UCHAGUZI CHADEMA: Mahojiano ya Mbowe leo Clouds yamesitisha moja kwa moja Mdahalo wa Lissu na Mbowe


Kwani ana hoja?



Kila akifungua mdomo anayakoroga kuliko mwanzo.

Ushauri wa bure: "Hakikisheni hatokei!"
 
Nyie dhamira yenu ni kuiua Cdm ndipo mtakapopata utulivu.

Na mbinu mliyotumia ni ya kisayansi sana.
 

Utulivu unatuleteaje katiba au mnapenda Polisi na usalama ndiyo wawe tume ya uchaguzi. Wengine tunasema hapana upole una wakati wake na hizi sio nyakati za upole kama unapenda taifa ni wakati wa mapambano na tutafanya hivyo hata kama maisha yatapotea tuko tayari
 
Nimewasikikiza wote ,napenda mabadiriko
Lkn lissu kwenye hiyo nafasi hapana,labda km Kuna mwingine!
Ht akishinda ni suala la muda hataweza itabaki story km kina cuf,nccr...
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Mbona lisu yeye hajasema angalau kitu hata kimoja alichofanya? Au yeye hana alichofanya?
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Una hasira binafsi na Kamanda uliliwa ukarushwa?
 
Mbowe atashinda ila kitu nimefurahi ni kuijua chadema ki uwazi sana kupitia huu uchaguzi
Sijui ingekuwaje kama Ile 2015 kikwete angewapa nchi
Maana Mbowe angempindua Lowasa kupitia vikao vya chama Kisha angegomea madarakani hadi anakufa😥
 
Leo ndio mnatambua baada ya kugombea uenyekiti? Nyie kwl nyumbu wa makengeza. Chadomo no SACCOSS ya wachaga, acheni iwafie km TLP na NCCR-MAGEUZI
 
Interview ya leo, mwamba alikua anatafuta Public sympathy lakini kwa kweli ameshindwa kueleza kwa nini anataka kugombea tena. Niwapongeze sana watangazaji, wamemuuliza maswali yote ya msingi lakini hakuna alilojibu zaidi ya kubwabwaja tuu.
Kwa mfano, aliulizwa, " Miaka 20 ya kuwa mwenyekiti, jambo gani ambalo hajalifanya ambalo anadhani anahitaji miaka mingine mitano ya kulifanya? " Aaah mwamba kaanza kulia tuu.
 
Nyie majikumaa ya maccm humu ndo mmekuwa wapga debe wa mbowe jf au siyo mnadhan hatuwajui humu hata nikikuliza hapa mbowe kazungumza sera gn ya maana huna jbu maccm mnamtaka mbowe ili muendelee kuchezea uchaguz na kuua wapinzan na kuwapoteza msengerema ww
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho

Hujui CDM kinavyofanya kazi au hukuelewa aliposema habari ya retreat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…