UCHAGUZI CHADEMA: Mahojiano ya Mbowe leo Clouds yamesitisha moja kwa moja Mdahalo wa Lissu na Mbowe

Lissu anajinyea nyea hoja zake za kitoto zimepanguliwa.
 
Mbowe blah blah tu haongei kwa fact zozote, kuna muda alitaka kujenga hoja kwa kurejea katiba ya chadema hajui/hakumbuki hata kifungu anachotaka kukisoma kipo ukurasa gani akaishia kuperuzi weee badae akasema kwasabb ya muda tuendelee tuu hahahaaaa
Leo nimejiridhisha mbowe kamwe hawezi kukubali mdahalo na lissu, ataaibika!!!.
 
Unamuonea WIVU LISU
 
Dr.Slaa kamuanika Mbowe kuwa kaomba msaada system imsaidie kushinda.

Ndio maana Mapolisi wametumwa wakamkamate.

Mpango wa CCM kuviua vyama vya Upinzani kwa kuwasadia unpopular candidates umehamia CHADEMA.

Ewe mjumbe kuwa makini sana na RUSHWA ya CCM.
 
Mtu mwenye akii hawezi kuwa na mdahalo na Lisu. Lisu hana haiba ya midahalo ya watu wenye akili. Anafaa kwenye mikiki mikiki ya barabarani..maguvu, mitulinga lakini siyo kutumia akili
Hapo ndipo tunapokosea kuona wengine wana akili na wengine hawana.
 
Nyumbu ndiyo mna mihemuko subirini tarehe 21 wajumbe wafanye yao hizi ngonjera zenu humu haziwezi kumnasua Sultan na ukweli kuwa kwa sasa anafadhiliwa na CCM, hili ni doa kubwa hakuna mjumbe atatoa kura yake kwa CCM.
kama ni kweli sim sim wanamfadhili MWAMBA bac atashinda maana wale wanaofadhiliwa NA simsim huwa wanashinda angalia serikal za nitaa 2019 uchaguzi mkuu2020 na uchaguzi serikali za mitaa2024 cuneona alichofanya mfadhili KWA KETE HIYO mwamba 5 tena unaweza uckubaliane nami u
 
Si unaona hata hawa nyumbu wake humu wote akili kisoda
 
Labda wazime taa na kuingiza sanduku feki la kura
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Sasa kumbe unayajua halafu unapiga mayowe.hivi una akili kweli wewe?
 
Ni hivi, Mbowe aende kwenye mdahalo, yasijeyakasemwa asiyopenda akaanza kujiliza. Tunajua Mbowe hana uwezo wa midahalo, sasa mnatafuta namna ya kumkwepesha na dhahma. Hata hivyo sio Mbowe tu, wanaccm wengi huwa hawawezi midahalo.
 
Hivi kuna watu wanavutiwa na interview anazofanya mbowe?
 
Sasa kumbe unayajua halafu unapiga mayowe.hivi una akili kweli wewe?
Hata huelewi hoja,wewe ngoja wakati wa kusifia ndiyo maeneo yako lakini kwenye analysis huna akili hiyo . Taahira mkubwa ukisikia jina la Mbowe unapata ndoto nyevu fala wewe.
 
Unamwongelea huyu sultani mbowe au kuna mwingine?
 
Unateseka sana, Lisu ndiye mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…