Uchaguzi BAWACHA: Sharifa Suleiman aibuka kidedea Uenyekiti Taifa

Huyo ana uwezo gani mbona CHADEMA Zanzibar iko hoi hajajenga CHadema Zanzibar.Mnaweka mtu toka eneo ambako hakuna kitu!!! Uwezo wake kwa Zanzibar kuna nini cha maana kafanya kule?
Kila kitu ni mipango,mingine imekuzidi uwezo kuweza kuielewa kikamilifu,hivyo bora ujifunze kutoka kwa wenyewe kwanza au utulie uusome mchezo kwanza.
 
Hivi Mbowe bado hakubali kukuletea matunzo ya mtoto ulie zaa naye hadi sasa?
 
Naona unaifuatilia cdm kwa makini

Ova
 
Hujui kitu we kapuku
 
Pole kwa stress za maisha.Inaonyesha hauko vizuri na unachokiongea hata hukijui
 
Nimemjibu YEHODAYA sababu anaona watu wa zbar hawawezi kutawala au kupata uongozi huku bara
Sio kweli mimi naongelea Track record .Zanzibar alikuwa Makamu MWenyekiti wa CHadema hana lolote la maana alilofanya kule CHADEMA iko hoi bin taabani kule Zanzibar halafu eti chadema wanampa uenyekiti wa baraza la wanawake Tanzania nzima !! Kule hana cha maana alichofanya .CCM huwa tunawachukua wazanzibar wenye track rekodi ya kufanya makubwa Zanzibar na kukijenga chama na kukiwezesha kupata ushindi wa kishindo Zanzibar

Huyo Mama kapewa uenyekiti BAWACHA kwa rekodi ipi aliyonayo aliyofanya kule Zanzibar akiwa na umakamu mwenyekiti Zanzibar ? Hana lolote la maana alilofanya kule!! Anakuja tu kupewa uenyekiti kwa kazi hewa aliyofanya Zanzibar!!! Hilo ni zigo kwa BAWACHA wa Tanzania bara kaletwa tu kama mkol;oni kuja kutawala BAWACHA bara lakini kule kwake hamna kitu!!! BAWACHA iko bara zaidi Zanzibar hamna kitu
 
Mjomba mbona unateseka sana, hili jambo unatakiwa ujiulize kwanini huyo mzanzibari kapewa bila kupigiwa kura? au kama amepigiwa nipe idadi aliyopata, inaonekana kuna kipengele kwenye katiba ya Chadema inayotaka huyo mtu ateuliwe, sasa suala la katoka wapi hilo ni nonsense provided iwe ndani ya JMT.

Habari ya kusema amepewa ili ashindane na Samia ni ya ajabu, kwa Magufuli na wasukuma sawa, ila Samia huyu anashindana vipi na Chadema, by the way Zanzibar sio Bara, hao wabara watakaompa kura Samia sababu ni Mzanzibar sijui watatoka wapi, na kura za Zanzibar ni nyingi kiasi gani mpaka ziamue Rais wa Bara? hoja yako hapa ni mfu, unalalamika mno bila hoja ya msingi.
 
Una mapepo wewe! Huyu atakua kiungo muhimu sana kati ya Bara na Zanzibar
 
Hebu tulia kipele, please
 
Una mapepo wewe! Huyu atakua kiungo muhimu sana kati ya Bara na Zanzibar
Zanzibar wanawake wenyewe wa BAWACHA mbona kiduchu tu ni kama zero tu!!!

Namaba yoyote ukijumlisha na zero utaambulia nini? Tanzania bara kuna namba kubwa BAWACHA zanzibar kuna zero kuna nini cha kuunga hapo?
 
Huna unachojua. Subiri Mbowe siku akikwambia.
 
Mwenyekiti wenu ambaye ndo raisi anatokea wapi?

Na Yule mwenezi wenu aliyechukua nafasi ya pole pole anatoka wapi vile?

Wapiga kura wengi wako wapi
 
Zabzibar wanawake wenyewe wa BAWACHA mbona kduchu tu ni kama zero tu!!!

Namaba yoyote ukijumlisha na zero utaambulia nini? Tanzania bara kuna namba kubwa BAWACHA zanzibar kuna zero kuna nini cha kuunga hapo?
Sawa, sisi hatuchagui mtu kutokana na uzanzibara au Utangayika wake! Hizo nafasi zipo na hio ya BAWACHA ipo kwahio tuliza kipele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…