakuna rocket science hapo wala kura zilizotumika.
Wajane hao wahurumie , bado msiba upo kwenye ubongo, wanajiliza liza tu humu ,kupunguza mawazo...mimi nilivyoelewa ni kuwa KATIBA yao ndiyo imewaelekeza hatua za kuchukua baada ya mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake kuondolewa.
Kwa akili ya CHADEMA ( Mbowe ) ilivyo usishangae huyo ndio akagombea Urais 2025.Sasa huyo mzanzibar anaenda kupambania kitu gani toka kwa mama?
Hawana bei kwenye kupigania nchi yao siyo kupigania CHADEMA.
Anyway, kama hujaliona hilo: Wamempa Mzanzibar ili apambane na Samia Mzanzibar.
Ni kama walivyowahi kuwapa wasukuma Pambalu na Mashinji ili wapambane na msukuma Magu.
Hakuna rocket science hapo wala kura zilizotumika.
Rais wa JMT na Bawacha wapi na wapi bwashee?!Hawana bei kwenye kupigania nchi yao siyo kupigania CHADEMA.
Anyway, kama hujaliona hilo: Wamempa Mzanzibar ili apambane na Samia Mzanzibar.
Ni kama walivyowahi kuwapa wasukuma Pambalu na Mashinji ili wapambane na msukuma Magu.
Hakuna rocket science hapo wala kura zilizotumika.
Kwanini sasa hivi BAWACHA ndio wanajibizana na Ndugai kuhusu kina Halima Mdee hasa baada ya Ndugai kujaribu kuonesha kuwa CHADEMA inawaonea wanawake ?Rais wa JMT na Bawacha wapi na wapi bwashee?!
Ufanano wa Kabila au utaifa una uhusiano gani na uongozi wa Samia vs Mwenyekiti BAWACHA?! Kwani umeambiwa wanataka kushindana kutambika!Hawana bei kwenye kupigania nchi yao siyo kupigania CHADEMA.
Anyway, kama hujaliona hilo: Wamempa Mzanzibar ili apambane na Samia Mzanzibar.
Ni kama walivyowahi kuwapa wasukuma Pambalu na Mashinji ili wapambane na msukuma Magu.
Hakuna rocket science hapo wala kura zilizotumika.
Subiri siku Mbowe akikufu disha mfanano. Maana huna fikra huru.Ufanano wa Kabila au utaifa una uhusiano gani na uongozi wa Samia vs Mwenyekiti BAWACHA?! Kwani umeambiwa wanataka kushindana kutambika!
Watu wanasimamia SHERIA wewe unaita kujibizana!Kwanini sasa hivi BAWACHA ndio wanajibizana na Ndugai kuhusu kina Halima Mdee hasa baada ya Ndugai kujaribu kuonesha kuwa CHADEMA inawaonea wanawake ?
Sasa BAWACHA na Speaker wapi na wapi ?
Hivi unazijua siasa za nchi hii kweli ?