Wapinzani nao hawajielewi
Ova
Nyerere ndiye alivifungia vyama pinzani na kuondosha Bunge kumwajibisha raisi , akaweka katiba hii inayomfanya Raisi kuwa mfalmeSio sahihi kumuangushia mzigo huu Mwalimu kwasababu yeye alifanya yake kwa wakat wake na katiba ya hovyo iliwekwa kipind kile ambayo ni chama kimoja na sio ya vyama vingi, na baada yake waliokua na dhamana walipaswa kulifanyia kaz na sio mstaafu aje alifanyie kaz!!
Lkn waliopaswa kuweka mamb saw na waliofuata haiwezekan kuendeleza kosa wakat mnaweza rekebisha, pia katiba iliyopo iliandikwa kwaajil ya chama kimoja na sio vyama vingi!!Nyerere ndiye alivifungia vyama pinzani na kuondosha Bunge kumwajibisha raisi , akaweka katiba hii inayomfanya Raisi kuwa mfalme
Wapinzani nao hawajielewi
Ova
ACT wanamlalamikia Nani?
Kwa nini alipiga marufuku vyama vingi wakati wa utawala wake?Sio sahihi kumuangushia mzigo huu Mwalimu kwasababu yeye alifanya yake kwa wakat wake na katiba ya hovyo iliwekwa kipind kile ambayo ni chama kimoja na sio ya vyama vingi, na baada yake waliokua na dhamana walipaswa kulifanyia kaz na sio mstaafu aje alifanyie kaz!!
Pumbavu nyinyi ma wakala wa shetwainiHaieleweki ACT wanataka nini. Kwa hakika hawa wanatuchelewesha sana:
View attachment 2449976
Cc: Abdul Nondo ACT Wazalendo
Mzee kila jambo lina wakati wake simteteia kwa hilo bali waliofuata walipaswa kuyaondoa mapungufu yake but ndio kwanza wameyaendeleza !Kwa nini alipiga marufuku vyama vingi wakati wa utawala wake?
Lkn waliopaswa kuweka mamb saw na waliofuata haiwezekan kuendeleza kosa wakat mnaweza rekebisha, pia katiba iliyopo iliandikwa kwaajil ya chama kimoja na sio vyama vingi!!
Vyombo huru vinakuja je?
Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi:
View attachment 2449796
Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao?
“Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.”
Asema Einstein.
NB: Tume Huru bila Katiba Mpya ni kuendekeza ubatili ule ule.
Vitakuja wakati ambao na wao CCM wakianza kufa, Kuibiwa , kunajisiwa na kufanyiwa vitendo vyote vichafu ambavyo wao huwafanyia wenzao
Lkn waliopaswa kuweka mamb saw na waliofuata haiwezekan kuendeleza kosa wakat mnaweza rekebisha, pia katiba iliyopo iliandikwa kwaajil ya chama kimoja na sio vyama vingi!!
Hakuna katiba mpya ama tume huru bila machafuko. Kenya walituonyesha ukweli huu kwa vitendo. Kinyume na hapo kutakuwa na vikao vya maridhiano, lakini hakutakuwa na uhuru wa kufanya siasa kwa wapinzani, na ukitokea uchaguzi uporaji utaendelea kuwa huu huu. CCM wanajua fika kwenye uchaguzi wa halali hawashindi. Ni sisi wenyewe kuamua kusuka ama kunyoa
Na huwezi kuwapata hao watu ndani ya bunge bila katibaIli uipate hiyo katiba unahitaji watu ndani ya bunge
Waliofuata baada ya msingi wake ndio hawa hawataki mabadiliko ya hiyo katiba. Alipokuwa madarakani aliwahi kukiri katiba hii sio ya watu wasio waadilifu. Na kabla ya kuachia uenyekiti wa CCM aliona jinsi warithi wake wasivyo na maadalili. Kibaya zaidi yeye mwenyewe akageuka kuwe muasisi wa wizi wa kura nchi hii ili CCM iendelee kubaki madarakani. Rejea uchaguzi wa 1995 huko Zanzibar.
Inategemea una tafsiri gani kuhusu machafuko.
Maandamano na mikutano ya siasa siyo machafuko. Hayo ni kwa mujibu wa katiba yatatuvusha salama.
Angalizo: wasipewe nafasi kumbatiza mtu ugaidi.
Tutaendelea kumbembesha Nyerere gunia la misumari ya kisiasa hadi lini? Je, hoja yako ni kwamba kizazi chetu hiki akili zimedumaa au vipiHaya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere