- Thread starter
- #21
Sina ushahidi wa kisayansi, lakini mimi usikia kwamba CHADEMA ni Taasisi ambayo ina wanachama wengi vijana, wasomi, active na wako very vibrant...kama jibu ni NDIO...wameruhusu vipi mpaka wamefika hapa walipo!? Natambua Mbowe na Lissu wamekua Nguzo Ndani ya Chadema kwa muda sasa... Surely, baada ya kusikia haya majina Yao, mikakati Yao, movements zao na matamko Yao for over 20years and counting..ni miracles gani wanachama vijana wasomi wanategemea kutoka kwa Hawa usual suspects?!