Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

Status
Not open for further replies.

escrow one

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
1,473
Reaction score
2,868
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.

Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti vyake vya taaluma (form 4, form 6 na Chuo) na Mgombea asiyeambatanisha, fomu yake isipokelewe.

Inaelezwa kwamba mpango huu una lengo la kupunguza "wapiga debe" ndani ya Chama na kuweka Wasomi wenye uwezo wa Kupambanua Mambo.

Pia hii itasaidia Mamlaka za Uteuzi Serikalini kuwateua makada wenye sifa katika nafasi nyeti serikalini.

=====

UPDATES; 09 JUNI 2022

======

UFAFANUZI: Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, amekanusha taarifa hii na kusema ni uongo. Ni mpango wa watu ili kuwatisha watu Wasigombee.
 
Wamechelewa Sana
Chama kimeshachezewa Hadi kupoteza mvuto Wake

Ni dola pekee Ndio turufu iliyobaki hakuna nyingine.

Wangefanya hayo mwaka 2014

Leo chama Kingekuwa Mbali sana
Hivi unafahamu Sugu ni form four lakini anawazidi kwa mbali sana wasomi bingwa kama kina Dr Mwakyembe?

Tanzania hatuhitaji vyeti bali tunahitaji watu wenye akili kichwani vyeti ni nyongeza tu ya maarifa.

Degree na intelligent ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Mama ameona mbali sana. Baada ya Miaka 10 CCM itaendeshwa kisomi mno. Naona pia huu ni mwanzo wa kufuta wabunge wa darasa la 4B huko mbeleni
 
Hivi unafahamu Sugu ni form four lakini anawazidi kwa mbali sana wasomi bingwa kama kina Dr Mwakyembe?

Tanzania hatuhitaji vyeti bali tunahitaji watu wenye akili kichwani vyeti ni nyongeza tu ya maarifa.

Degree na intelligent ni vitu viwili tofauti kabisa.
Ndo KM wa Chama ameamua hivyo. Hataki tena wapiga kelele wawe viongozi. Wabaki kuimba iyena iyena tu
 
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.

Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti vyake vya taaluma (form 4, form 6 na Chuo) na Mgombea asiyeambatanisha, fomu yake isipokelewe.

Inaelezwa kwamba mpango huu una lengo la kupunguza "wapiga debe" ndani ya Chama na kuweka Wasomi wenye uwezo wa Kupambanua Mambo.

Pia hii itasaidia Mamlaka za Uteuzi Serikalini kuwateua makada wenye sifa katika nafasi nyeti serikalini.
Hii ni nzuri sn
 
Hii nayo ni point nzuri sn basi anghalau iwe ni F4
 
Wamechelewa Sana
Chama kimeshachezewa Hadi kupoteza mvuto Wake

Ni dola pekee Ndio turufu iliyobaki hakuna nyingine.

Wangefanya hayo mwaka 2014

Leo chama Kingekuwa Mbali sana
Kweli wewe ni Rais ajaye!

Lazima chama kiwe na mvuto!
Dr Musukuma naye ana cheti kikubwaa tu!
Toka la 7 Hadi PhD
 
Ndo KM wa Chama ameamua hivyo. Hataki tena wapiga kelele wawe viongozi. Wabaki kuimba iyena iyena tu
Katibu hana mamlaka hayo, mnajaza uchafu tu JF.

Mkutano mkuu wa ccm uliokutana Dodoma ndio uliopitisha kanuni za uchaguzi, hizi zingine ni porojo tu.

Wewe unadhani mikataba yote ya hovyo nchi hii waliingia walioishia darasa la saba au secondary school?
 
Maana tungefuata mifumo anayotaka mleta mada basi Chadema mwenyekiti angekuwa ni Zitto Kabwe au Kitila Mkumbo au Profesa Baregu R.i.p
Uongozi ni God given, kuna wenye kalama walipewa na Mungu.
Acha uzwazwa, Mbowe ana degree acha dharau
 
Uzushi tu, hakuna kanuni za uchaguzi za namna hiyo ccm.

Sifa ya mbunge, DC na RC ni kujuwa kusoma na kuandika tu.
inapingana na kanuni na taratibu zao basi wazibadilishe.
 
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.

Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti vyake vya taaluma (form 4, form 6 na Chuo) na Mgombea asiyeambatanisha, fomu yake isipokelewe.

Inaelezwa kwamba mpango huu una lengo la kupunguza "wapiga debe" ndani ya Chama na kuweka Wasomi wenye uwezo wa Kupambanua Mambo.

Pia hii itasaidia Mamlaka za Uteuzi Serikalini kuwateua makada wenye sifa katika nafasi nyeti serikalini.
?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom