UCHAGUZI CHADEMA: Mahojiano ya Mbowe leo Clouds yamesitisha moja kwa moja Mdahalo wa Lissu na Mbowe

Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.

Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.

Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.

Kwani ana hoja?

Gg8eycIXkAIz-Qz.jpeg

Kila akifungua mdomo anayakoroga kuliko mwanzo.

Ushauri wa bure: "Hakikisheni hatokei!"
 
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.

Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.

Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.
Nyie dhamira yenu ni kuiua Cdm ndipo mtakapopata utulivu.

Na mbinu mliyotumia ni ya kisayansi sana.
 
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.

Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.

Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao.

Utulivu unatuleteaje katiba au mnapenda Polisi na usalama ndiyo wawe tume ya uchaguzi. Wengine tunasema hapana upole una wakati wake na hizi sio nyakati za upole kama unapenda taifa ni wakati wa mapambano na tutafanya hivyo hata kama maisha yatapotea tuko tayari
 
Nimewasikikiza wote ,napenda mabadiriko
Lkn lissu kwenye hiyo nafasi hapana,labda km Kuna mwingine!
Ht akishinda ni suala la muda hataweza itabaki story km kina cuf,nccr...
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Mbona lisu yeye hajasema angalau kitu hata kimoja alichofanya? Au yeye hana alichofanya?
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Una hasira binafsi na Kamanda uliliwa ukarushwa?
 
Mbowe atashinda ila kitu nimefurahi ni kuijua chadema ki uwazi sana kupitia huu uchaguzi
Sijui ingekuwaje kama Ile 2015 kikwete angewapa nchi
Maana Mbowe angempindua Lowasa kupitia vikao vya chama Kisha angegomea madarakani hadi anakufa😥
 
Binafsi naunga mkono mabadiliko lkn sio kumpa mtu roporopo chama mtu asiyejua busara bali kutukana na kuchagua watu na taasisi.
Mpelekeni akatunge nyimbo za taarabu kusuta wanawake chama kisigeuzwe kuwa chadema modern taarabu.
Mbowe atapumzika lkn sio Sasa na wakumrithi sio tundu mchafuzi
Leo ndio mnatambua baada ya kugombea uenyekiti? Nyie kwl nyumbu wa makengeza. Chadomo no SACCOSS ya wachaga, acheni iwafie km TLP na NCCR-MAGEUZI
 
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.

Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha ni namna gani Lissu ni Mropokaji na haelewi Katiba ya CHADEMA pamoja na kushiriki kuitunga na kukaa CHADEMA muda mrefu.

Kwakweli kwa Mjumbe yeyote aliyefuatilia mahojiano ya leo kumkutanisha Mbowe na Lissu katika Mdahalo ni kumkosea heshima Mbowe kwa kiwango cha juu sana,nadhani Lissu aandaliwe Mdahalo na Level zake hao wakina Odero sijui wakaropoke huko wapigane mbele ya Waandishi wamalize hasira zao
Interview ya leo, mwamba alikua anatafuta Public sympathy lakini kwa kweli ameshindwa kueleza kwa nini anataka kugombea tena. Niwapongeze sana watangazaji, wamemuuliza maswali yote ya msingi lakini hakuna alilojibu zaidi ya kubwabwaja tuu.
Kwa mfano, aliulizwa, " Miaka 20 ya kuwa mwenyekiti, jambo gani ambalo hajalifanya ambalo anadhani anahitaji miaka mingine mitano ya kulifanya? " Aaah mwamba kaanza kulia tuu.
 
Nyie majikumaa ya maccm humu ndo mmekuwa wapga debe wa mbowe jf au siyo mnadhan hatuwajui humu hata nikikuliza hapa mbowe kazungumza sera gn ya maana huna jbu maccm mnamtaka mbowe ili muendelee kuchezea uchaguz na kuua wapinzan na kuwapoteza msengerema ww
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho

Hujui CDM kinavyofanya kazi au hukuelewa aliposema habari ya retreat
 
Back
Top Bottom