Wana jibizana na mwenzao.Kwanini sasa hivi BAWACHA ndio wanajibizana na Ndugai kuhusu kina Halima Mdee hasa baada ya Ndugai kujaribu kuonesha kuwa CHADEMA inawaonea wanawake ?
Sasa BAWACHA na Speaker wapi na wapi ?
Hivi unazijua siasa za nchi hii kweli ?
Mumeo Mbowe ameingiaje hapa?Subiri siku Mbowe akikufu disha mfanano. Maana huna fikra huru.
Una macho lakini huoni.
Naunga mkono hojaKipekee niwapongeze sana Bawacha kwa maamuzi magumu ya kumleta kiongozi kutoka Zanzibar.
Tulizoea kuona mwenyekiti wa Bawacha akitokea mkoa mmoja tu wa Tanganyika.
Uzuri wa wazanzibari siyo rahisi kununuliwa.
Kazi Iendelee!
Muulize Joyce MukyaMume wangu Mbowe ameingiaje hapa?
Kwahiyo huko CHADEMA, BAWACHA ndio wing maalum kwaajili ya kusimamia sheria?Watu wanasimamia SHERIA wewe unaita kujibizana!
Sina uhakika Kama ulipata elimu sahihi na kwa wakati muafaka ambayo ingekuongoza kujifunza kumtafakari kabla ya kutenda!CCM kule wengi mno ni majority huwezi linganisha na CHADEMA ZANZIBAR!!!
Ubaguzi huuAki li ndogo inakuja kutawala akili kubwa!
kweli BAWACHA walipania kuvunja genge la MBOWE na MNYIKA.
Tanzania bara ndio yenye wapiga kura wengi ndani ya BAWACHA ajabu wamempa mzanzibari SHARIFFA ambaye kule Zanzibar CHADEMA ni kama haipo wakawapiga chini wagombea wazito wa bara!
Mpango wenu kudondosha taifa umeshindikanaAki li ndogo inakuja kutawala akili kubwa!
kweli BAWACHA walipania kuvunja genge la MBOWE na MNYIKA.
Tanzania bara ndio yenye wapiga kura wengi ndani ya BAWACHA ajabu wamempa mzanzibari SHARIFFA ambaye kule Zanzibar CHADEMA ni kama haipo wakawapiga chini wagombea wazito wa bara!
Kivipi ?Ubaguzi huu
Kwani hana sifa ya kugombea urais tokana na katiba ya JMT? Kama magufuli alikuwa rais, basi hata kibajaji la saba c anaweza kuwa raisKwa akili ya CHADEMA ( Mbowe ) ilivyo usishangae huyo ndio akagombea Urais 2025.
Wapi nimesema hana sifa?Kwani hana sifa ya kugombea urais tokana na katiba ya JMT? Kama magufuli alikuwa rais, basi hata kibajaji la saba c anaweza kuwa rais
Kwa hiyo ulitaka kwa vile Zanzibar ccm ni wengi basi Mwenyekiti wa Bawacha atoke ccm?CCM kule wengi mno ni majority huwezi linganisha na CHADEMA ZANZIBAR!!!
Kwani hana sifa ya kugombea urais tokana na katiba ya JMT? Kama magufuli alikuwa rais, basi hata kibajaji la saba c anaweza kuwa raisKwa akili ya CHADEMA ( Mbowe ) ilivyo usishangae huyo ndio akagombea Urais 2025.
Inaweza kuwa uliandikiwa post ukaja kuipachika tu hukuWapi nimesema hana sifa?
Tena Zanzibar yote wapigakura wote ni Laki sitaWewe mjinga kweli, mbona Rais Samia Suluhu anatokea Zanzibar ambako kuna wapiga kura wachache kuliko mkoa wa Tanga?
Hivi huwa unafikiri kabla ya kuandika?
Mla Vimolo hajawahi kuwa na akili timamuKwani hana sifa ya kugombea urais tokana na katiba ya JMT? Kama magufuli alikuwa rais, basi hata kibajaji la saba c anaweza kuwa rais
Inaweza kuwa uliandikiwa post ukaja kuipachika tu huku
Wanajipendekeza kwa mtu flani waonekane wanamapenzi mema na Znz..unga dotsAki li ndogo inakuja kutawala akili kubwa!
kweli BAWACHA walipania kuvunja genge la MBOWE na MNYIKA.
Tanzania bara ndio yenye wapiga kura wengi ndani ya BAWACHA ajabu wamempa mzanzibari SHARIFFA ambaye kule Zanzibar CHADEMA ni kama haipo wakawapiga chini wagombea wazito wa bara!
Huyo ana uwezo gani mbona CHADEMA Zanzibar iko hoi hajajenga CHadema Zanzibar.Mnaweka mtu toka eneo ambako hakuna kitu!!! Uwezo wake kwa Zanzibar kuna nini cha maana kafanya kule?Sina uhakika Kama ulipata elimu sahihi na kwa wakati muafaka ambayo ingekuongoza kujifunza kumtafakari kabla ya kutenda!
Uongozi hauangalii idadi ya wafuasi Bali uwezo wa mgombea katika kukubalika kwa wengi!
Maoni yako yanasadifu uwezo wako mdogo wa kupima na kuona! Itoshe tu kukuambia kuwa sifa za kiuongozi Bora hazitokani na idadi ya wafuasi kutoka eneo atokalo Bali uwezo wake wa kuiongoza! Jifunze na acha kuhemkwa na kudemka!
Unayo CV yake utuwekee hapa? Kama huna ushahidi nyamaza! By the way, wewe ya CDM yanakukandamizaje?Huyo ana uwezo gani mbona CHADEMA Zanzibar iko hoi hajajenga CHadema Zanzibar.Mnaweka mtu toka eneo ambako hakuna kitu!!! Uwezo wake kwa Zanzibar kuna nini cha maana kafanya kule?
Nyieendelezeni zile pambio za enzi ya awamu yenu pendwa mambo makubwa yaliyowazidi uwezo waachieni chama mbadala,namsitupugie kelele humu.Kwa akili ya CHADEMA ( Mbowe ) ilivyo usishangae huyo ndio akagombea Urais 2025.