LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Wana jibizana na mwenzao.Kwanini sasa hivi BAWACHA ndio wanajibizana na Ndugai kuhusu kina Halima Mdee hasa baada ya Ndugai kujaribu kuonesha kuwa CHADEMA inawaonea wanawake ?
Sasa BAWACHA na Speaker wapi na wapi ?
Hivi unazijua siasa za nchi hii kweli ?
Sie wanaume hatuja zewea mipasho.