Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

Mliopo Busanda tupeni update
Nothing much, ni upigaji kura tuu. So far hakuna jinsi ya kutambua wizi wowote wa kura.
'Off the record' Baadhi ya mawakala wa Chadema ni mademu bomba weupee wamejikoki vilivyo, na Wasukuma walivyo wanapoona wanawake weupe usiseme...NB na mimi ni Msukuma basi kazi kweli kweli!.
 
makubwa!
 
Pasco tupe za uchaguzi achana na hao jamaa angu kwani kama ni wanyantuzu watakuliza mara moja
 
Mkuu kama hutojali, tumwagie kidogo wamejeruhiwaje mkuu? make jana ulitwmabia TBC itakuwa live sasa majeruhi tena?

Halafu hiyo UWT kuhakikishia ushindi chama fulani badala ya kura za kwenye sanduku kuamua imekaaje mkuu? hivi bado tupo katika enzi hizo? sasa kwanini tupoteze mapesa yote hayo na muda wa watu kufanya kampeini kama UWT wanapanga washindi na kuhakikisha wanakuwa? I dont get it mkuu!

All in all asante kwa taarifa.
Jana nilisema CCM ina hali mbaya. Tangu nikiwa Dar taarifa za magazeti zilionyesha CCM taabani. CCM wenyewe wakadai wana uhakika wa ushindi wa asilimia 80% toka vijijini. Baada ya kutia Busanda nimeshuhudia
CCM ni kweli iko taaban, mkutano wao wa mwisho jana ulidorora na watu kidogo wakati Chadema ilikuwa funika bovu na umati wa watu.
Kumbe yale majigambo ya CCM kushinda vijijini ni taarifa kutoka UWT ama wanawasingizia ili kuwatia moyo wasi kata tamaa.
Kwa jinsi nilivyoona zoezi la upigaji kura na mawakala, hakuna jinsi yoyote ya kucheza mchezo mchafu unless lipelekwe sanduku zima lililojaa kura za kughushi.
Mawakala wa Chadema wamegangamala hakuna kulala mpaka kieleweke.
Theory ya UWT ni ushindi wa Chadema Tarime uliifadhaisha CCM na inawezekana JK alitahayari na kumuagiza Othman kuhakikisha ya Tarime hayajirudii.
Hali ya CCM hapa Busanda ilivyo, Tarime ni afadhali, hivyo katika kumzuia JK kutahayari tena, UWT wanaweza kufanya lolote kuhakikisha ni CCM, kwani Zanzibar kunafanyikaga nini?!.
 
Haya mkuu masikio yetu ni huko ndugu, naona muda wa kupiga kura karibia unaisha, kwa maana kura zitaanza kuhesabiwa maramoja na matokeo kurushwa kutoka vituoni bila kusafirisha mabox hayo ambayo ndo huwa njia mahsusi ya kuiba kura kwa kubadili mabox njiani?

Hao mademu bomba wata stahimili mikiki ya kuhesabu kura hadi saa 9 ucku? Mungu awaweze mkuu!
 
Unasema uchaguzi ni wa huru na wa haki matokeo yakitangazwa wewe wa wanazi wenzio mtakuja na hoja ya kuibiwa, sijui polisi nk.

Chadema hamna kitu ni bunch la bad loosers!
Masatu please open minded tusilete unazi wala ushabiki, mimi sio mshabiki wa chama chochete bali ni pro-democracy na realist. Sasa mimi ni mnazi wa nani?.
Haya its true Chadema hamna kitu its bunch of bad loosers.
They lost Tarime and they will loose Busanda, subiri matokeo uconfirm statement yako.
By the way wafuasi wa Chadema wamezua tafrani ya kufa mtu kutaka kupekua gari la tinted walilolihisi limebeba kura fake. Ilibidi polisi waingilie kati kufanya upekuzi na kushuhudia hakuna kitu ndipo wakatulia.

Pia kuna taarifa kiongozo mmoja wa CCM Busanda yuko mikononi mwa polisi kwa kosa la kupiga kura mara mbili. Nimefuatilia polisi hawakukubali wala kukanusha bali wamesisitiza nimsubiri OCD.

Zoezi la upigaji kura limefungwa rasmi saa kumi kamili. Na sasa ndio kazi ya kuhesabu kura inaanza, subirini taarifa, wakulia watalia, wakucheka watacheka taarifa zinaendelea...
 
Unasema uchaguzi ni wa huru na wa haki matokeo yakitangazwa wewe wa wanazi wenzio mtakuja na hoja ya kuibiwa, sijui polisi nk.

Chadema hamna kitu ni bunch la bad loosers!

Pole pole mkubwa. CCM hamkuzoea kushindwa. Ila hamna uwezo wa kuzuia kushindwa kwenu. Anguko la CCM laja.
 
Tutwangie mkuu nn kinajiri saivi au mambo hayajaiva?
 
Pole pole mkubwa. CCM hamkuzoea kushindwa. Ila hamna uwezo wa kuzuia kushindwa kwenu. Anguko la CCM laja.

Ni kweli Invisible, CCM ilishindwa Busanda, kinachofuatia ni anguko kuu la CCM, 2010. Hiyo maanake ni kuwa Watanzania sasa wameamka, wanaweza kusema 'no' kwa longo longo na kuthibitisha 'yes we can' kwenye change they belive in.
 
Jamani eeeh hebu nipeni matokeo kamili kule Busanda vp? manake tokea niskie uhuni uliofanyika kule Magogoni, nimeshindwa kula, nataka walau kuji plz kama mambo yatakuwa mazuri Busanda.
 
mkuu kuna Pepo linaitwa CCM,hiyo ndo nasikia leo,sina pepo mimi ila ushindi kwa CCM ni wa lazima

Heheeeee,... chama cha mafisadi bwana eti ushindi ni wa lazima? Hivi mnadhani hapa ni mwaka 2005 mlivo tu EPA? matokeo yake mmewekwa mfukoni hamuwezi kukohoa mbele ya Fisadi papa RA? serikali inakwenda ndivyo sivyo,

Yaani with all the authority/power mnashindwa kuendesha nchi kwa ajili tu ya pelekeshwa na mafisadi wafadhili?
what a shame?

subili, tusiandikie mate mdada, tuombe uzima tuwe hai tushuhudie wote!
 
mida ya usiku najua hii thread itakuwa na trafiki ya ajabu!ila wapinzani wasubiri kuangukia pua

Tupo pamoja kwani kura za Tanzania ni kiini macho tu. Na kwa kuwa CCM ndiyo wenye haki miliki ya nchi basi watajitangaza washindi, ndiyo maana wameamua kuweka polisi wa kufa mtu kuwatuliza wananchi kwa siku mbili tatu wasahau umafia utakao fanyika leo.

CCM ni adui namba moja wa amani ya Tanzania. Siku polisi watakapokuja kuua watu kama 20,000 na wengine wakawa bado wanakuja tu ili wamalizwe ndipo watakapojua kuwa nchi ni ya wananchi na wananchi ni wote si kikundi cha watu wachache wanaojiita CCM.

Ni haki pekee itakayoendeleza amani katika nchi yetu na si bunduki wala polisi wala mabomu bali amani ipo ndani ya mtu kujua kuwa haki imetendeka.

Kama hatuwezi kwa nini tulikubali kuwa na vyama vingi vinatugawa hivi na kutishia umoja wetu ulioasisiwa na baba wa taifa?, kwa nini tusipige marufuku vyama vingi ili wote tuwe CCM kuliko kutumia misuli kulazimisha ushindi na kuwaacha wananchi na visasi mioyoni mwao ambavyo ni sawa na time bomb?

Utawaua wengi, utawafunga wengi lakini ujue kuwa hutakuwa na ridhaa ya wengi na wengi watakuwa tayari kukuona wewe si miongoni mwa wao wengi kwa kukupinga hata kama una misuli. uongozi ni uwezo wa kuwashawishi watu wafanye yale yote ya kuendeleza taifa na utawala ni kutumia mabavu kulazimisha mambo. Mpaka sasa Tanzania ina watawala (wakoloni weusi) zaidi ya viongozi, kwani viongozi hutoka kwa wananchi wenyewe kwa kuchagua wanayemtaka na si kuwekewa.
 
Last edited:
Ni kweli Invisible, CCM ilishindwa Busanda, kinachofuatia ni anguko kuu la CCM, 2010. Hiyo maanake ni kuwa Watanzania sasa wameamka, wanaweza kusema 'no' kwa longo longo na kuthibitisha 'yes we can' kwenye change they belive in.

Change we need yes, But Change we believe i doubt!!!!

Omarilyas
 
Pole pole mkubwa. CCM hamkuzoea kushindwa. Ila hamna uwezo wa kuzuia kushindwa kwenu. Anguko la CCM laja.
Ni kweli Invisible, CCM ilishindwa Busanda, kinachofuatia ni anguko kuu la CCM, 2010. Hiyo maanake ni kuwa Watanzania sasa wameamka, wanaweza kusema 'no' kwa longo longo na kuthibitisha 'yes we can' kwenye change they belive in.
Mkuu Pasco, mimi sina uhakika kama Invincible ndio huyo huyo Invisible. Kama mmoja/wote wapo online ni vizuri watufafanulie, maana naona amepost mmoja na wewe ukamuunga mkono mwingine. Nadhani hii inawachanganya wengi humu, si wewe na mimi tu.
 
Back
Top Bottom