Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

CCM watagawana kura za vijijini na CUF, na Chadema itaibuka na ushindi wa kati ya asilimia 50 na 55... you heard it here first.

MMKJJ, Unless you have people down here with real survey. Usitegemee taarifa za magazeti ni too sensetional!.
 
Kuna evidence?

Huu ni ushabiki umejuaje? unadhani wavijijini ni mabwege?

Acha ushabiki this is a stupid and crazy analysis, nani kakwambia si wapiga kura hao?
by the way hivi wale waandishi wa RA wapo wapi? Maana kuna watu uchangiaji wao au uandishi wao ni waupotoshaji au wakuangalia upande moja, sasa mtu kama huyo si aseme tu niko ccm au niko upande wa Pili.
eg mimi si mshabiki wa chadema lakini ningependa washinde, ili kuwaeleza ccm kwamba sasa imechosha, kwamba wametuibia kiasi cha kutosha. Lakini ndugu yangu Pasco uandishi wake umekuwa kama ule wa Balali? kujifanya hana upande wowote ili kupotosha watu wakati , anaegemea upande moja.
 
Pasco,
Mkuu wangu wanaopiga kura ni wananchi wa Busanda, sehemnu isiyokuwa na Umeme, hiyo TV itaweza vipi kufikisha ujumbe kwa wapiga kura?.. ama una maana wengi watajitokeza ili wapate kuonekana ktk TV kama wacheza sinema.

Kitu cha pili mkuu wangu nimezunguka sana Tanzania kipindi nilichokwenda, nakuhakikishia kwamba ikiwa mjini ni pamoja na mji mkuu wa jmbo basi elewa kwamba vijijini hakuna watu..Kila sehemu utakayokwenda watu wengi wamehamia mijini..Vijijini hakuna kazi mkuu wangu wajumba mengi ni magofu tu..Viwanja na mashamba kibao tena bwelela.

Kumbuka tu kwamba wananchi kwa asilimia 80 wanaitwa wakulima lakini hakuna wakulima kwa silimia hiyo..(sijui kama umenielewa hapo)... Sasa hivi kilimo ni kipato cha pembeni watu wengi wanafanya kilimo as part time thing kuweka veggie mezani lakini sii vijiji vile tulivyokuwa tukivifahamu miaka ya 70 na 80.

Hivyo hata msemo wa kusema population kubwa ya Tanzani ipo vijijini inabidi tufikirie upya. Nina hakika sii kweli na wakati ule vijijini ilikuwa ni pamoja na sehemu ambazo leo hii inaitwa mjini..
Nakupa guarantee kuwa leo hii kila mji mkuu wa Mkoa una watu wengi almost 1/3 ya population ya mkoa mzima..na 2/3 ikiwa utaongezea miji mikuu ya wilaya..
 
Kuna evidence?. Yes nilisema hapo mwanzo nimemsalimia Kamanda Polisi. Imethibitika kuna kikosi maalum cha uzomeaji. Faulo nyingine nyingi tuu polisi wameziona na kuziachia ili wasije onekana too strict. Wako wanasiasa wamewa incite washabiki wao wapige watu manati. Police spared them not to make a scene out of this

Huu ni ushabiki umejuaje? unadhani wavijijini ni mabwege?. Sorry to say this loud a clear, Asilimia kubwa ya Watanzania ni mabwege nikiwemo mimi au labda na wewe ndio maana harakati zetu za kisiasa ni za kibwege *****. Hivi unategemea nini kwenye utitiri wa vyama vikishindana na chama dola huku vikisimamisha utitiri wa wagombea, hii ndio demokrasia lakini what for, demokrasia ya kibwege *****. Huko vijijini ndio usiseme, angalau vijijini kwa makibila walioenda shule, the rest ni CCM tuu because they don't know the difference and it doesent matter much to them.

Acha ushabiki this is a stupid and crazy analysis, nani kakwambia si wapiga kura hao?
Ushabiki nimshabikie nani? Hizi lugha za stupid na crazy za nini?. Naomba tutofautiane kwa hoja bila ya kutukanana.
Pata data za idadi ya wakazi wa Busanda ulinganishe na waliojiandikisha utapata jibu sahihi kuna umati wa kushabikia siasa na upo umati wa kushangalia helicopta. Majibu ni ndani ya haya masaa 48 muhimu lwa Busanda.
 
Stupid and crazy si matusi bwana kwa context niliyo itumia hapo, kama ningesema Pasco is stupid and crazy....ningekuwa nimepotoka na ningekuomba msamaha hapa nimeona hoja zako ziko hiyo ila siwewe mkuu...umenisoma? Watanzania si wajinga unavyofikiria wewe wa helicopta na wapiga kura....

Peace
 
Pasco,
Mkuu wangu wanaopiga kura ni wananchi wa Busanda, sehemnu isiyokuwa na Umeme, hiyo TV itaweza vipi kufikisha ujumbe kwa wapiga kura?.. ama una maana wengi watajitokeza ili wapate kuonekana ktk TV kama wacheza sinema.

Kitu cha pili mkuu wangu nimezunguka sana Tanzania kipindi nilichokwenda, nakuhakikishia kwamba ikiwa mjini ni pamoja na mji mkuu wa jmbo basi elewa kwamba vijijini hakuna watu..Kila sehemu utakayokwenda watu wengi wamehamia mijini..Vijijini hakuna kazi mkuu wangu wajumba mengi ni magofu tu..Viwanja na mashamba kibao tena bwelela.

Kumbuka tu kwamba wananchi kwa asilimia 80 wanaitwa wakulima lakini hakuna wakulima kwa silimia hiyo..(sijui kama umenielewa hapo)... Sasa hivi kilimo ni kipato cha pembeni watu wengi wanafanya kilimo as part time thing kuweka veggie mezani lakini sii vijiji vile tulivyokuwa tukivifahamu miaka ya 70 na 80.

Hivyo hata msemo wa kusema population kubwa ya Tanzani ipo vijijini inabidi tufikirie upya. Nina hakika sii kweli na wakati ule vijijini ilikuwa ni pamoja na sehemu ambazo leo hii inaitwa mjini..
Nakupa guarantee kuwa leo hii kila mji mkuu wa Mkoa una watu wengi almost 1/3 ya population ya mkoa mzima..na 2/3 ikiwa utaongezea miji mikuu ya wilaya..

Mkuu hicho kibwagizo cha CCM imejikita vijijini kuliko na wapiga kura, kina wekwa juu juu kutaka kuhalarisha wizi wao, kwamba wakisha fanya huo wizi wamalizie na kibwagizo cha kura tumezipata vijijini!

Lakini this time tunawapa pole yao, kwani movement ya kutoka kijijini kwenda hiyo miji midogo ni kubwa mno siku hizi, na kimsingi karibia taarifa zinazopatikana mijini vijijini wanazipata vyema, ndo maana zomea zomea na mipasho ya live imeshuhudiwa huko Busanda!
 
by the way hivi wale waandishi wa RA wapo wapi? Maana kuna watu uchangiaji wao au uandishi wao ni waupotoshaji au wakuangalia upande moja, sasa mtu kama huyo si aseme tu niko ccm au niko upande wa Pili.
eg mimi si mshabiki wa chadema lakini ningependa washinde, ili kuwaeleza ccm kwamba sasa imechosha, kwamba wametuibia kiasi cha kutosha. Lakini ndugu yangu Pasco uandishi wake umekuwa kama ule wa Balali? kujifanya hana upande wowote ili kupotosha watu wakati , anaegemea upande moja.
Najihisi kama unanitusi, kitu kimoja I'm happy about is my clear concious on impartiality. Ukweli siku zote unauma, kama ulisoma 'An Enemy of The People' utanielewa. I'm realist. Niko tayari kutofautiana na wote katika hoja ambazo naamini ukweli unapindishwa.
Nilisema Mgonja, Mramba na Yona hawana kesi nikaonekana kichaa. Nikasema Liyumba na Kweka wanaonewa na haki zao kukiukwa kinyume cha sheria nikaonekana fisadi. Leo niko Busanda kuwaletea ninachokiona eti ndio nimekuwa CCM.
Mimi ni wale niliosema na ninaendelea kusema CCM imeoza left right and centre lakini kuna viongozi safi Nyerere type miongoni mwa ouzo huo.
Nimesema mara kibao, watu wanaichagua CCM sio kwasababu wanaipenda, bali kwa sababu wapinzani hawajaonyesha wanaweza, dalili za wapinzani kuweza zinaonekana ila sio 2010, labda mbele ya safari. Hivi kuusema ukweli mchungu kuwa 2010 ni JK na ni CCM hiyo ndio kunifanya mimi niwe CCM?
Hakuna ubaya kuwa hopefull kwa jambo lolote jema ulitarajialo hata kama unatambua kwa dhahiri ni false hope.
Wapenda demokrasia wote hata walioko CCM, walifurahia ushindi wa Chadema Tarime na wataufurahia ushindi wa upinzani Busanda na Biharamulo lakini jee huu ndio ukweli halisi?. Ni ndani ya saa 48 zijazo.
 
ukisoma post yangu nimesema wazi mimi si chadema lakini ningependa washindena sababu zipo sasa ili wafanikiwe kauli yangu na matendo yangu ni vizuri yakalenga huko. kuhusu mramba yona etc , kesi wanaweza kushinda kwa sababu serikali haina nia ya kuwafunga. ukija suala la busanda labda ungeleta na maoni yako kuhusu tarime then tunaweza kulinganisha uamuzi wako tuone una mantika au hauna, maana kule walishinda licha ya hali ya kisiasa kuwa kama busanda na nimefuatilia post zako za karibuni nimeona zina egemea upande moja, hivyo zinaweza kuonekana kama ni mtu aliye kuwa compromised au aliye katika mission .Na hakluna Mtu alitegemea Marehemu kabuya angeshinda Biharamulo lakini alishindwa, sasa haya ya kusema kijumla jumla kwamba wapinzani hawa wezi mpaka baada ya 2010 ni uongo, landa kwa sasa Uraisi unaweza kuwa shida kwao lakini si katika ngazi ya ubunge, na muda unavyo kwenda u, never know hata wa uraisi ukawa rahisi.
Cha mwisho sija kutusi bali nime kukosoa, au kuna lugha ambayo nime itumia ambayo sio nzuri, kama hiyo ya Stupid etc ambayo aliye liweka amezungumzia in a context yake haikuwa hivyo.
Mimi napenda uwe objective hapo utakuwa mwandishi mzuri. lakini ukiwa unaandika kishabiki, wakati una fanya kazi ambayo unatakiwa uwe mtu wakati si vizuri.
 
Objectivity ni subjective. Ukishakuwa mshabiki wa upande mmoja any comments against your side utaziona kama zimeegemea upande wa pili. Comments ni opinion ya mtu kutokana na vision yake kwa mambo yaliyombele yake. Nimecoment sana kuhusu united front ya wapinzani ili wapate nguvu na support ya kweli. Nimecomment sana kuhusu uchavu wa viongozi wa CCM ambao unakichafua chhama chao.
Tatizo ambalo nimeliona na ninalikubali ni kutoa comments zangu kinyume cha matarajio ya wengi. Kwa vile niko na saa 48 muhimu hapa Busanda, nitaendelea na kupost ninachokiona na kazi itabakia ni kusubiri wana Busanda wanasema nini.
 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame anafanya mkutano na waandishi wa habari zaa hizi katika hoteli ya Katoma mjini Geita.
 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame anapokea maswali ya waandishi wa habari katika mkutano wake na waandishi wa habari unaoendelea katika hoteli ya Katoma Hill, mjini Geita.
 
Tupe vitu pasco... tunakushukuru saaana.. lkn nina suala mkuu... Ninasikia cuf wana nguvu saana huko kwa jinsi ya watu wetu walokuja huko.. Je ni kweli? na kama kweli kwanini hutupi habari zao? KUNA NINI HAPO?
 
SISIEMU ni lazima waelewe kuwa watanzania wamechoka kudandanywa, wanatumia pesa nyingi na nguvu nyingi kwa sababu ya mbunge atakaye ongoza kwa mwaka mmoja tu. Mwakani kuna uchaguzi mkuu, watafanya hivi hivi kama walovyo zoea.

Kama walidhani kuwa tulioko vijijini ndio watapata kura zetu basi waandike wameumia, tumeshazinduka kutoka usingizini, tumechoswa na serikali ya KIFISADI.
 
Tupe vitu pasco... tunakushukuru saaana.. lkn nina suala mkuu... Ninasikia cuf wana nguvu saana huko kwa jinsi ya watu wetu walokuja huko.. Je ni kweli? na kama kweli kwanini hutupi habari zao? KUNA NINI HAPO?
Ni kweli CUF wana nguvu sana jimbo la Busanda ila mchuano mkali ni CCM na Chadema. Nitawatafuta CUF, nitawashushia dataz.
 
Pasco, jinsi unavyoona yanayoendelea huko Busanda, Unadhani uchaguzi utakuwa wa haki na wenye demokrasia ya kweli???
 
Pasco..
kwa habari nilozipata mbona cuf ndo wana uhakika wa jimbo,labda ccm wafanye ufisadi wao? Habari zilotufikia ni kuwa Pr Lipumba kakubalika sera zake huko na amejikusanyia wananchi wengi saana... lkn nasikia ccm hawana watu na wanazomewa,na hata mikutano yao ya ndani kuna mvutano mkubwa.. na chadema wana watu kiasi isipokuwa wakija na helikopta watu ndo wanajaa kungalia hiyo chopa..
NDINI YA MASAA 48... tupe vitu mzee...
 
Nimeingia kidogo vijijini. CCM wametandaza bendera zao kila pahali ila bendera hizo ni mpya kitu kinachoashiria ni zoezi ni sehemu ya kampeni. Bendera chache za CUF na UDP pia nimeziona. Sikubahatika kuona za Chadema labda by coicidence maeneo niliyoyapitia siyo strong hold ya Chadema na Cuf.

Nikiwa mjini Katoro, msafara mkubwa wa baiskeli na pikipiki zinapita kwa makeke na tambo barabara nzima huku umati mkubwa wa mashabiki wa Chadema ukifuatia kwa nyuma kuelekea uwanja wa mkutano wa hadhara.

Leo jioni mji huu wa Katoro, utawaka moto kwa kampeni za vyama vitatu vikuu, CCM, Chadema na CUF, kumalizia kampeni zake kwenye mji huu.
 
Pasco..
kwa habari nilozipata mbona cuf ndo wana uhakika wa jimbo,labda ccm wafanye ufisadi wao? Habari zilotufikia ni kuwa Pr Lipumba kakubalika sera zake huko na amejikusanyia wananchi wengi saana... lkn nasikia ccm hawana watu na wanazomewa,na hata mikutano yao ya ndani kuna mvutano mkubwa.. na chadema wana watu kiasi isipokuwa wakija na helikopta watu ndo wanajaa kungalia hiyo chopa..
NDINI YA MASAA 48... tupe vitu mzee...

kwa habari nilozipata

Mhhhh spinning!

Habari zilotufikia

Wewe na kina nani?

lkn nasikia

nani kakupa huo mnong'ono?

isipokuwa wakija na helikopta watu ndo wanajaa kungalia hiyo chopa..

Hapa unaniacha hoi sana umejuaje mkuu!
 
Mazee ni kosa la jinai? Hizo ni fikra zako, ila siko chama cha mafioso ...sisiemu kama wewe!

....................../´¯/)
....................,/¯../
.................../..../
............./´¯/'...'/´¯¯`·¸
........../'/.../..../......./¨¯\
........('(CHADEMA./'...')
.........\.................'...../
..........''...\.......... _.·´
............\..............(
..............\.............\.

Du! mzee umeamua kumpa mtu kubwa kuliko! Usijali Tutashinda mzee!
 
Back
Top Bottom