kwikwi Raisi bushi kweli hiza kichwa maji,mhuu CCM oyeeee!Niko mkutano wa CCM, nikianzia umati wa watu, ukilinganisha na Chadema, sio siri CCM cha Mtoto!.
Kama watu niliowana mkutano wa Chadema ni wapiga kura kweli, basi kwa mara ya kwanza nakiri kuwa CCM itapigwa chini mjini Busanda. Vijijini, sijajua.
Hakuna Ob yoyote ya TBC, hivyo hakuna live TBC-1 labda TBC-Taifa mlioko huko sikilizeni.
Kampeni za Mwisho za CCM mdororo!.
Tambwe Hiza kachemsha eti Rais Bush kamwalika Jk!.
Waziri Masha kagoma kupanda Jukwwaani.
Mgombea wa CCM Mama Bukwimba hana uwezo wa kujieleza.
Kama wanaBusanda wanachagua mtu na sio chama, basi Mbunge ni Magesa. Lakini kwa vile wanachagua vyama, hata mgombea wa chama awe bomu vipi, chama kitambeba.
Mhe Magufuli amepanda jukwaani anamwaga kikabila kisukuma kujibu mapigo. Anashangiliwa sana, sasa anamwaga sumu.
Anamnadi vizuri mkombea wa CCM.
Leo sijaona wazomeaji.
Kwa vile campain hizi za CCM zinaboa, sitadumu hapa kwa muda mrefu, nitaelekea kampeni za CUF na kumalizia na kampeni za UDP.
Sorry Calipso, ni kweli betri ilichemsha, CUF wako Nyarugusu watu ambao sikuwatendea haki ni UDP maana baada kupita na kukuta mkutano bado, nilitakiwa nipite tena, kutokana kuchemsha kwa UDP, sijaweza kupita tena.duh! wakati wa kwenda kwenye mkutano wa cuf,betri ndo imechemsha... Haya tutayaona! ukweli haufichiki...
Yoyote unayesoma na kama unaamini sema
amen n amen in jesus name
subiri miujiza ya bwana
mungu awabariki watu wa busanda awachagulie chaguo kutoka kwa mungu;kila la kheri wana busanda...huku tukilalamika wizi wa kura za ccm tujitahidi kuomba mungu awafungue watu wa busanda wenyewe kwanza waweze kujilinda na wizi huo...nje ya hapo watiba kila sehemu kasoro tarime..ila uwezekano wa kuwabana wasiibe kura na michezo yao michafu ya kuhamisha masanduku ya kura
Amina mtumishiAmina mtumishi
labda tuwakumbushe biblia takatifu kitabu cha
isaya 59:19
kinasema
basi wataliogopa jina ka bwana toka maghariib na utukufu wake toka mawiio ya jua maana yeye atakuja kama mkondo wa mto ufurikao
kwa mamlaka tuliopewa na yesu tunakwenda kuamuru nguzu zote za giza zitakazotumika zisifanikiwe na si hilo tu mungu awambue hadharani.....
Lazima tumwombe mungu awatiishe awape ufahamu ccm kwamba mungu yupo ...isaya 62:6 inasema nimeweka walinzi juu ya yerusalemu hawatnyamaza mchana wala usiku ninyi wenye kumkumbusha bwana msiwe kimya....hivyo mimi na wewe na wote tunaoitkia tanzania mapenzi mema hatuna budi kumkumbusha mungu ashushe nguvu zake kesho...na watu wasinunulike kama wanavyofanya katika chaguzi za nyuma
Saa hizi hapa kumetulia, imebaki kutafakari yaliyojiri mchana wa leo na kusalimia watu wanaoweza kusalimilika.
Nimepitia meza aliyokaa Mzee Malecela, Mama Anne Kilango na Dr. Antony Dialo.
Kutokana na heshima ya Mzee wetu huyu na kukubalika kwa Mama Kilango, sikuthubutu kuzungumzia lolote kuhusu uchaguzi wa kesho haswa kwa kuzingatia nimeshuhudia mwenyewe jinsi CCM ilivyojeruhiwa Katoro nisije kuharibu mood ya jioni hii.
Niliwasalimia kama mtoto anavyomwamkia baba na kuwa pole za hectic za kampeni na ofcourse nikamsifia Mama anavyomwaga sera.
Kwa upande wa Dialo, nilimpongeza kwa kazi nzuri inayofanywa na TV yake ya Star TV na redio yake ya RFA katika kampeni za Busanda na kutilia msisitizo kipindi maalum cha 30 min kilichorushwa leo saa 1:00-1:30 kuibeba CCM katika muda ambao kampeni zilishamaliika rasmi tangu saa 12:00 jioni, hivyo ni kinyume cha sheria. Kama sikosei, kipindi hiki, kitarudiwa kesho asubuhi saa 1:00-1:30.
Nimepita Dr. Slaa alipokaa na kumpongeza kwa kampeni kamambe. Nikamthibitishia Chadema imekubalika na kama ni kweli na vijijini mambo ni kama nilivyoshuhudia, sio tuu CCM itapata kipigo kitakatifu, bali pia itaangukia pua na kuiweka kwenye hali ngumu zaidi Biharamulo.
Kuna habari ambazo hazijathibitishwa eti CCM wamehakikishiwa ushindi na watu wa UWT. Pia kuna taarifa isiyo rasmi ikidai kuna mamia ya wapiga kura mamluki wa CCM wanaingia usiku huu mjini Busada tayari kupiga kura za CCM hiyo kesho.
Chadema kwa kulijua hilo, imetuma timu kukesha kivukoni Busisi kuhakikisha Busanda hakufikiki.
Nadhani leo niishie hapa nitaendeleza asubuhi kuwaleteeni zoezi la upigaji kura.

Hapo zitatumika mbinu za visiwani... na watapenya tu, maadam upigaji kura ni kuanzia 12.00 asubuhi hadi 12.00 hakuna shaka katika hilo.Pia kuna taarifa isiyo rasmi ikidai kuna mamia ya wapiga kura mamluki wa CCM wanaingia usiku huu mjini Busada tayari kupiga kura za CCM hiyo kesho.
Chadema kwa kulijua hilo, imetuma timu kukesha kivukoni Busisi kuhakikisha Busanda hakufikiki.
Sorry Calipso, ni kweli betri ilichemsha, CUF wako Nyarugusu watu ambao sikuwatendea haki ni UDP maana baada kupita na kukuta mkutano bado, nilitakiwa nipite tena, kutokana kuchemsha kwa UDP, sijaweza kupita tena.
Kampeni zimeisha Mbowe anahamasisha maandamano yasiyo rasmi, watu wanatawanyika FFU wamesogeza gari lao mkao wa kula. Mwenyeji wangu kanishauri tuondoke mahali hapo kabla wakina Mbowe hawajalianzisha....