Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Nothing much, ni upigaji kura tuu. So far hakuna jinsi ya kutambua wizi wowote wa kura.Mliopo Busanda tupeni update
Nothing much, ni upigaji kura tuu. So far hakuna jinsi ya kutambua wizi wowote wa kura.
'Off the record' Baadhi ya mawakala wa Chadema ni mademu bomba weupee wamejikoki vilivyo, na Wasukuma walivyo wanapoona wanawake weupe usiseme...NB na mimi ni Msukuma basi kazi kweli kweli!.
Nothing much, ni upigaji kura tuu. So far hakuna jinsi ya kutambua wizi wowote wa kura.
'Off the record' Baadhi ya mawakala wa Chadema ni mademu bomba weupee wamejikoki vilivyo, na Wasukuma walivyo wanapoona wanawake weupe usiseme...NB na mimi ni Msukuma basi kazi kweli kweli!.
Jana nilisema CCM ina hali mbaya. Tangu nikiwa Dar taarifa za magazeti zilionyesha CCM taabani. CCM wenyewe wakadai wana uhakika wa ushindi wa asilimia 80% toka vijijini. Baada ya kutia Busanda nimeshuhudiaMkuu kama hutojali, tumwagie kidogo wamejeruhiwaje mkuu? make jana ulitwmabia TBC itakuwa live sasa majeruhi tena?
Halafu hiyo UWT kuhakikishia ushindi chama fulani badala ya kura za kwenye sanduku kuamua imekaaje mkuu? hivi bado tupo katika enzi hizo? sasa kwanini tupoteze mapesa yote hayo na muda wa watu kufanya kampeini kama UWT wanapanga washindi na kuhakikisha wanakuwa? I dont get it mkuu!
All in all asante kwa taarifa.
Jana nilisema CCM ina hali mbaya. Tangu nikiwa Dar taarifa za magazeti zilionyesha CCM taabani. CCM wenyewe wakadai wana uhakika wa ushindi wa asilimia 80% toka vijijini. Baada ya kutia Busanda nimeshuhudia
CCM ni kweli iko taaban, mkutano wao wa mwisho jana ulidorora na watu kidogo wakati Chadema ilikuwa funika bovu na umati wa watu.
Kumbe yale majigambo ya CCM kushinda vijijini ni taarifa kutoka UWT ama wanawasingizia ili kuwatia moyo wasi kata tamaa.
Kwa jinsi nilivyoona zoezi la upigaji kura na mawakala, hakuna jinsi yoyote ya kucheza mchezo mchafu unless lipelekwe sanduku zima lililojaa kura za kughushi.
Mawakala wa Chadema wamegangamala hakuna kulala mpaka kieleweke.
Theory ya UWT ni ushindi wa Chadema Tarime uliifadhaisha CCM na inawezekana JK alitahayari na kumuagiza Othman kuhakikisha ya Tarime hayajirudii.
Hali ya CCM hapa Busanda ilivyo, Tarime ni afadhali, hivyo katika kumzuia JK kutahayari tena, UWT wanaweza kufanya lolote kuhakikisha ni CCM, kwani Zanzibar kunafanyikaga nini?!.
Masatu please open minded tusilete unazi wala ushabiki, mimi sio mshabiki wa chama chochete bali ni pro-democracy na realist. Sasa mimi ni mnazi wa nani?.Unasema uchaguzi ni wa huru na wa haki matokeo yakitangazwa wewe wa wanazi wenzio mtakuja na hoja ya kuibiwa, sijui polisi nk.
Chadema hamna kitu ni bunch la bad loosers!
Unasema uchaguzi ni wa huru na wa haki matokeo yakitangazwa wewe wa wanazi wenzio mtakuja na hoja ya kuibiwa, sijui polisi nk.
Chadema hamna kitu ni bunch la bad loosers!
Pole pole mkubwa. CCM hamkuzoea kushindwa. Ila hamna uwezo wa kuzuia kushindwa kwenu. Anguko la CCM laja.
CCM oyee!Leo CCM inagalagaza wapinzani Busanda
mkuu kuna Pepo linaitwa CCM,hiyo ndo nasikia leo,sina pepo mimi ila ushindi kwa CCM ni wa lazimaUnahitaji pepezi la nguvu, kukutoa pepo la CCM ulilonalo!
mkuu kuna Pepo linaitwa CCM,hiyo ndo nasikia leo,sina pepo mimi ila ushindi kwa CCM ni wa lazima
mkuu kuna Pepo linaitwa CCM,hiyo ndo nasikia leo,sina pepo mimi ila ushindi kwa CCM ni wa lazima
mida ya usiku najua hii thread itakuwa na trafiki ya ajabu!ila wapinzani wasubiri kuangukia pua
Ni kweli Invisible, CCM ilishindwa Busanda, kinachofuatia ni anguko kuu la CCM, 2010. Hiyo maanake ni kuwa Watanzania sasa wameamka, wanaweza kusema 'no' kwa longo longo na kuthibitisha 'yes we can' kwenye change they belive in.
Pole pole mkubwa. CCM hamkuzoea kushindwa. Ila hamna uwezo wa kuzuia kushindwa kwenu. Anguko la CCM laja.
Mkuu Pasco, mimi sina uhakika kama Invincible ndio huyo huyo Invisible. Kama mmoja/wote wapo online ni vizuri watufafanulie, maana naona amepost mmoja na wewe ukamuunga mkono mwingine. Nadhani hii inawachanganya wengi humu, si wewe na mimi tu.Ni kweli Invisible, CCM ilishindwa Busanda, kinachofuatia ni anguko kuu la CCM, 2010. Hiyo maanake ni kuwa Watanzania sasa wameamka, wanaweza kusema 'no' kwa longo longo na kuthibitisha 'yes we can' kwenye change they belive in.