Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

Status
Not open for further replies.
Mbona huku vijijini form 4, 6 na chuo zipo za kutosha tu mkuu
Wenye vyeti vya taaluma vijijini hawana interest na hizo nafasi.

Na kwa vijiji vingi wanakuwa waajiriwa,wenye taaluma wameng'ang'ania mijini tu.
 
Huu ni uongo. Asilimia kubwa ya wanaounga mkono CCM ni wakulima. Hawana cheti chochote cha taaluma zaidi ya cha kuzaliwa na cheti cha kliniki.

Siku CCM ikilitenga hilo kundi itaanguka. Pia CHADEMA wakiandaa sera nzuri za kuwafikia watu wasio na formal education basi lolote linaweza kutokea.
 
Chongolo mwenyewe katoa hayo maagizo kwa Makatibu wote wa wilaya na Mikoa. Labda Katibu Mkuu ameona hawana maana hao wenye elimu duni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom