Huu ni uongo. Asilimia kubwa ya wanaounga mkono CCM ni wakulima. Hawana cheti chochote cha taaluma zaidi ya cha kuzaliwa na cheti cha kliniki.
Siku CCM ikilitenga hilo kundi itaanguka. Pia CHADEMA wakiandaa sera nzuri za kuwafikia watu wasio na formal education basi lolote linaweza kutokea.