Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

Status
Not open for further replies.
Kibajaji na Msukuma wana taaluma gani?
 
Mbona huku kwenye Kata na Mitaa uchaguzi umefanyika jumapili ya juzi na wagombea wengi walioshinda hata darasa la saba hawajamaliza?
 
Mbona huku kwenye Kata na Mitaa uchaguzi umefanyika jumapili ya juzi na wagombea wengi walioshinda hata darasa la saba hawajamaliza?
Kata ndio wameanza kuchukua fomu hawajafanya uchaguzi. Chongolo kashtuka hivi sasa baada ya kuona matawini mbumbumbu ni wengi. Kaamua kukaza kamba
 
Wapo ngazi ya kata hivi sasa. Sasa KM wao amekaza Uzi baada ya kuona walioshinda kwenye matawi wengi ni mbumbumbu
Watu wengi waungwana na wasomi wanaona aibu kugombea nafasi za uongozi ccm , sijui wanahofia nini , huku kwenye matawi washindi wengi wamepita bila kupingwa kwa sababu hakukuwa na waliojitokeza kugombea .
 
Kama kweli wamefanya hivyo na wapo na mtazamo huo basi ni jambo jema sana..

Ikiwezekana iwe ni sheria kwenye sheria ya vyama vya siasa na kule kwa msajiri wa vyama....pia lifanye kazi kwa vyama vyote..

Lingine lakuongezea, iwe hivyo kwenye ngazi ya ubunge tena waweke na kipengele cha mtu kuwa amewahi kuajiriwa kwenye position fulani fulani za maamuzi au kumiliki biashara yake mwenyewe yenye mtaji wa kuanzia 100mil...
 
Mkuu bado nakubaliana na wewe kuhusu drier za saloon Hahaha

Ova
 
Amegraduate mwaka gani?
Yaani unalinganisha Mbowe na mwendazake Nini? Mwendazake hata Hapo Kenya alikuwa anaogopo kwenda. Mbowe anapasua kila pande ya dunia. Kwanza angalia historia yake degree yake kaipatia wapi?
 
...Pia hii itasaidia Mamlaka za Uteuzi Serikalini kuwateua makada wenye sifa katika nafasi nyeti serikalini.
Kiutaratibu, hakuna mtu anayetakiwa kuingia katika utumishi wa umma kwa sifa ya kuwa kada
 
Kama wewe ndo mpima uelewa wa watu basi ni hatari sana. Upinzani umekukaa kichwani mpaka unachuruzika, umetumia vigezo gani kutoa tathmini hyo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…