Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya.
Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga kura za Siri na baada ya hapo ndio kura zihesabiwe live, hili kuepuka intimidation kwa wapiga kura, manake kuna wengine wanaweza wakawa wameamua kufuata ushauri wanaotoaga CHADEMA kipindi cha chaguzi za kitaifa.. kwamba pesa za CCM chukua lakini kura wapatie Chadema. Kwa spirit hiyo nahisi kuna baadhi wanaweza wakawa tayari wamelambishwa but wanachaguo tofauti na Nyuki...na Nyuki akijua Asali yake imechukuliwa Bure, kuna Hatari ya walambaji kutoka manundu na pengine kupoteza Maisha.
Na jambo la ajabu jingine ni kuhusu Mwenyekiti kutaja kanuni zitakazotumika ilhali katika mahojiano anasema kamati kuu itakaa siku tatu kabla ya uchaguzi kupanga kanuni... inakuaje yeye tayari anayo ya kwake...au ataingia kwenye kikao na kanuni mfukoni kama Mwenyekiti wa zamani wa Chama chenyewe?!