Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
CCM watagawana kura za vijijini na CUF, na Chadema itaibuka na ushindi wa kati ya asilimia 50 na 55... you heard it here first.
by the way hivi wale waandishi wa RA wapo wapi? Maana kuna watu uchangiaji wao au uandishi wao ni waupotoshaji au wakuangalia upande moja, sasa mtu kama huyo si aseme tu niko ccm au niko upande wa Pili.Kuna evidence?
Huu ni ushabiki umejuaje? unadhani wavijijini ni mabwege?
Acha ushabiki this is a stupid and crazy analysis, nani kakwambia si wapiga kura hao?
Ushabiki nimshabikie nani? Hizi lugha za stupid na crazy za nini?. Naomba tutofautiane kwa hoja bila ya kutukanana.Kuna evidence?. Yes nilisema hapo mwanzo nimemsalimia Kamanda Polisi. Imethibitika kuna kikosi maalum cha uzomeaji. Faulo nyingine nyingi tuu polisi wameziona na kuziachia ili wasije onekana too strict. Wako wanasiasa wamewa incite washabiki wao wapige watu manati. Police spared them not to make a scene out of this
Huu ni ushabiki umejuaje? unadhani wavijijini ni mabwege?. Sorry to say this loud a clear, Asilimia kubwa ya Watanzania ni mabwege nikiwemo mimi au labda na wewe ndio maana harakati zetu za kisiasa ni za kibwege *****. Hivi unategemea nini kwenye utitiri wa vyama vikishindana na chama dola huku vikisimamisha utitiri wa wagombea, hii ndio demokrasia lakini what for, demokrasia ya kibwege *****. Huko vijijini ndio usiseme, angalau vijijini kwa makibila walioenda shule, the rest ni CCM tuu because they don't know the difference and it doesent matter much to them.
Acha ushabiki this is a stupid and crazy analysis, nani kakwambia si wapiga kura hao?
Ushabiki nimshabikie nani? Hizi lugha za stupid na crazy za nini?. Naomba tutofautiane kwa hoja bila ya kutukanana.
Pata data za idadi ya wakazi wa Busanda ulinganishe na waliojiandikisha utapata jibu sahihi kuna umati wa kushabikia siasa na upo umati wa kushangalia helicopta. Majibu ni ndani ya haya masaa 48 muhimu lwa Busanda.
Pasco,
Mkuu wangu wanaopiga kura ni wananchi wa Busanda, sehemnu isiyokuwa na Umeme, hiyo TV itaweza vipi kufikisha ujumbe kwa wapiga kura?.. ama una maana wengi watajitokeza ili wapate kuonekana ktk TV kama wacheza sinema.
Kitu cha pili mkuu wangu nimezunguka sana Tanzania kipindi nilichokwenda, nakuhakikishia kwamba ikiwa mjini ni pamoja na mji mkuu wa jmbo basi elewa kwamba vijijini hakuna watu..Kila sehemu utakayokwenda watu wengi wamehamia mijini..Vijijini hakuna kazi mkuu wangu wajumba mengi ni magofu tu..Viwanja na mashamba kibao tena bwelela.
Kumbuka tu kwamba wananchi kwa asilimia 80 wanaitwa wakulima lakini hakuna wakulima kwa silimia hiyo..(sijui kama umenielewa hapo)... Sasa hivi kilimo ni kipato cha pembeni watu wengi wanafanya kilimo as part time thing kuweka veggie mezani lakini sii vijiji vile tulivyokuwa tukivifahamu miaka ya 70 na 80.
Hivyo hata msemo wa kusema population kubwa ya Tanzani ipo vijijini inabidi tufikirie upya. Nina hakika sii kweli na wakati ule vijijini ilikuwa ni pamoja na sehemu ambazo leo hii inaitwa mjini..
Nakupa guarantee kuwa leo hii kila mji mkuu wa Mkoa una watu wengi almost 1/3 ya population ya mkoa mzima..na 2/3 ikiwa utaongezea miji mikuu ya wilaya..
Najihisi kama unanitusi, kitu kimoja I'm happy about is my clear concious on impartiality. Ukweli siku zote unauma, kama ulisoma 'An Enemy of The People' utanielewa. I'm realist. Niko tayari kutofautiana na wote katika hoja ambazo naamini ukweli unapindishwa.by the way hivi wale waandishi wa RA wapo wapi? Maana kuna watu uchangiaji wao au uandishi wao ni waupotoshaji au wakuangalia upande moja, sasa mtu kama huyo si aseme tu niko ccm au niko upande wa Pili.
eg mimi si mshabiki wa chadema lakini ningependa washinde, ili kuwaeleza ccm kwamba sasa imechosha, kwamba wametuibia kiasi cha kutosha. Lakini ndugu yangu Pasco uandishi wake umekuwa kama ule wa Balali? kujifanya hana upande wowote ili kupotosha watu wakati , anaegemea upande moja.
ukisoma post yangu nimesema wazi mimi si chadema lakini ningependa washindena sababu zipo sasa ili wafanikiwe kauli yangu na matendo yangu ni vizuri yakalenga huko. kuhusu mramba yona etc , kesi wanaweza kushinda kwa sababu serikali haina nia ya kuwafunga. ukija suala la busanda labda ungeleta na maoni yako kuhusu tarime then tunaweza kulinganisha uamuzi wako tuone una mantika au hauna, maana kule walishinda licha ya hali ya kisiasa kuwa kama busanda na nimefuatilia post zako za karibuni nimeona zina egemea upande moja, hivyo zinaweza kuonekana kama ni mtu aliye kuwa compromised au aliye katika mission .Na hakluna Mtu alitegemea Marehemu kabuya angeshinda Biharamulo lakini alishindwa, sasa haya ya kusema kijumla jumla kwamba wapinzani hawa wezi mpaka baada ya 2010 ni uongo, landa kwa sasa Uraisi unaweza kuwa shida kwao lakini si katika ngazi ya ubunge, na muda unavyo kwenda u, never know hata wa uraisi ukawa rahisi.Najihisi kama unanitusi, kitu kimoja I'm happy about is my clear concious on impartiality. Ukweli siku zote unauma, kama ulisoma 'An Enemy of The People' utanielewa. I'm realist. Niko tayari kutofautiana na wote katika hoja ambazo naamini ukweli unapindishwa.
Nilisema Mgonja, Mramba na Yona hawana kesi nikaonekana kichaa. Nikasema Liyumba na Kweka wanaonewa na haki zao kukiukwa kinyume cha sheria nikaonekana fisadi. Leo niko Busanda kuwaletea ninachokiona eti ndio nimekuwa CCM.
Mimi ni wale niliosema na ninaendelea kusema CCM imeoza left right and centre lakini kuna viongozi safi Nyerere type miongoni mwa ouzo huo.
Nimesema mara kibao, watu wanaichagua CCM sio kwasababu wanaipenda, bali kwa sababu wapinzani hawajaonyesha wanaweza, dalili za wapinzani kuweza zinaonekana ila sio 2010, labda mbele ya safari. Hivi kuusema ukweli mchungu kuwa 2010 ni JK na ni CCM hiyo ndio kunifanya mimi niwe CCM?
Hakuna ubaya kuwa hopefull kwa jambo lolote jema ulitarajialo hata kama unatambua kwa dhahiri ni false hope.
Wapenda demokrasia wote hata walioko CCM, walifurahia ushindi wa Chadema Tarime na wataufurahia ushindi wa upinzani Busanda na Biharamulo lakini jee huu ndio ukweli halisi?. Ni ndani ya saa 48 zijazo.
Objectivity ni subjective. Ukishakuwa mshabiki wa upande mmoja any comments against your side utaziona kama zimeegemea upande wa pili. Comments ni opinion ya mtu kutokana na vision yake kwa mambo yaliyombele yake. Nimecoment sana kuhusu united front ya wapinzani ili wapate nguvu na support ya kweli. Nimecomment sana kuhusu uchavu wa viongozi wa CCM ambao unakichafua chhama chao.ukisoma post yangu nimesema wazi mimi si chadema lakini ningependa washindena sababu zipo sasa ili wafanikiwe kauli yangu na matendo yangu ni vizuri yakalenga huko. kuhusu mramba yona etc , kesi wanaweza kushinda kwa sababu serikali haina nia ya kuwafunga. ukija suala la busanda labda ungeleta na maoni yako kuhusu tarime then tunaweza kulinganisha uamuzi wako tuone una mantika au hauna, maana kule walishinda licha ya hali ya kisiasa kuwa kama busanda na nimefuatilia post zako za karibuni nimeona zina egemea upande moja, hivyo zinaweza kuonekana kama ni mtu aliye kuwa compromised au aliye katika mission .Na hakluna Mtu alitegemea Marehemu kabuya angeshinda Biharamulo lakini alishindwa, sasa haya ya kusema kijumla jumla kwamba wapinzani hawa wezi mpaka baada ya 2010 ni uongo, landa kwa sasa Uraisi unaweza kuwa shida kwao lakini si katika ngazi ya ubunge, na muda unavyo kwenda u, never know hata wa uraisi ukawa rahisi.
Cha mwisho sija kutusi bali nime kukosoa, au kuna lugha ambayo nime itumia ambayo sio nzuri, kama hiyo ya Stupid etc ambayo aliye liweka amezungumzia in a context yake haikuwa hivyo.
Mimi napenda uwe objective hapo utakuwa mwandishi mzuri. lakini ukiwa unaandika kishabiki, wakati una fanya kazi ambayo unatakiwa uwe mtu wakati si vizuri.
Ni kweli CUF wana nguvu sana jimbo la Busanda ila mchuano mkali ni CCM na Chadema. Nitawatafuta CUF, nitawashushia dataz.Tupe vitu pasco... tunakushukuru saaana.. lkn nina suala mkuu... Ninasikia cuf wana nguvu saana huko kwa jinsi ya watu wetu walokuja huko.. Je ni kweli? na kama kweli kwanini hutupi habari zao? KUNA NINI HAPO?
Ni kweli CUF wana nguvu sana jimbo la Busanda ila mchuano mkali ni CCM na Chadema. Nitawatafuta CUF, nitawashushia dataz.
Pasco..
kwa habari nilozipata mbona cuf ndo wana uhakika wa jimbo,labda ccm wafanye ufisadi wao? Habari zilotufikia ni kuwa Pr Lipumba kakubalika sera zake huko na amejikusanyia wananchi wengi saana... lkn nasikia ccm hawana watu na wanazomewa,na hata mikutano yao ya ndani kuna mvutano mkubwa.. na chadema wana watu kiasi isipokuwa wakija na helikopta watu ndo wanajaa kungalia hiyo chopa..
NDINI YA MASAA 48... tupe vitu mzee...
kwa habari nilozipata
Habari zilotufikia
lkn nasikia
isipokuwa wakija na helikopta watu ndo wanajaa kungalia hiyo chopa..
Mazee ni kosa la jinai? Hizo ni fikra zako, ila siko chama cha mafioso ...sisiemu kama wewe!
....................../´¯/)
....................,/¯../
.................../..../
............./´¯/'...'/´¯¯`·¸
........../'/.../..../......./¨¯\
........('(CHADEMA./'...')
.........\.................'...../
..........''...\.......... _.·´
............\..............(
..............\.............\.