imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sultan sayyid said Alikael mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sultan sayyid said Alikael mbowe
Lissu anajinyea nyea hoja zake za kitoto zimepanguliwa.Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.
Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.
Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.
Unamuonea WIVU LISUExactly, wamemuita kwenye vikao, leta evidence za Abdul, ..hajatoa akaingia mitini. sasa huyo kweli awe kiongozi wa juu wa chama? Lisu is good, very good katika kulumbana na polisi, Samia na watu wengine wa mikiki mikiki, lakini asiwe top,ataharibu chama. Yeye wamuache apige kelele za barabarani, ambayo yanahitaji utulivu wa akili ayafaye Mbowe na wengine, Lisu akiwa mshauri, lakini si msemaji mkuu
Hapo ndipo tunapokosea kuona wengine wana akili na wengine hawana.Mtu mwenye akii hawezi kuwa na mdahalo na Lisu. Lisu hana haiba ya midahalo ya watu wenye akili. Anafaa kwenye mikiki mikiki ya barabarani..maguvu, mitulinga lakini siyo kutumia akili
kama ni kweli sim sim wanamfadhili MWAMBA bac atashinda maana wale wanaofadhiliwa NA simsim huwa wanashinda angalia serikal za nitaa 2019 uchaguzi mkuu2020 na uchaguzi serikali za mitaa2024 cuneona alichofanya mfadhili KWA KETE HIYO mwamba 5 tena unaweza uckubaliane nami uNyumbu ndiyo mna mihemuko subirini tarehe 21 wajumbe wafanye yao hizi ngonjera zenu humu haziwezi kumnasua Sultan na ukweli kuwa kwa sasa anafadhiliwa na CCM, hili ni doa kubwa hakuna mjumbe atatoa kura yake kwa CCM.
Si unaona hata hawa nyumbu wake humu wote akili kisodaMbowe blah blah tu haongei kwa fact zozote, kuna muda alitaka kujenga hoja kwa kurejea katiba ya chadema hajui/hakumbuki hata kifungu anachotaka kukisoma kipo ukurasa gani akaishia kuperuzi weee badae akasema kwasabb ya muda tuendelee tuu hahahaaaa
Leo nimejiridhisha mbowe kamwe hawezi kukubali mdahalo na lissu, ataaibika!!!.
Labda wazime taa na kuingiza sanduku feki la kurakama ni kweli sim sim wanamfadhili MWAMBA bac atashinda maana wale wanaofadhiliwa NA simsim huwa wanashinda angalia serikal za nitaa 2019 uchaguzi mkuu2020 na uchaguzi serikali za mitaa2024 cuneona alichofanya mfadhili KWA KETE HIYO mwamba 5 tena unaweza uckubaliane nami u
Sasa kumbe unayajua halafu unapiga mayowe.hivi una akili kweli wewe?Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Ni hivi, Mbowe aende kwenye mdahalo, yasijeyakasemwa asiyopenda akaanza kujiliza. Tunajua Mbowe hana uwezo wa midahalo, sasa mnatafuta namna ya kumkwepesha na dhahma. Hata hivyo sio Mbowe tu, wanaccm wengi huwa hawawezi midahalo.Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.
Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.
Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.
Hivi kuna watu wanavutiwa na interview anazofanya mbowe?Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.
Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.
Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.
Hata huelewi hoja,wewe ngoja wakati wa kusifia ndiyo maeneo yako lakini kwenye analysis huna akili hiyo . Taahira mkubwa ukisikia jina la Mbowe unapata ndoto nyevu fala wewe.Sasa kumbe unayajua halafu unapiga mayowe.hivi una akili kweli wewe?
Tarehe 21 tunampumzisha akauze ngada zake vizuri.Wana CCM lissu anawatesa sana
Lakin acha tumwambie sultan kaguta yoel kurunzinza mugabe mbowe apumzike tu
Unamwongelea huyu sultani mbowe au kuna mwingine?Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.
Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.
Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.
Kqani Muda wa kamp3ni tayarNyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Unateseka sana, Lisu ndiye mwenyekitiBinafsi naunga mkono mabadiliko lkn sio kumpa mtu roporopo chama mtu asiyejua busara bali kutukana na kuchagua watu na taasisi.
Mpelekeni akatunge nyimbo za taarabu kusuta wanawake chama kisigeuzwe kuwa chadema modern taarabu.
Mbowe atapumzika lkn sio Sasa na wakumrithi sio tundu mchafuzi
Lisu ana hoja 5 na alizitajaHoja yake kubwa Nilipigwa Risasi