Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?


Umetumia neno machafuko:

"Kama watu wanaogopa kuleta machafuko ambayo ni njia sahihi na yenye matokeo ya haraka."

Ukakazia:

"Ila machafuko ndio njia yenye matokeo ya haraka."

Maneno yangu kwako ni kuwa sijui unatumia neno hilo kwa maana ipi? Kwa maana kususia jambo si machafuko.

Tudaini mabadiliko kwa amani. Kupitia mikutano, maandamano na migomo hayupo mwenye kutushtaki popote. Hayo ni kwa mujibu wa katiba na kwenye hayo tunawamudu.

Post #31 haya ni machafuko. Machafuko ni ugaidi hauna nafasi popote duniani.

 
Naelewa hata kwa mrema alikua katoboa, but nadhan wabaya zaid ni hawa aliowaacha!!
 
Wataweka vipi sawa na Baba ndio kawakusanya walafi na kawawekea njia ya kunywa na si kulamba asali πŸ˜›
πŸ˜›
Lkn mkuu cdhan kama Mwalimu alikua anasapot mafisad, bali wabaya ni hawa waliobaki
 
Imagine eti Zitto na kikosi kazi walishauri serikali kuwa katiba mpya isubiri mpaka uchaguzi wa 2025 upite πŸ˜ƒ
 
Wengi hawafahamu kutopiga kura ni furaha kubwa kwa sehemu kubwa ya tabaka tawala.
CCM wanaowapinga wasipopiga kura huhesabu ushindi wa kishindo.

Tunahitaji Movement ya kudai katiba mpya. Hii haiwezi kuja Kaa mvua. Hiyo inahutaji uongozi, mkakati na agenda moja ya wazi - Katiba mpya.
 
Ina maana katika katiba ibara inayoonekana kukosa sifa kwa wakati huu ni ile inayohusu masuala ya uchaguzi tu?
 
Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Kwahiyo tumsubiri mpaka arudi atakuja kutubadilishia huu mfumo ??!! Kazi Kweli kweli !! Lakini wanasemaga waswahili sijui kama ni kweli au uongo ! Eti kila lenye mwanzo na mwisho wake upo ! Je ni kweli au uongo ?? πŸ˜…πŸ˜‚
 
Coming to the rescue of the saint!!...kesho utamsifu nyerere ku-engeneer mabadiliko toka chama kimoja kwenda vingi 1992,almuradi atukuzwe
 
Ina maana katika katiba ibara inayoonekana kukosa sifa kwa wakati huu ni ile inayohusu masuala ya uchaguzi tu?
Wanasiasa na vibaraka wao wanapambania tume huru ya uchaguzi ili wapate vipande vikubwa vya keki ya nchi,kwao Katiba mpya ni tume huru ya uchaguzi hawalengi kingine
 
Coming to the rescue of the saint!!...kesho utamsifu nyerere ku-engeneer mabadiliko toka chama kimoja kwenda vingi 1992,almuradi atukuzwe
There's nothing, absolutely nothing bout praising Mwalimu here but nawalaum zaid wale wanaendeleza ubaya.
 
There's nothing, absolutely nothing bout praising Mwalimu here but nawalaum zaid wale wanaendeleza ubaya.
Si ubaya kwa upande wangu,lazima pawe na uhakika wa Dola kushika hatamu,mustakabali wa nchi huwezi uweka uning'inie tu,yaani watu wapigie chama Kura na kuamua nani awe rais kisa hicho chama kinafanya kampeni kwa helicopter!?..watz wengi wajinga,hawana uelewa wa mambo ya nchi so Dola lazima isimamie hatima
 
Lkn mkuu cdhan kama Mwalimu alikua anasapot mafisad, bali wabaya ni hawa waliobaki
Alikuwa akiwasapoti kwani waliponyonya asali akawagundua alikuwa akiwabadilisha mawizara wakanyonye kwa staili nyengine, mfano yule Mgonja , Mtei, nk Hakuna aliyefikishwa mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…