Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.
Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.
Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.